Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Taasisi ya faridas foundation yazindua mradi mpya wa TADEPUGRA

Taasisi ya faridas foundation imezindua mradi mpya utakaojulikana kwa jina la Tanzania Development Projects for Unemployed Graduates (TADEPUGRA) lengo likiwa ni kufungua milango kwa wahitimu wa ngazi mbali mbali wasio na ajira hapa nchini, Mradi huu utanufaisha vijana zaidi ya 100 ikiwa ni kuwaajiri ndani ya taasisi na kuwawezesha kuanzisha miradi mbalimbali ya kimaendeleo, pia itatoa tuzo kwa waandishi mahiri 10 watakaoshinda kuandika muswaada (proposal) wa miradi ya kijamii. 
Form za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Dewji Blog

Uzinduzi rasmi wa Faridas Foundation wafana

1

 

Mkurugenzi  Farida A. Sekimonyo wa Faridas Foundation akiomba Sala ya  uzinduzi rasmi wa Foundation hiyo.

2

Mshehereshaji wa Shughuli ya uzinduzi wa Faridas Foundation Taji Liundi.

3

Elias Masaki katibu mkuu ‘CHAWATA’ na pia mweka hazina Shirikisho la watu wenye ulemavu akichangia  mawazo kuhusiana na jinsi Farida Foundation inavyofanya kazi zake kwa jamii.

4

Baadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia maada mbalimbali zilizokuwa zikiendelea katika uzinduzi wa Faridas Foundation.

5

Kassim  Kibwe...

 

11 years ago

GPL

FARIDA AZINDUA FARIDAS FOUNDATION KUSAIDIA WALEMAVU

Farida A. Sekimonyo akizungumza wakati wa uzinduzi wa Faridas Foundation. Keki maalum kwa tukio hilo. Sehemu…

 

10 years ago

GPL

WORLD LUNG FOUNDATION YAZINDUA MRADI WA ELIMU KWA MTANDAO (E-LEARNING‏)

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Rashid (katikati), akizungumza na waandishi wahabari mara baada ya kuzindua mradi wa elimu kwa mtandao unaosaidia kuokoa maisha ya mama na mtoto ambao unaendeshwa na kusimamiwa na Shirika la World Lung Foundation (WLF) la hapa nchini, ambapo vituo vya Afya 13 vinanufaika na mradi huo. Dk.Seif Rashid, akizindua huo.… ...

 

10 years ago

Dewji Blog

World Lung Foundation yazindua mradi wa elimu kwa mtandao inayosaidia kuokoa maisha ya akina mama na watoto

DSC_0389

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Rashid, akizindua mradi wa elimu kwa mtandao unaosaidia kuokoa maisha ya mama na mtoto ambao unaendeshwa na kusimamiwa na Shirika la World Lung Foundation (WLF) la hapa nchini, ambapo vituo vya Afya 13 vinanufaika na mradi huo.

DSC_0390

Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Rashid (wapili kulia), akipiga makofi mara baada ya kuzindua mradi wa elimu kwa mtandao unaosaidia kuokoa maisha ya mama na mtoto ambao unaendeshwa na kusimamiwa na Shirika la World...

 

5 years ago

Michuzi

TAASISI YA ODO UMMY FOUNDATION YATOA VIFAA VYA USAFI KWA TAASISI KUBWA ZA DINI JIJINI TANGA

 MKUU wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa kushoto akiwakabidhi baadhi ya wawakilishi wa Taasisi kubwa za Dini Jijini Tanga msaada wa vifaa vya usafi ambayo vimetolewa na taasisi ya odo Ummy Foundation inayoongozwa na Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Tanga na Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kulia mwenye kanzu ni Katibu Mkuu wa Taasisi ya Waalimu wa Kiislamu Tanzania ya Tamta Mohamed Mohamed Zikri akifuatiwa na Mwakilishi kutoka Katoliki Chumbageni John...

 

5 years ago

Michuzi

Taasisi ya DYCCC na AlHikma Foundation wakabidhi vifaa vya PPE kwa Taasisi ya JAI kwa ajili ya kuzikia

Taasisi za DYCCC na Alhikma Foundation kwa kushirikiana na Taasisi zingine 7 wameweza kutoa msaada wa vifaa mbali mbali vya kuzikia leo tarehe 09 May 2020. Hii ilifuatia na mafunzo ya namna ya kuhudumia na kuzika maiti iliyotolewa na wataalam wa maziko. Makabidhiano haya yamefanyika katika viwanja vya Makaburi ya Kisutu mjini Dar Es Salaam.



 

9 years ago

Michuzi

TAASISI YA MANJANO FOUNDATION WAENDELEA KUWANUFAISHA WANAWAKE

 Baadhi ya Washiriki wa Mafunzo ya Ujasiriamali kwa kutumia Vipodozi wakiwa kwenye mafunzo kwa njia ya Vitendo..Wanawake wachache wa jiji la Dar es salaam wameendelea kunufaika na mafunzo ya ujasiriamali kupitia vipodozi vya LuvTouch Manjano. Washiriki hawa wameendelea kufundishwa matumizi sahihi na ueledi wa kutumia vipodozi (makeup) mbalimbali kutokana na nyakati tofauti. Mafunzo hayo yanayoendeshwa na mtaalamu wa mambo ya urembo na muasisi wa Taasisi ya Manjano Foundation mama Shekha...

 

11 years ago

Michuzi

Taasisi ya Handeni Kwetu Foundation kuzinduliwa August 5

SIKU chache baada ya kusajiliwa rasmi chini ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Taasisi inayojulikana kama Handeni Kwetu Foundation, imepangwa kuzinduliwa August 5 mwaka huu, katika Ukumbi wa Vijana Social Hall, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Kuanzishwa kwa taasisi hiyo ni kutafuta namna ya kusaidiana na serikali katika mambo mbalimbali, ikiwamo Kujenga uwezo kwa jamii kujikwamua kiuchumi na kuhamasisha utawala.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Msemaji wa taasisi hiyo,...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani