Taasisi ya Handeni Kwetu Foundation kuzinduliwa August 5
![](http://2.bp.blogspot.com/-yccAPcmKGLo/U9DoC3_QDiI/AAAAAAAF5r8/3HdZz8HN6ls/s72-c/Handeniii+(1).jpg)
SIKU chache baada ya kusajiliwa rasmi chini ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Taasisi inayojulikana kama Handeni Kwetu Foundation, imepangwa kuzinduliwa August 5 mwaka huu, katika Ukumbi wa Vijana Social Hall, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Kuanzishwa kwa taasisi hiyo ni kutafuta namna ya kusaidiana na serikali katika mambo mbalimbali, ikiwamo Kujenga uwezo kwa jamii kujikwamua kiuchumi na kuhamasisha utawala.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Msemaji wa taasisi hiyo,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-FZrtNHsNu0o/U93e57eKsuI/AAAAAAACmuU/_p6ovA6mu4A/s72-c/55ebTanga-regional-commissioner-Chiku-Gallawa.jpg)
Chiku Gallawa mgeni rasmi Handeni Kwetu Foundation
![](http://4.bp.blogspot.com/-FZrtNHsNu0o/U93e57eKsuI/AAAAAAACmuU/_p6ovA6mu4A/s1600/55ebTanga-regional-commissioner-Chiku-Gallawa.jpg)
Tukio hilo la uzinduzi wa taasisi hiyo limepangwa kuanza saa 10 za jioni ambapo wamealikwa wageni mbalimbali kwa ajili ya kuitambulisha kabla ya kuanza kazi zake rasmi nchini Tanzania.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Msemaji wa taasisi hiyo, Kambi Mbwana,...
10 years ago
MichuziTAMASHA LA HANDENI KWETU KUFANYIKA DESEMBA 31 WILAYANI HANDENI MKOANI TANGA
![](http://4.bp.blogspot.com/-r8fysY5OXRo/VAQW4UyzX0I/AAAAAAAAIQ0/bnvYT0qN5zo/s1600/handeni%2B1.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima02 Sep
Tamasha la ‘Handeni Kwetu’ Desemba 13
TAMASHA kubwa la umataduni linalojulikana kama ‘Handeni Kwetu’ limepangwa kufanyika Desemba 13 mwaka huu, katika Uwanja wa Azimio, wilayani Handeni, mkoani Tanga. Katika tamasha hilo linalofanyika kwa mara pili, burudani...
10 years ago
Tanzania Daima09 Sep
‘Handeni Kwetu’ lapania rekodi
MRATIBU Mkuu wa Tamasha la Utamaduni Handeni, maarufu kama ‘Handeni Kwetu’, Kambi Mbwana, ameapa kuhakikisha kuwa tamasha lao msimu wa 2014 linakuwa la aina yake na kuvunja rekodi ya mwaka...
10 years ago
Michuzi01 Sep
Tamasha la Handeni Kwetu kufanyika Desemba 13
Katika tamasha hilo linalofanyika kwa mara pili, burudani mbalimbali za ngoma za asili zinatarajiwa kuonekana jukwaani, ambapo pia vikundi kutoka nje ya Handeni, mkoani Tanga navyo vitaalikwa kwa ajili ya kwenda kutoa burudani wilayani humo.
Akizungumzia hilo, jijini Dar es Salaam, Mratibu Mkuu wa tamasha hilo, Kambi Mbwana, alisema...
10 years ago
Tanzania Daima08 Dec
Tamasha la NSSF Handeni Kwetu sasa Desemba 20
TAMASHA la Utamaduni la NSSF Handeni Kwetu, sasa litafanyika Desemba 20, badala ya Desemba 13, kama ilivyotangazwa hapo awali kupisha mchakato wa uchaguzi wa serikali za mitaa uliopangwa kufanyika kote...
10 years ago
MichuziTamasha la Handeni Kwetu lawapigia magoti wadhamini
WADAU wa mambo ya utamaduni yakiwamo mashirika, makampuni na watu mbalimbali wameombwa kujitokeza kuliwezesha tamasha la Handeni Kwetu 2014, lililopangwa kufanyika Desemba 13 mwaka huu wilayani Handeni, mkoani Tanga.
Tamasha hilo linafanyika huku mwaka jana likiwezeshwa kwa kiasi kikubwa na Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) kwa ushirikiano na wadau mbalimbali walioliwezesha tamasha hilo kwa mara ya kwanza katika Historia ya Mkoa wa Tanga.
Akizungumza mjini hapa, Mratibu Mkuu wa...
10 years ago
Michuzi![](http://3.bp.blogspot.com/-gzhegbA0bcQ/VA1x4X--efI/AAAAAAAGhqM/8rt8LqhT0xM/s72-c/Handeniii%2B(1).jpg)
Tamasha la 'Handeni Kwetu' lapania kuvunja rekodi
![](http://3.bp.blogspot.com/-gzhegbA0bcQ/VA1x4X--efI/AAAAAAAGhqM/8rt8LqhT0xM/s1600/Handeniii%2B(1).jpg)
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Mbwana alisema kuwa hiyo ni kutokana na kutamani kushirikisha wasanii wengi kutoka Tanga na Tanzania kwa ujumla.
Alisema kwamba mwaka jana wasanii zaidi ya 200 walionyesha uwezo wao kutoka kwa vikundi...
11 years ago
Tanzania Daima25 Dec
Vyakula vya asili kunogesha Tamasha la Handeni Kwetu
BAADHI ya vyakula vya asili ya Handeni, vinatarajiwa kuwapo katika Tamasha la Utamaduni la Handeni Kwetu 2013 linalotarajiwa kufanyika Jumamosi kwenye viwanja vya Azimio, wilayani Handeni, mkoani Tanga. Akizungumza mjini...