TAMASHA LA CHAUKIDU TAREHE 23 APRILI 2015 WASHINGTON DC

Njoo upate chakula cha uhakika (African Buffet Style), vinywaji, burudani murua ya muziki kutoka kwa gwijiMaster DJ Luke na maonyesho kadhaa ya wasanii, akiwemo msanii kutoka Kenya Anna Mwalagho, katika Tamasha la kipekee April 23, 2015 kwa Dola 25 tu! Mgeni Rasmi wa Heshima na Taadhima ya Kipekee kutoka Tanzania atakuwepo kubariki Tamasha hili.
Mwana DMV, nunua tiketi yako mapema kwa kutembelea Tovuti ya CHAUKIDU <www.chaukidu.org>, au piga simu namba 301-433-3411 (Tumaini), 301-793-2833...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
10 years ago
Vijimambo23 Apr
RATIBA YA TAMASHA LA CHAUKIDU TAREHE 23 APRILI 2015 WASHINGTON DC
HOLLYWOOD BALLROOM – SILVER SPRING, MARYLAND (MUDA/SAA)12:00 - 1:00 Kuwasili kwa Wanachama na Wageni Waalikwa Washiriki Wote Hollywood Ballroom 1:15-1:25 Ukaribisho Rasmi na maelezo kuhusu CHAUKIDU Mkurugenzi wa CHAUKIDU-Dr. L. Muaka Hollywood Ballroom 1:30-2:30 CHAKULA CHA JIONI - Shairi (Anna Mwalagho)- Wimbo - Kizazi Kipya (AJ Ubao)- Kanga Fashion Show (Ma Winny) MC / Mhudumu wa Chakula / Wasanii Hollywood Ballroom 2:30-2:45 ...
10 years ago
Vijimambo
RATIBA YA MKUTANO NA TAMASHA LA CHAUKIDU TAREHE 23 APRILI 2015 WASHINGTON DC CHUO KIKUU CHA HOWARD — WASHINGTON DC

MUDA/ SAATUKIOWAHUSIKAMAHALA2:00-3:00ASUBUHIKuwasili, kujiandikisha kwa washiriki wa mkutano (Chai / Kahawa)Washiriki wote Howard University3:00-3:30Ukaribishaji wa WashirikiMkurugenzi wa ChaukiduHoward University3:30-4:00Ufunguzi Rasmi wa MkutanoRais wa ChaukiduHoward University4:00-5:30Kikao cha 1 – Mawasilisho ya Mada mbali mbali kutoka kwa Wanazuoni Mratibu – Leonard...
10 years ago
Vijimambo
Mkutano Mkuu wa CHAUKIDU na Tamasha la ukuzaji Kiswahili kufanyika Washington DC

Hayo yatafanyika hapa Washington DC.
Septemba mwaka jana nilipata fursa ya kuhudhuria mkutano wa awali uliojadili mikakati ya mkutano na tamasha lijalo.
Baada ya hapo nilipata fursa kuzungumza na viongozi wa CHAUKIDU
Dr Leornard Muaka. Yeye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Chaudiku. Na ni mwalimu wa lugha katika Chuo Kikuu cha Wiston Salem jimbo...
10 years ago
Michuzi
MAONESHO YA KIMATAIFA YA VITO YA ARUSHA TAREHE 21-23 APRILI, 2015

MAONESHO YA KIMATAIFA YA VITO YA ARUSHATAREHE 21-23 APRILI, 2015
Wizara ya Nishati na Madini (MEM) kwa kushirikiana na Chama cha Wafanyabiashara wa Madini Tanzania (TAMIDA), wanawaalika wadau wote wa Sekta ya Madini na wamiliki wa leseni za biashara ya madini, Masonara na wachimbaji wa madini ya vito kushiriki kwenye Maonesho ya Nne ya Kimataifa ya Vito ya Arusha (Arusha Gem Fair-AGF 2015). Maonesho haya yatafanyika katika hoteli ya...
10 years ago
Michuzi22 Apr
10 years ago
Michuzi.jpg)
UZINDUZI WA BARAZA LA WAFANYAKAZI WA WIZARA YA MAENDELEO YA JAMII, JINSIA NA WATOTO MKOANI MOROGORO TAREHE 9 APRILI, 2015
Baraza la Wafanyakazi linaundwa na wawakilishi wa wafanyakazi wote wa Wizara na wanachaguliwa kwa mfumo wa haki na uwazi. Baraza hili ni chombo muhimu sana kwani uhalali na uundwaji wake upo kisheria. ...
10 years ago
VijimamboBalozi mpya wa Senegal nchini Marekani atembelea ubalozi wa Tanzania Washington,DC leo Jumanne tarehe 10/02/2015.
10 years ago
GPLTAMASHA LA 34 LA KIMATAIFA LA SANAA NA UTAMADUNI KUFANYIKA TAREHE 21-27, 2015, MJINI BAGAMOYO