Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MENINA AHAIDI KUKARABATI CHUMBA CHA WATOTO NJITI

Na.Khadija seif, Michuzi tv

ZAO la mashindano ya BSS Menina Atick amewaomba wasanii kusaidia jamii hasa wamama pamoja na watoto.

Menina amesema hatosita kuwasaidia wamama pamoja na watoto wanaopitia changamoto za kiafya.

"Ifike wakati wasanii na watu mashughuli waiona fursa ya kusaidia jamii hasa wamama ambao wanapitia changamoto ya kujifungua pamoja na watoto wanaozaliwa na matatizo hasa watoto njiti,"

Hata hivyo Menina amesema mbali na kutembelea hospitali hiyo ya vijibweni katika wilaya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

PANAFRICAN ENERGY YAFADHILI UJENZI WA WODI YA ‘MAMA NGONJEA’ HOSPITALI YA WILAYA KINYONGA KILWA KIVINJE NA KUKARABATI WODI ZA UZAZI NA CHUMBA MAALUM CHA UANGALIZI WA AKINA MAMA

Meneja Uwajibikaji kwa jamii kutoka Kampuni ya PanAfrican Energy Andrew  Kangashaki  (kushoto ) na Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa Twalib Mbasha wakikabidhiana mkataba wa miradi  ya ujenzi wa nyumba ya mama ngojea  katika hospital ya Kinyonga  na ukarabati wa wodi  ya uzazi  mara baada ya kumaliza kusaini mikataba hiyo katika hafla fupi iliyofanyika jana Kilwa Kivinje.Meneja Uwajibikaji kwa jamii kutoka Kampuni ya PanAfrican Energy Andrew  Kangashaki(wa tatu kushoto) pamoja na Mkurugenzi...

 

10 years ago

Dewji Blog

9 years ago

Michuzi

SIKU YA WATOTO NJITI

 Mwanzilishi wa Mfuko wa Doris Mollel, Doris Mollel akizungumza katika kilele cha maazimisho ya siku ya watoto waliozaliwa kabla ya siku (njiti) katika mkutano ambao umefanyika leo kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH). Kulia ni mgeni rasmi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadick akizungumza kwenye maadhimisho hayo leo. Mashine iliyotolewa kwa ajili ya kuwatunza watoto wanaozaliwa kabla ya muda. Mashine hiyo imetolewa leo na...

 

9 years ago

Mwananchi

Samia aombwa wodi ya watoto njiti

Wakazi wa wilaya ya Kwimba wamemuomba mgombea mwenza wa urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassani awajengee wodi ya watoto waliozaliwa kabla ya wakati (njiti) ili kuwanusuru uhai wao endapo chama chake kitashinda nafasi ya urais.

 

11 years ago

GPL

WATOTO NJITI MAPACHA WATELEKEZWA NA BABA YAO

Fatuma Hussein akiwa na watoto wake mapacha. Watoto mapacha wakiwa wamelala. Rahma akiwa kalala.…

 

11 years ago

Mwananchi

Maelfu ya watoto njiti hufa hospitalini nchini

Wakati Serikali ikihangaika kutafuta ‘mwarobaini’ wa vifo vya wanawake wajawazito wanapojifungua, imebainika kuwa kuna idadi kubwa ya watoto wanaozaliwa kabla ya muda wake (njiti), ambao hufariki dunia kila siku katika hospitali mbalimbali nchini kutokana na kukosa huduma.

 

11 years ago

GPL

MAMA WA WATOTO NJITI MAPACHA ASHUKURU WALIOMSAIDIA

Fatuma akiwa na watoto wake  baada ya kupatiwa fedha na kununua mahitaji ya watoto. Watoto wakiwa wamelala pembeni  ya makopo ya maziwa yaliyotokana na msaada huo. Makopo ya maziwa ya watoto yaliyonunuliwa. Na Gabriel…

 

9 years ago

StarTV

Mashirika,Asasi zatakiwa kuokoa maisha ya watoto njiti

Kufuatia kuzidi kuongezeka kwa vifo vya watoto njiti nchini takribani watoto laki mbili na kumi wanaozaliwa kwa mwaka ni elfu tisa pekee ndiyo wanafanikiwa kupata huduma za matibabu na kuishi.

Kutokana na ongezeko hilo la vifo vya watoto njiti, mashirika pamoja na asasi binafsi zimetakiwa kujitokeza kutoa misaada ya mashine za kusaidia kupumua na za kutolea uchafu kwa watoto hao na si mpaka kuisubiri Serikali kufanya kazi hiyo.

Akibainisha hayo mshirika wa Doris Moleli Faundation amesema...

 

10 years ago

Habarileo

Singida huzalisha watoto njiti 300 kila mwaka

WATOTO njiti 284 hadi 300 huzaliwa kila mwaka katika Hospitali ya mkoa wa Singida huku robo yao wakifa kutokana na sababu mbalimbali.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani