MHE. CHIKU GALLAWA AKAGUA UJENZI WA MAABARA MANISPAA YA DODOMA
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (mwenye kilemba kichwani) akimsikiliza Afisa Mtendaji wa Kata ya Msalato Dodoma Ndg. Herman Malindira (kulia) akiwasilisha taarifa ya mradi wa ujenzi maabara kwenye sekondari ya Chikole Feb. 16, 2015.
Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Mhe. Chiku Gallawa (kushoto) akitoa maagizo kwa viongozi wa Manispaa ya Dodoma na kata ya Msalato baada ya kutoridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa maabara wakati alipofanya ziara ya ukaguzi wa Maabara Mjini Dodoma Feb. 16, 2015.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA DODOMA MHE. CHIKU GALLAWA AFANYA ZIARA YA UKAGUZI SOKO LA WAMACHINGA LA REHEMA NCHIMBI COMPLEX MJINI DODOMA AGOSTI 12, 2015
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA WA DODOMA MHE. CHIKU GALLAWA AMUAPISHA MKUU MPYA WA WILAYA YA MPWAPWA MHE. ANTH0NY MAVUNDE
10 years ago
MichuziMHE. CHIKU GALLAWA AMEFANYA ZIARA YA UKAGUZI KWENYE MACHINJIO YA KISASA KIZOTA MKOANI DODOMA
10 years ago
GPLMHE. CHIKU GALLAWA AZINDUA MSIMU WA KILIMO KWA MWAKA 2015 KATIKA MKOA WA DODOMA
9 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-mKGY_qnHkyY/VioKzY3E0_I/AAAAAAAIB6g/PNpZOBLbHI0/s72-c/New%2BPicture.png)
TAARIFA YA MKUU WA MKOA WA DODOMA MHE. CHIKU GALLAWA KUHUSU UCHAGUZI MKUU WA OKTOBA 25, 2015 MKOANI DODOMA
Mkoa wa DodomaAnwani ya Simu REGCOMSimu Nambari: 2324343/2324384E-Mail No. ras@dodoma.go.tzFax No. +255 026 2320046
![](http://4.bp.blogspot.com/-mKGY_qnHkyY/VioKzY3E0_I/AAAAAAAIB6g/PNpZOBLbHI0/s1600/New%2BPicture.png)
Ofisi ya Mkuu wa Mkoa, S.L.P. 914, DODOMA.
Ndugu wananchi wa Mkoa wa Dodoma, tarehe 25 Oktoba, 2015 ni siku ya Uchaguzi Mkuu hapa nchini; ambapo, Watanzania wale wenye sifa za kupiga kura na waliojiandikisha, watapata...
10 years ago
MichuziMHE. CHIKU GALLAWA AWAAPISHA WAKUU WA WILAYA WATEULE WA WILAYA ZA MKOA WA DODOMA
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-FZrtNHsNu0o/U93e57eKsuI/AAAAAAACmuU/_p6ovA6mu4A/s72-c/55ebTanga-regional-commissioner-Chiku-Gallawa.jpg)
Chiku Gallawa mgeni rasmi Handeni Kwetu Foundation
![](http://4.bp.blogspot.com/-FZrtNHsNu0o/U93e57eKsuI/AAAAAAACmuU/_p6ovA6mu4A/s1600/55ebTanga-regional-commissioner-Chiku-Gallawa.jpg)
Tukio hilo la uzinduzi wa taasisi hiyo limepangwa kuanza saa 10 za jioni ambapo wamealikwa wageni mbalimbali kwa ajili ya kuitambulisha kabla ya kuanza kazi zake rasmi nchini Tanzania.
Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Msemaji wa taasisi hiyo, Kambi Mbwana,...
10 years ago
MichuziMKUU WA MKOA DODOM MH.CHIKU GALLAWA AFANYA ZIARA KITUO CHA WAKALA WA TAIFA WA HIFADHI YA CHAKULA - NFRA KANDA YA KATI
10 years ago
MichuziRais Kikwete akagua ujenzi wa Mikutano wa Kimataifa wa Dodoma
Muonekano wa ukumbi wa kimataifa wa mikutano wa Dodoma.(picha na...