Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


CHUO CHA DIPLOMASIA — DAR ES SALAAM, KUFANYA KOZI FUPI YA PROTOCOL AND PULIC RELATIONS TAREHE 31st March - 4th Aprili 2014

Mkuu wa Idara ya Utafiti, Uchapishaji, Ushauri na
Kozi fupi, Bwana, Juma M. Kanuwa    CHUO CHA DIPLOMASIA DAR ES SALAAM, katika kuendeleza wito na wajibu wa kutoa mafunzo ya muda mfupi na mrefu, mnamo tarehe 31stMarch - 4th Aprili 2014 kitafanya kozi fupi ya ITIFAKI NA MAHUSIANO YA UMMA (PROTOCOL AND PUBLIC RELATIONS) Chuoni Kurasini, Dar es salaam,

Wawezeshaji wa Mafunzo haya ya muda mfupi kawaida huwa ni mabalozi na wakufunzi waliobobea sana katika mambo ya Diplomasia hivyo kuwapa...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

‘PROTOCOL AND PUBLIC RELATIONS’ SHORTCOURSE: CHUO CHA DIPLOMASIA CHAWANOA MAAFISA KUTOKA SERIKALINI NA SEKTA BINAFSI

Katika kuendeleza wajibu wake wa kutoa mafunzo ya muda mfupi, Chuo cha Diplomasia kimeendesha mafunzo ya juma moja ya Itifaki na Uhusiano ‘PROTOCOL AND PUBLIC RELATIONS’ Mafunzo haya yalilenga kuwaongezea uwezo maafisa mbali mbali kutoka serekalini na sekta binafsi. Mafunzo haya ni muendelezo wa mafunzo ya muda mfupi yatolewayo na Chuo cha Diplomasia, mathalan usuluhishi na utatuzi wa migogoro (Conflict Resolution and Mediation skills) na Itifaki na Uhusiano ( Protocol and Public...

 

11 years ago

Michuzi

uchaguzi wa viongozi wa tawi jipya la CCM chuo cha kimataifa cha Diplomasia Dar es salaam

   Baadhi ya wanachama wa Chama Cha mapinduzi (CCM) tawi la  chuo cha kimataifa cha Diplomasia wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza kwa uchaguzi wa tawi hilo jana jumamosi 24/5/2014.Kutoka kushoto ni Mohamed Mkumbwa,George Fautine,Dk.Telesphory Kyaruzi,Faiza Salim,Kanali Rankho,Mtela Mwampamba,Ali Makwiro na Kennedy Ndosi.Uchaguzi huo ulisimamiwa na Mtela Mwampamba,Kanali Rankho,Dotto Nyirenda,katibu wa CCM mkoa wa vyuo vikuu Bw.Zenda Daniel na katibu wa CCM itikadi na uenezi wa...

 

11 years ago

Dewji Blog

Kamati za Bunge kuanza kazi Jumatatu tarehe 28 Aprili 2014 Jijini Dar Es Salaam

0D6A1767

Afisa Habari wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Owen Mwandumbya akielezea kuhusu kufanyika kwa vikao vya Kamati za Bunge vinavyotarajia kuanza tarehe 28 Aprili hadi 4 Mei, 2014, Jijini Dar es Salaam kabla ya kuanza Mkutano wa Bunge wa Bajeti tarehe 6 Mei, 2014.(Picha na Tiganya Vincent-BMK-Dodoma).

Press Release – Kuanza Kamati April 28, 2014 by moblog

 

10 years ago

Vijimambo

RATIBA YA MKUTANO NA TAMASHA LA CHAUKIDU TAREHE 23 APRILI 2015 WASHINGTON DC CHUO KIKUU CHA HOWARD — WASHINGTON DC

RATIBA YA MKUTANO NA TAMASHA LA CHAUKIDUTAREHE 23 APRILI 2015 WASHINGTON DCCHUO KIKUU CHA HOWARD – WASHINGTON DC
MUDA/ SAATUKIOWAHUSIKAMAHALA2:00-3:00ASUBUHIKuwasili, kujiandikisha kwa washiriki wa mkutano  (Chai / Kahawa)Washiriki wote Howard University3:00-3:30Ukaribishaji wa WashirikiMkurugenzi wa ChaukiduHoward University3:30-4:00Ufunguzi Rasmi wa MkutanoRais wa ChaukiduHoward University4:00-5:30Kikao cha 1 – Mawasilisho ya Mada mbali mbali kutoka kwa Wanazuoni Mratibu – Leonard...

 

9 years ago

Michuzi

WANAFUNZI WA CHUO CHA KODI JIJINI DAR WATIMIZA WAJIBU KUFANYA USAFI KATIKA CHUO CHAO







CHUO cha Kodi cha Mwenge jijini Dar es Salam wameitikia wito wa kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Joseph Magufuli kufanya usafi katika mazingira ya Chuo hicho.

Kaimu Mkuu wa Chuo cha Kodi, Edward Mwakimonga amewasihi wanafunzi pamoja na wananchi kwa ujumla kuwa usafi ni afya na ikiwezekana iwe ni kawaida kufanya usafi kila baada ya wiki mara moja ili kuweka mazingira safi.
Nae Waziri Mkuu wa serikali ya chuo cha Kodi, Jeremia Shushu amewashukuru wanafunzi pamoja...

 

10 years ago

Michuzi

CHUO CHA DIPLOMASIA CHAADHIMISHA SIKU YA MAZINGIRA DUNIA


Mkurugenzi wa Chuo cha Diplomasia, Balozi Dk. Mohamed Maundi akipanda mti wa kumbukumbu katika eneo la chuo hicho ikiwa ni sehemu ya madhimisho ya siku ya mazingira Duniani. (Picha na Francis Dande) Mkurugenzi wa Chuo cha Diplomasia, Balozi Dk. Mohamed Maundi akimwagilia maji mti wa kumbukumbu alioupanda katika eneo la chuo hicho ikiwa ni sehemu ya madhimisho ya siku ya mazingira Duniani.  Naibu Mkurugenzi wa Mipango Utawala na Fedha wa Chuo cha Diplomasia, Dk. Bernard Achiula...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani