FARIDA AZINDUA FARIDAS FOUNDATION KUSAIDIA WALEMAVU
Farida A. Sekimonyo akizungumza wakati wa uzinduzi wa Faridas Foundation. Keki maalum kwa tukio hilo. Sehemu…
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPLFARIDA FOUNDATION WAMWAGA MISAADA KWA WATOTO WALEMAVU
11 years ago
MichuziFARIDA FOUNDATION YATOA MISAADA HOSPITALI YA PALESTINA SINZA NA KWA WALEMAVU ENEO LA UBUNGO DARAJANI
11 years ago
Dewji Blog01 Jul
Uzinduzi rasmi wa Faridas Foundation wafana
Mkurugenzi Farida A. Sekimonyo wa Faridas Foundation akiomba Sala ya uzinduzi rasmi wa Foundation hiyo.
Mshehereshaji wa Shughuli ya uzinduzi wa Faridas Foundation Taji Liundi.
Elias Masaki katibu mkuu ‘CHAWATA’ na pia mweka hazina Shirikisho la watu wenye ulemavu akichangia mawazo kuhusiana na jinsi Farida Foundation inavyofanya kazi zake kwa jamii.
Baadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia maada mbalimbali zilizokuwa zikiendelea katika uzinduzi wa Faridas Foundation.
Kassim Kibwe...
11 years ago
MichuziTaasisi ya faridas foundation yazindua mradi mpya wa TADEPUGRA
Form za...
11 years ago
MichuziTAASISI YA FARIDA FOUNDATION KUFANYA UZINDUZI TAREHE 28/06/2014
Taasisi ya Faridas foundation inatarajia kufanya uzinduzi wake rasmi siku ya tar 28/6/2014 siku ya jumamosi katika ukumbi wa crystal hall, blue pearl hotel, ubungo plaza kuanzia saa 6 hadi 12 jioni. Katika siku hyo taasisi itatoa misaada mbali mbali kwa walemavu ikiwemo baiskeli za walemavu, vyerehani, vifaa vya shule na vifaa vingine muhimu kwa walemavu ukiwa kama mdau au mtanzania unayeguswa na walemavu na ungependa kuhudhuria siku hyo maalumu kadi zinapatikana kwa mchango wa...
11 years ago
MichuziTaasisi ya Farida Foundation yawawezesha wanafunzi wenye mtindio wa ubongo shule ya msingi Tabata jijini Dar
11 years ago
Habarileo17 Apr
Gharama za serikali tatu zitumike kusaidia walemavu
MJUMBE wa Bunge Maalumu la Katiba, Ali Omar Makame ametaka gharama zitakazotumika kuanzisha serikali ya tatu zikatumike kuwasaidia watu wenye ulemavu wanaoishi katika dimbwi la umasikini miongoni mwa Watanzania walio wengi nchini.
11 years ago
Tanzania Daima13 Feb
Jamii yatakiwa kutenga fedha kusaidia walemavu
WAKAZI wa Wilaya ya Monduli, mkoani Arusha na maeneo jirani wameombwa kutenga sh 1,500 katika matumizi yao ya siku kwa ajili ya kuchangia gharama za uendeshaji wa kituo cha kulelea...
9 years ago
Habarileo16 Sep
TEA watumia bil 2/- kusaidia shule za walemavu
MAMLAKA ya Elimu Tanzania (TEA) imetumia zaidi ya sh bilioni 1.83 kwa ajili ya kusaidia shule na vyuo vyenye watu wenye ulemavu katika kipindi cha miaka mitatu.