TAASISI YA FARIDA FOUNDATION KUFANYA UZINDUZI TAREHE 28/06/2014

Taasisi ya Faridas foundation inatarajia kufanya uzinduzi wake rasmi siku ya tar 28/6/2014 siku ya jumamosi katika ukumbi wa crystal hall, blue pearl hotel, ubungo plaza kuanzia saa 6 hadi 12 jioni.
Katika siku hyo taasisi itatoa misaada mbali mbali kwa walemavu ikiwemo baiskeli za walemavu, vyerehani, vifaa vya shule na vifaa vingine muhimu kwa walemavu ukiwa kama mdau au mtanzania unayeguswa na walemavu na ungependa kuhudhuria siku hyo maalumu kadi zinapatikana kwa mchango wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi
Taasisi ya Farida Foundation yawawezesha wanafunzi wenye mtindio wa ubongo shule ya msingi Tabata jijini Dar

11 years ago
GPLFARIDA AZINDUA FARIDAS FOUNDATION KUSAIDIA WALEMAVU
11 years ago
GPL
FARIDA FOUNDATION WAMWAGA MISAADA KWA WATOTO WALEMAVU
11 years ago
Michuzi12 Mar
11 years ago
MichuziFARIDA FOUNDATION YATOA MISAADA HOSPITALI YA PALESTINA SINZA NA KWA WALEMAVU ENEO LA UBUNGO DARAJANI
5 years ago
MichuziTAASISI YA ODO UMMY FOUNDATION YATOA VIFAA VYA USAFI KWA TAASISI KUBWA ZA DINI JIJINI TANGA
11 years ago
Michuzi.jpg)
CHUO CHA DIPLOMASIA — DAR ES SALAAM, KUFANYA KOZI FUPI YA PROTOCOL AND PULIC RELATIONS TAREHE 31st March - 4th Aprili 2014
.jpg)
Kozi fupi, Bwana, Juma M. Kanuwa CHUO CHA DIPLOMASIA DAR ES SALAAM, katika kuendeleza wito na wajibu wa kutoa mafunzo ya muda mfupi na mrefu, mnamo tarehe 31stMarch - 4th Aprili 2014 kitafanya kozi fupi ya ITIFAKI NA MAHUSIANO YA UMMA (PROTOCOL AND PUBLIC RELATIONS) Chuoni Kurasini, Dar es salaam, Wawezeshaji wa Mafunzo haya ya muda mfupi kawaida huwa ni mabalozi na wakufunzi waliobobea sana katika mambo ya Diplomasia hivyo kuwapa...