SIKU YA WATOTO NJITI
Mwanzilishi wa Mfuko wa Doris Mollel, Doris Mollel akizungumza katika kilele cha maazimisho ya siku ya watoto waliozaliwa kabla ya siku (njiti) katika mkutano ambao umefanyika leo kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). Kulia ni mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick akizungumza kwenye maadhimisho hayo leo.
Mashine iliyotolewa kwa ajili ya kuwatunza watoto wanaozaliwa kabla ya muda. Mashine hiyo imetolewa leo na...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog17 Nov
Siku ya Mtoto Njiti Duniani: Huduma za gharama nafuu zenye ufanisi katika kuzuia vifo vya watoto njiti Tanzania, inasema UNICEF na wadau wengine
World Prematurity Day press release – SWA FINAL Nov 17 2014.docx by moblog
9 years ago
Mwananchi09 Oct
Samia aombwa wodi ya watoto njiti
11 years ago
GPLMAMA WA WATOTO NJITI MAPACHA ASHUKURU WALIOMSAIDIA
11 years ago
GPLWATOTO NJITI MAPACHA WATELEKEZWA NA BABA YAO
11 years ago
Mwananchi09 Mar
Maelfu ya watoto njiti hufa hospitalini nchini
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-Muc_6AOtiiI/XvJj6sPezAI/AAAAAAALvHE/xforPR-UpKMXmhVqxA0GWlK47bJt5wi5QCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200623_151307_2.jpg)
MENINA AHAIDI KUKARABATI CHUMBA CHA WATOTO NJITI
ZAO la mashindano ya BSS Menina Atick amewaomba wasanii kusaidia jamii hasa wamama pamoja na watoto.
Menina amesema hatosita kuwasaidia wamama pamoja na watoto wanaopitia changamoto za kiafya.
"Ifike wakati wasanii na watu mashughuli waiona fursa ya kusaidia jamii hasa wamama ambao wanapitia changamoto ya kujifungua pamoja na watoto wanaozaliwa na matatizo hasa watoto njiti,"
Hata hivyo Menina amesema mbali na kutembelea hospitali hiyo ya vijibweni katika wilaya...
9 years ago
StarTV12 Nov
Mashirika,Asasi zatakiwa kuokoa maisha ya watoto njiti
Kufuatia kuzidi kuongezeka kwa vifo vya watoto njiti nchini takribani watoto laki mbili na kumi wanaozaliwa kwa mwaka ni elfu tisa pekee ndiyo wanafanikiwa kupata huduma za matibabu na kuishi.
Kutokana na ongezeko hilo la vifo vya watoto njiti, mashirika pamoja na asasi binafsi zimetakiwa kujitokeza kutoa misaada ya mashine za kusaidia kupumua na za kutolea uchafu kwa watoto hao na si mpaka kuisubiri Serikali kufanya kazi hiyo.
Akibainisha hayo mshirika wa Doris Moleli Faundation amesema...
10 years ago
Habarileo04 Jan
Singida huzalisha watoto njiti 300 kila mwaka
WATOTO njiti 284 hadi 300 huzaliwa kila mwaka katika Hospitali ya mkoa wa Singida huku robo yao wakifa kutokana na sababu mbalimbali.
9 years ago
Dewji Blog17 Nov
Serikali yaipongeza juhudi zinazofanywa na Taasisi ya Doris Mollel Foundation za kusaidia watoto njiti!
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Mhe. Saidi Meck Sadiki akizungumza mbele ya wanahabari, madaktari na baadhi ya akina mama waliokuwa na watoto waliozaliwa kabla ya wakati maarufu kama Njiti (Hawapo pichani). Kushoto ni DoriS Mollel ambaye ni Mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa Taasisi ya Doris Mollel Foundation (DMF) na wengine ni maafisa kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili. (Picha zote na Andrew Chale,Modewjiblog).
Na Andrew Chale, Modewjiblog
[DAR ES SALAAM] Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...