Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


World Lung Foundation yazindua mradi wa elimu kwa mtandao inayosaidia kuokoa maisha ya akina mama na watoto

DSC_0389

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Rashid, akizindua mradi wa elimu kwa mtandao unaosaidia kuokoa maisha ya mama na mtoto ambao unaendeshwa na kusimamiwa na Shirika la World Lung Foundation (WLF) la hapa nchini, ambapo vituo vya Afya 13 vinanufaika na mradi huo.

DSC_0390

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Rashid (wapili kulia), akipiga makofi mara baada ya kuzindua mradi wa elimu kwa mtandao unaosaidia kuokoa maisha ya mama na mtoto ambao unaendeshwa na kusimamiwa na Shirika la World...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

WORLD LUNG FOUNDATION YAZINDUA MRADI WA ELIMU KWA MTANDAO (E-LEARNING‏)

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Rashid (katikati), akizungumza na waandishi wahabari mara baada ya kuzindua mradi wa elimu kwa mtandao unaosaidia kuokoa maisha ya mama na mtoto ambao unaendeshwa na kusimamiwa na Shirika la World Lung Foundation (WLF) la hapa nchini, ambapo vituo vya Afya 13 vinanufaika na mradi huo. Dk.Seif Rashid, akizindua huo.… ...

 

11 years ago

GPL

WORLD LUNG FOUNDATION NA SERIKALI YA MKOA WA KIGOMA WAZINDUA KAMPENI YA THAMINI UHAI OKOA MAISHA YA MAMA MJAZITO NA MTOTO

Wahudumu wa Hospitali ya Mkoa wa Kigoma maweni pamoja na wananchi wakitembea kwa maandamano kuelekea katika viwanja vya Sekondari ya Mwananchi Mkoani Kigoma kwaajili ya uzinduzi wa kampeni ya ''THAMINI UHAI OKOA MAISHA YA MAMA MJAZITO. Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya akizindua kampeni ya ''THAMINI UHAI OKOA MAISHA MAMA MJAMZITO''katika viwanja vya… ...

 

10 years ago

Michuzi

WORLD LUNG FOUNDATION YAZINDUA KAMPENI YA KUHAMASISHA UZAZI WA MPANGO

Mwakilishi wa Kaimu Mkurugenzi wa Huduma za Kinga Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Cosmas Swai, akizindua kampeni mpya ya kuhamasisha Faida na Matumizi ya Uzazi wa Mpango jijini Dar es Salaam jana, kampeni itakayotekelezwa mkoani Kigoma. Wanaoshuhudia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la, World Lung Foundation (WLF), Nduke Mwakatundu (mwenye tai) na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Dk.Leonard Subi (watatu kulia) na baadhi ya wafanyakazi wa (WLF). Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la World Lung...

 

11 years ago

Michuzi

WORD LUNG FOUNDATION NA SERIKALI YA MKOA WA KIGOMA WAZINDUA KAMPENI YA THAMINI UHAI OKOA MAISHA YA MAMA MJAZITO NA MTOTO

Na Editha Karo wa Globu ya Jamii, Kigoma
SERIKALI ya Mkoa wa Kigoma kwa kushirikiana na shirika lisilo la kiserikali la Word Lung Foundation chini ya ufadhili wa Swedish Internatinol Agency (SIDA) wamezindua Mkoani hapa kampeni ya''THAMINI UHAI OKOA MAMA MJAMZITO NA MTOTO''
Mgeni rasmi katika uzinduzi huo Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Kanali Mstaafu Issa Machibya alisema kuwa lengo la kampeni hiyo kuongeza na huduma kwa akina mama wajawazito waweze kujifungulia katika vituo vya huduma ya afya.
''Hawa...

 

10 years ago

Vijimambo

TUKISHIRIKIANA TUTAOKOA MAISHA YA AKINA MAMA WENGI NA WATOTO

Dkt, Andrea Atzori akiwa na Bi. Tully Mwaipopo, Afisa wa Uwakilishi wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa mara baada ya uzinduzi wa onyesho hiloBalozi Tuvako Manongi Mwakilishi wa Kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa akizungumza wakati wa uzinduzi wa onyesho la picha lililoandaliwa kwa ubia baina ya Wakilishi za Kudumu za Italia na Tanzania. Onyesho hilo linahusu huduma za afya ya mama na mtoto zinazotolewa na Taasisi isiyo ya kiserikali ya Doctors with Africa CUAMM katika...

 

11 years ago

Tanzania Daima

UNHCR yazindua mradi masomo kwa mtandao

SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) kwa  kushirikiana   na  Worldreadder wamezindua mradi  wa masomo kwa  njia ya mtandao kwa wanafunzi  wa shule za sekondari nne mkoani Katavi ...

 

11 years ago

Michuzi

Taasisi ya faridas foundation yazindua mradi mpya wa TADEPUGRA

Taasisi ya faridas foundation imezindua mradi mpya utakaojulikana kwa jina la Tanzania Development Projects for Unemployed Graduates (TADEPUGRA) lengo likiwa ni kufungua milango kwa wahitimu wa ngazi mbali mbali wasio na ajira hapa nchini, Mradi huu utanufaisha vijana zaidi ya 100 ikiwa ni kuwaajiri ndani ya taasisi na kuwawezesha kuanzisha miradi mbalimbali ya kimaendeleo, pia itatoa tuzo kwa waandishi mahiri 10 watakaoshinda kuandika muswaada (proposal) wa miradi ya kijamii. 
Form za...

 

9 years ago

Dewji Blog

MO Dewji Foundation yatoa msaada wa Mil. 110/- kwa Taasisi inayowasaidia watoto wenye kansa ya Tumaini la Maisha

IMG_8716

Meneja Mwendeshaji wa Taasisi ya MO Dewji, Francesca Tettamanzi (kulia) akitoa neno la ukaribisho kwa uongozi wa Taasisi ya Tumaini la Maisha inayohudumia watoto wenye kansa nchini na waandishi wa habari katika hafla  fupi ya kukabidhi msaada wa fedha kwa ajili ya watoto wenye kansa iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za MeTL Group jijini Dar es Salaam. Wa pili kulia ni Mmoja wa Wakurugenzi wa Taasisi ya Tumaini la Maisha, Gerard Mongera  na Wa pili kushoto ni Ofisa anayesimamia...

 

9 years ago

StarTV

Mashirika,Asasi zatakiwa kuokoa maisha ya watoto njiti

Kufuatia kuzidi kuongezeka kwa vifo vya watoto njiti nchini takribani watoto laki mbili na kumi wanaozaliwa kwa mwaka ni elfu tisa pekee ndiyo wanafanikiwa kupata huduma za matibabu na kuishi.

Kutokana na ongezeko hilo la vifo vya watoto njiti, mashirika pamoja na asasi binafsi zimetakiwa kujitokeza kutoa misaada ya mashine za kusaidia kupumua na za kutolea uchafu kwa watoto hao na si mpaka kuisubiri Serikali kufanya kazi hiyo.

Akibainisha hayo mshirika wa Doris Moleli Faundation amesema...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani