Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RATIBA YA MKUTANO NA TAMASHA LA CHAUKIDU TAREHE 23 APRILI 2015 WASHINGTON DC CHUO KIKUU CHA HOWARD — WASHINGTON DC

RATIBA YA MKUTANO NA TAMASHA LA CHAUKIDUTAREHE 23 APRILI 2015 WASHINGTON DCCHUO KIKUU CHA HOWARD – WASHINGTON DC
MUDA/ SAATUKIOWAHUSIKAMAHALA2:00-3:00ASUBUHIKuwasili, kujiandikisha kwa washiriki wa mkutano  (Chai / Kahawa)Washiriki wote Howard University3:00-3:30Ukaribishaji wa WashirikiMkurugenzi wa ChaukiduHoward University3:30-4:00Ufunguzi Rasmi wa MkutanoRais wa ChaukiduHoward University4:00-5:30Kikao cha 1 – Mawasilisho ya Mada mbali mbali kutoka kwa Wanazuoni Mratibu – Leonard...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

RATIBA YA TAMASHA LA CHAUKIDU TAREHE 23 APRILI 2015 WASHINGTON DC


HOLLYWOOD BALLROOM – SILVER SPRING, MARYLAND

(MUDA/SAA)

12:00 - 1:00

Kuwasili kwa Wanachama na Wageni Waalikwa

Washiriki Wote

Hollywood Ballroom

1:15-1:25

Ukaribisho Rasmi na maelezo kuhusu CHAUKIDU

Mkurugenzi wa CHAUKIDU-Dr. L. Muaka

Hollywood Ballroom

1:30-2:30

CHAKULA CHA JIONI

- Shairi (Anna Mwalagho)

- Wimbo - Kizazi Kipya (AJ Ubao)

- Kanga Fashion Show (Ma Winny)

MC / Mhudumu wa Chakula / Wasanii

Hollywood Ballroom

2:30-2:45

...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA CHAUKIDU TAREHE 23 APRILI 2015 WASHINGTON DC

Njoo upate chakula cha uhakika (African Buffet Style), vinywaji, burudani murua ya muziki kutoka kwa gwijiMaster DJ Luke na maonyesho kadhaa ya wasanii, akiwemo msanii kutoka Kenya Anna Mwalagho, katika Tamasha la kipekee April 23, 2015 kwa Dola 25 tu! Mgeni Rasmi wa Heshima na Taadhima ya Kipekee kutoka Tanzania atakuwepo kubariki Tamasha hili.
Mwana DMV, nunua tiketi yako mapema kwa kutembelea Tovuti ya CHAUKIDU <www.chaukidu.org>, au piga simu namba 301-433-3411 (Tumaini), 301-793-2833...

 

10 years ago

Vijimambo

WADAU WA KISWAHILI SIKU YA CHAUKIDU CHUO KIKUU CHA HOWARD


 Asha Nyang.anyi akiwa kwenye meza akikagua majina ya wadau wa Kiswahili kwenye sherehe ya  Chama Cha Ukuzaji Wa Kiswahili Duniani (CHAUKIDU) inayoendelea sasa hizi chuo kikuu cha Howard kilichopo Washington, DC na Rais msataafu Ali Hassan Mwinyi atakua mgeni rasmi.Wadau wa Kiswahili wakiendelea kuingia ukumbini. Wadau kutoka Zanzibar wakipata picha Walimu wa kiswahili wa vyuo mbalimbali wakipata picha ya pamoja. wadau wa Kiswahili wakihudhuria sherehe ya CHAUKIDU Walimu na maporofesa wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Mkutano Mkuu wa CHAUKIDU na Tamasha la ukuzaji Kiswahili kufanyika Washington DC

Aprili 23 mwaka huu, Chama cha Ukuzaji Kiswahili Duniani (chaukidu) kinategemea kufanya mkutano mkuu wake, pamoja na tamasha la ukuzaji wa lugha ya Kiswahili.
Hayo yatafanyika hapa Washington DC.
Septemba mwaka jana nilipata fursa ya kuhudhuria mkutano wa awali uliojadili mikakati ya mkutano na tamasha lijalo.
Baada ya hapo nilipata fursa kuzungumza na viongozi wa CHAUKIDU
Dr Leornard Muaka. Yeye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Chaudiku. Na ni mwalimu wa lugha katika Chuo Kikuu cha Wiston Salem jimbo...

 

10 years ago

Vijimambo

SHEREHE YA CHAUKIDU YA MCHANA CHUO CHA HOWARD YAFANA

Rais wa CHAUKIDU Prof Lioba Moshi watatu toka kushoto akimkaribisha Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi mara tu alipowasili kama mgeni rasmi chuo kikuu cha Howard Washington, DC katika sherehe ya chama cha ukuzaji wa Kiswahili Duniani siku ya Alhamisi April 23, 2015 kulia ni Prof Venessa White Jackson  Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi akimtambulisha mkewe mama Sitti Mwinyi kwa mwenyeji wao Prof Lioba Moshi pia na yeye akimtambulisha mama Sitti Mwinyi kwa Prof Venessa White Jackson kushoto ni Balozi...

 

11 years ago

GPL

P. DIDDY ATUNUKIWA SHAHADA YA HESHIMA CHUO KIKUU CHA HOWARD

Ni furaha tupu siku P. Diddy alipotunukiwa shahada ya heshima katika Chuo Kikuu cha Howard jana jijini Washington DC. Diddy akiwa katika furaha kubwa mbele ya jumuia ya chuo hicho.   Diddy…

 

9 years ago

Michuzi

MHE.BALOZI WILSON M. MASILINGI ATEMBELEA KITENGO CHA VISA KATIKA OFISI ZA UBALOZI WA TANZANIA, WASHINGTON D.C, SIKU YA KUMBUKUMBU YA UHURU, TAREHE 9 DISEMBA, 2015

Katika kutekeleza agizo la Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Ubalozi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Washington D.C umeendelea kufanya kazi na kutoa huduma za Visa na Pasipoti kama sehemu ya maadhimisho ya sikukuu hiyo.  Pamoja na kazi zingine za Ubalozi kuendelea kama kawaida, Mhe. Balozi Wilson M.Masilingi alitembelea kitengo cha Visa na huduma za Uhamiaji na kufanya mazungumzo mafupi na Mkuu wa Kitengo hicho Bw. Abbas A. Missana, Afisa...

 

10 years ago

Dewji Blog

Mkutano wa Injili Washington DC Aug 14 — 16, 2015

Kanisa la The Way of the Cross Gospel Ministries linapenda kuwaalika katika siku tatu za mkutano wa uamsho utakaofanyika hapa Washington DC.

Ni kati ya Agosti 14-16 2015



Mtumishi wa Mungu Emmanuel Mgaya ama Masanja Mkandamizaji alipohudumu kwa waumini wa jiji la Washington DC na vitongoji vyake siku ya Jumapili 07/07/2013 katika kanisa la THE WAY OF THE CROSS GOSPEL MINISTRIES

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani