Mashirika,Asasi zatakiwa kuokoa maisha ya watoto njiti
Kufuatia kuzidi kuongezeka kwa vifo vya watoto njiti nchini takribani watoto laki mbili na kumi wanaozaliwa kwa mwaka ni elfu tisa pekee ndiyo wanafanikiwa kupata huduma za matibabu na kuishi.
Kutokana na ongezeko hilo la vifo vya watoto njiti, mashirika pamoja na asasi binafsi zimetakiwa kujitokeza kutoa misaada ya mashine za kusaidia kupumua na za kutolea uchafu kwa watoto hao na si mpaka kuisubiri Serikali kufanya kazi hiyo.
Akibainisha hayo mshirika wa Doris Moleli Faundation amesema...
StarTV
Habari Zinazoendana
9 years ago
StarTV24 Dec
Taasisi, mashirika zatakiwa kuwajali watoto wa mitaani msimu wa sikukuu
Kukoseka kwa jitihada thabiti za jamii katika kuunga mkono Taasisi zisizo za kiserikali na Mashirika ya mbali mbali yanayojihusisha na watoto wa mitaani kuwarudisha majumbani kunazorotesha juhudi za kupunguza ongezeko la watoto wanaokimbila mijini na kuishi mitaani ambao ni nguvu kazi ya taifa kwa siku za usoni.
Watoto hao wamekuwa wakikosa haki zao za msingi ikiwemo elimu na malezi ya wazazi ndugu na jamaa na kuishi katika mazingira magumu na hatarishi.
Mkurugenzi wa shirika lisilo la...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-22LYPPBMWDY/Xs9XNcg7-1I/AAAAAAAEHWU/YGDp3mZr8mA6y3wo5ZNLA9AmFR3mUvEBQCLcBGAsYHQ/s72-c/CHZ_6333.jpg)
Asasi ya Vodacom Tanzania Foundation yakabidhi vifaa kwa ajili ya kuwasaidia watoto Njiti, Hospitali ya Muriet jijini Arusha
![](https://1.bp.blogspot.com/-22LYPPBMWDY/Xs9XNcg7-1I/AAAAAAAEHWU/YGDp3mZr8mA6y3wo5ZNLA9AmFR3mUvEBQCLcBGAsYHQ/s640/CHZ_6333.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/1-28-1024x683.jpg)
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-RV5aRuCwMDs/VlTbpGnPIZI/AAAAAAAIISc/fy8M9AN7zyg/s72-c/viewer.png)
Muhimbili yapatiwa msaada wa vifaa vya kuokoa maisha ya watoto
![](http://1.bp.blogspot.com/-RV5aRuCwMDs/VlTbpGnPIZI/AAAAAAAIISc/fy8M9AN7zyg/s640/viewer.png)
Vifaa hivyo vina thamani ya Dola za Kimarekani Laki moja sawa na zaidi Sh milioni 2 vimetolewa na Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF),kwa lengo la kupunguza vifo vya watoto walio chini ya umri wa miaka mitano.
Baadhi ya vifaa vilivyotolewa ni Ventilator, medical, adult –child ,w/access pamoja na Warmer system , newborn,...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-enpdSJQ7138/XphJ_dQgtaI/AAAAAAALnLM/s8q48pDMkZUx2CZaJggjMv9jENkbVr2hQCLcBGAsYHQ/s72-c/7502c379-bed5-4fb4-95cf-9a838a3e0ee4.jpg)
MADAKTARI MUHIMBILI WATUMIA TEKNOLOJIA MPYA KUOKOA MAISHA YA WATOTO WANAOZALIWA UTUMBO UKIWA NJE
KWA mara ya kwanza madaktari bingwa wa upasuaji wa watoto kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili wamefanikiwa kuokoa maisha ya watoto wawili waliozaliwa wakiwa na tatizo la tumbo kuwa wazi na utumbo kuwa nje (Gastroschisis) na kwa kutumia utaratibu madaktari hao wamefanikiwa kuwavalisha mifuko maalumu (Silo bags) ambayo haihusishi mtoto kufanyiwa upasuaji wala kupewa dawa za usingizi.
Akisoma taarifa hiyo leo jijini Dar es Salaam Daktari bingwa wa upasuaji wa...
10 years ago
Dewji Blog17 Nov
Siku ya Mtoto Njiti Duniani: Huduma za gharama nafuu zenye ufanisi katika kuzuia vifo vya watoto njiti Tanzania, inasema UNICEF na wadau wengine
World Prematurity Day press release – SWA FINAL Nov 17 2014.docx by moblog
10 years ago
Dewji Blog08 May
World Lung Foundation yazindua mradi wa elimu kwa mtandao inayosaidia kuokoa maisha ya akina mama na watoto
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Rashid, akizindua mradi wa elimu kwa mtandao unaosaidia kuokoa maisha ya mama na mtoto ambao unaendeshwa na kusimamiwa na Shirika la World Lung Foundation (WLF) la hapa nchini, ambapo vituo vya Afya 13 vinanufaika na mradi huo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Rashid (wapili kulia), akipiga makofi mara baada ya kuzindua mradi wa elimu kwa mtandao unaosaidia kuokoa maisha ya mama na mtoto ambao unaendeshwa na kusimamiwa na Shirika la World...
10 years ago
BBCSwahili22 Apr
Nchi za Ulaya zatakiwa kuokoa wahamiaji
9 years ago
MichuziSIKU YA WATOTO NJITI
9 years ago
Mwananchi09 Oct
Samia aombwa wodi ya watoto njiti