Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


FARIDA FOUNDATION YATOA MISAADA HOSPITALI YA PALESTINA SINZA NA KWA WALEMAVU ENEO LA UBUNGO DARAJANI

 Bi Farida Abdul Akikabidhi bandeji kwa ajili ya kufungia wagonjwa kwa Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Palestina Dk Hugoline Mselle  Bi Farida Abdul akimuonyesha kaimu Mganga mkuu wa Hospitali ya Palestina Dk Hugoline Mselle Vifaa ambavyo vimeletwa kama msaada kwenye Hospitali hiyo.Vifaa vilivyotolewa ni pamoja na Viti vya magurudumu vitatu ambavyo vitasaidia kubebea wagonjwa,Bandeji za kufungia vidonda,Ndoo za kuwekea taka,na vinginevyo.  Hivi ni viti Vitatu vya kubebea...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

FARIDA FOUNDATION WAMWAGA MISAADA KWA WATOTO WALEMAVU

Msanii Kelvina aliyealikwa kwenye hafla hiyo. Walimu wa wanafunzi walemavu wakipata maakuli. Watoto wakipata msosi.…

 

11 years ago

GPL

FARIDA AZINDUA FARIDAS FOUNDATION KUSAIDIA WALEMAVU

Farida A. Sekimonyo akizungumza wakati wa uzinduzi wa Faridas Foundation. Keki maalum kwa tukio hilo. Sehemu…

 

9 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi NMB waifanyia usafi Hospitali ya Sinza, Palestina

Mmoja wa wafanyakazi wa Benki ya NMB, Waziri Barnabas (tatu kushoto) ambaye ni Ofisa Mkuu wa Kitengo cha Fedha wa Benki ya NMB, akimkabidhi Mganga Msaidizi Hospitali Sinza Parestina, Dk. Faith Mdee (wa tatu kulia) baadhi ya vifaa vya usafi ili vibaki vikitumika kusaidia zoezi la usafi katika hospitali hiyo. Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wanaoishi Sinza na maeneo jirani wakijipanga kuanza kufanya usafi katiki Hospitali ya Sinza, Palestina ikiwa ni kuitikia mwito wa Rais Dk. John...

 

11 years ago

GPL

AJALI LA LORI UBUNGO DARAJANI

Lori lililopata ajali eneo la Ubungo Darajani jijini Dar likifungwa ili liondolewe eneo la tukio. AJALI hii imetokea muda mfupi uliopita eneo la Ubungo, Darajani jirani na River Side katika Barabara ya Mandela jijini Dar baada ya lori hili kukatika ringi za tairi za mbele katikati ya barabara. Katika ajali hiyo, hakuna abiria…

 

11 years ago

Michuzi

TAASISI YA FARIDA FOUNDATION KUFANYA UZINDUZI TAREHE 28/06/2014



 Taasisi ya Faridas foundation inatarajia kufanya uzinduzi wake rasmi siku ya tar 28/6/2014 siku ya jumamosi katika ukumbi wa crystal hall, blue pearl hotel, ubungo plaza kuanzia saa 6 hadi 12 jioni.  Katika siku hyo taasisi itatoa misaada mbali mbali kwa walemavu ikiwemo baiskeli za walemavu, vyerehani, vifaa vya shule na vifaa vingine muhimu kwa walemavu ukiwa kama mdau au mtanzania unayeguswa na walemavu na ungependa kuhudhuria siku hyo maalumu kadi zinapatikana kwa mchango wa...

 

11 years ago

Michuzi

Taasisi ya Farida Foundation yawawezesha wanafunzi wenye mtindio wa ubongo shule ya msingi Tabata jijini Dar

Mwenyekiti wa Taasisi ya Farida Foundation,Bi. Farida Abdul Sekimonyo (wa pili kulia) akikabidhi sehemu ya vitabu kwa mmoja wa Mwanafunzi mwenye mtindio wa Ubongo wanaosoma Shule ya Msingi Tabata jijini Dar.Farida Foundation imetoa vifaa mbali mbali vya kusomea kwa watoto hao wenye mtindio wa Ubongo waliopo kwenye Shule hiyo.Taasisi hiyo ya Farida Foundation imekuwa ikisaidia Walemavu wa aina zote watoto, vijana na watu wazima waliopo Tanzania nzima mpaka sasa imeshasaidia walemavu zaidi...

 

11 years ago

GPL

HII IMETOKEA MCHANA HUU ENEO LA MANZESE DARAJANI JIJINI DAR

AJALI hii imetokea mchana huu eneo la Manzese Darajani jirani na kituo cha Polisi Manzese jijini Dar es Salaam. (PICHA NA MDAU WA GPL,…

 

10 years ago

GPL

BASI LA WANAFUNZI WALEMAVU SINZA LAACHIWA HURU

Basi hilo likiwa maeneo ya shule. Watoto walemavu…

 

11 years ago

Michuzi

WASANII WA BONGO MOVIE KWA KUSHIRIKIANA NA KAMPUNI YA MABIBO BEER WATEMBELEA HOSPITALI YA MWANANYAMALA LEO NA KUTOA MISAADA KWA WAGONJWA.

 Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Mabibo Beer ambao ni wauzaji wa vinywaji vya Windhoek na Climax, Mama Benadetha Rugemalila akikabidhi baadhi ya misaada kwa Kaimu Mganga Mkuu wa Hospitali ya Mwananyamala, Bw Kariamel Wandi wakati Kampuni ya Mabibo Beer wakishirikiana na Wasanii wa Bongo movie walipotembelea Hospitali ya Mwanyamala ikiwa wanaadhimisha miaka mitatu ya Kuanzishwa kwa Klabu ya Bongo Movie. Wasanii wa Bongo Movie wakiwa katika picha ya pamoja na mkurugenzi mkuu wa Mabibo beer na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani