Tamasha la 'Handeni Kwetu' lapania kuvunja rekodi
![](http://3.bp.blogspot.com/-gzhegbA0bcQ/VA1x4X--efI/AAAAAAAGhqM/8rt8LqhT0xM/s72-c/Handeniii%2B(1).jpg)
MRATIBU Mkuu wa Tamasha la Utamaduni Handeni, maarufu kama ‘Handeni Kwetu’, Kambi Mbwana, ameapa kuhakikisha kuwa tamasha lao msimu wa 2014 linakuwa la aina yake na kuvunja rekodi ya mwaka jana lilipofanyika kwa mara ya kwanza wilayani Handeni, mkoani Tanga.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Mbwana alisema kuwa hiyo ni kutokana na kutamani kushirikisha wasanii wengi kutoka Tanga na Tanzania kwa ujumla.
Alisema kwamba mwaka jana wasanii zaidi ya 200 walionyesha uwezo wao kutoka kwa vikundi...
Michuzi