Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Chiku Gallawa mgeni rasmi Handeni Kwetu Foundation

MKUU wa Mkoa wa Tanga, Chiku Gallawa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa taasisi ya Handeni Kwetu Foundation, utakaofanyika Jumanne ya Agosti 5, katika Ukumbi wa Vijana Social Hall, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Tukio hilo la uzinduzi wa taasisi hiyo limepangwa kuanza saa 10 za jioni ambapo wamealikwa wageni mbalimbali kwa ajili ya kuitambulisha kabla ya kuanza kazi zake rasmi nchini Tanzania.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Msemaji wa taasisi hiyo, Kambi Mbwana,...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

Taasisi ya Handeni Kwetu Foundation kuzinduliwa August 5

SIKU chache baada ya kusajiliwa rasmi chini ya Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Taasisi inayojulikana kama Handeni Kwetu Foundation, imepangwa kuzinduliwa August 5 mwaka huu, katika Ukumbi wa Vijana Social Hall, Kinondoni, jijini Dar es Salaam.
Kuanzishwa kwa taasisi hiyo ni kutafuta namna ya kusaidiana na serikali katika mambo mbalimbali, ikiwamo Kujenga uwezo kwa jamii kujikwamua kiuchumi na kuhamasisha utawala.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Msemaji wa taasisi hiyo,...

 

10 years ago

Michuzi

TAMASHA LA HANDENI KWETU KUFANYIKA DESEMBA 31 WILAYANI HANDENI MKOANI TANGA

TAMASHA kubwa la umataduni linalojulikana kama 'Handeni Kwetu' limepangwa kufanyika Desemba 13 mwaka huu, katika Uwanja wa Azimio, wilayani Handeni, mkoani Tanga.Mratibu Mkuu wa Tamasha la Handeni Kwetu, Kambi Mbwana, akizungumza jambo katika tamasha la mwaka lililofanyika Desemba 14. Mwaka huu tamasha hilo litafanyika Desemba 13, Siku ya Jumamosi, katika Uwanja wa Azimio, wilayani Handeni, mkoani Tanga. Picha na Maktaba Yetu.Wasanii wa kundi la ngoma za asili la Mgambo JKT, wilayani...

 

10 years ago

Michuzi

MHE. CHIKU GALLAWA AKAGUA UJENZI WA MAABARA MANISPAA YA DODOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (mwenye kilemba kichwani) akimsikiliza Afisa Mtendaji wa Kata ya Msalato Dodoma Ndg. Herman Malindira (kulia) akiwasilisha taarifa ya mradi wa ujenzi maabara kwenye sekondari ya Chikole Feb. 16, 2015.Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (kushoto) akitoa maagizo kwa viongozi wa Manispaa ya Dodoma na kata ya Msalato baada ya kutoridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa maabara wakati alipofanya ziara ya ukaguzi wa Maabara Mjini Dodoma Feb. 16, 2015.

 

10 years ago

Michuzi

MHE. CHIKU GALLAWA AMEFANYA ZIARA YA UKAGUZI KWENYE MACHINJIO YA KISASA KIZOTA MKOANI DODOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akifanya ziara ya ukaguzi kwenye machinjio ya Kisasa Kizota Mjini Dodoma Januari 9, 2015. Muu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (kushoto) akikaga vifaa vinavyotumika kwenye uchinjaji mifugo na uandaji wa nyama kwenye machinjio ya Kisasa Kizota Mjini Dodoma Januari 9, 2015. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akikagua utunzaji wa nyama kwenye chumba maalumu cha kutunzia nyama zinazosubiri kusafirishwa kwenye machinjio ya Kisasa Kizota Mjini...

 

10 years ago

GPL

MHE. CHIKU GALLAWA AZINDUA MSIMU WA KILIMO KWA MWAKA 2015 KATIKA MKOA WA DODOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa akilakiwa na wananchi wa kijiji cha Damai Kondoa alipowasili kijijini hapo kuzindua msimu wa kilimo Mkoa wa Dodoma. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa akiwaelezea wananchi wa kijiji cha Damai Kondoa malengo ya kuzindua msimu wa kilimo mwaka 2015 Mkoani Dodoma.…

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA DODOM MH.CHIKU GALLAWA AFANYA ZIARA KITUO CHA WAKALA WA TAIFA WA HIFADHI YA CHAKULA - NFRA KANDA YA KATI

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa (mwenye kilemba) akioneshwa chakula kilichohifadhiwa kwenye kituo cha NFRA kanda ya kati mapema leo alipofanya ziara kituoni hapo kukagua akiba ya chakula. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa (mwenye kilemba) akikagua akiba ya chakula kilichohifadhiwa kwenye kituo cha NFRA kanda ya kati mapema leo alipofanya ziara kituoni hapo eneo la kizota.  Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa (kushoto) akifanya ziara ya ukaguzi kwenye kituo cha hifadhi ya chakula...

 

10 years ago

Michuzi

MHE. CHIKU GALLAWA AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WATEULE WA WILAYA ZA MKOA WA DODOMA

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (kulia) akimuapisha Mkuu wa Wilaya ya Mpwapwa Dkt. Jasmine Bendantunguka Tiisekwa Februari 25, 2015, anaeshuhudia katikati ni Katibu Tawala wa Dodoma Ndg. Rehema Madenge.Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (kulia) akimuapisha Mkuu wa Wilaya ya Kondoa Mhe Shabaan Kondo Kissu Februari 25, 2015, anaeshuhudia katikati ni Katibu Tawala wa Dodoma Ndg. Rehema Madenge.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

10 years ago

Michuzi

MKUU WA MKOA WA DODOMA MHE. CHIKU GALLAWA AFANYA ZIARA YA UKAGUZI SOKO LA WAMACHINGA LA REHEMA NCHIMBI COMPLEX MJINI DODOMA AGOSTI 12, 2015

 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (wa pili kushoto) akitembelea soko la wamachinga la Rehema Nchimbi Complex Mjini Dodoma wakati wa ziara yake ya ukaguzi sokoni hapo mapema leo, Wengine ni viongozi wa soko hilo. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa akikagua eneo la vyoo vya soko la wamachinga la Rehema Nchimbi Complex Mjini Dodoma wakati alipotembelea soko hilo mapema leo.
 Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Chiku Gallawa (katikati) akibadilishana mawazo juu ya changamoto za biashara na...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Tamasha la ‘Handeni Kwetu’ Desemba 13

TAMASHA kubwa la umataduni linalojulikana kama ‘Handeni Kwetu’ limepangwa kufanyika Desemba 13 mwaka huu, katika Uwanja wa Azimio, wilayani Handeni, mkoani Tanga. Katika tamasha hilo linalofanyika kwa mara pili, burudani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani