Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MAONESHO YA KIMATAIFA YA VITO YA ARUSHA TAREHE 21-23 APRILI, 2015

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA NISHATI NA MADINI
MAONESHO YA KIMATAIFA YA VITO YA ARUSHATAREHE 21-23 APRILI, 2015
Wizara ya Nishati na Madini (MEM) kwa kushirikiana na Chama cha Wafanyabiashara wa Madini Tanzania (TAMIDA), wanawaalika wadau wote wa Sekta ya Madini na wamiliki wa leseni za biashara ya madini, Masonara na wachimbaji wa madini ya vito kushiriki kwenye Maonesho ya Nne ya Kimataifa ya Vito ya Arusha (Arusha Gem Fair-AGF 2015). Maonesho haya yatafanyika katika hoteli ya...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Simbachawene atembelea Banda la Tanzanite One katika maonesho ya nne ya kimataifa ya madini ya vito, jijini Arusha

Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene (kulia) akipata maelezo kwa wakurugenzi wa kampuni ya Tanzanite One, Faisal Juma Shabhai na Hussein Gonga, kuhusiana na uchimbaji wa madini ya Tanzanite, baada ya kutembelea kituo cha kampuni hiyo, katika maonesho ya nne ya kimataifa ya madini ya vito, yanayoendelea Mount Meru hotel.

 

10 years ago

Michuzi

Taswira mbali mbali za Maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Vito ya Arusha (AGF)

Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eng. Ngosi Mwihava, (wa tatu kutoka kushoto) akizindua Maonesho ya Tatu ya Kimataifa ya Vito ya Arusha yaliyofanyika jijini Arusha kuanzia tarehe 19 hadi 20 Novemba 2014. Wanaoshuhudia uzinduzi huo ni Kamishna wa Madini nchini, Eng. Paul Masanja (kushoto), na Mwenyekiti wa Chama cha Wafanyabiashara wa Madini Tanzania (TAMIDA) Sammy Mollel (kulia). Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Nishati na Madini Eng. Ngosi Mwihava, (kushoto) akihutubia wadau...

 

11 years ago

Michuzi

MAONESHO YA 53 YA KIMATAIFA YA MADINI YA VITO NA USONARA YAFUNGULIWALIWA RASMI

Kamishna Msaidizi wa Madini ,Wizara ya Nishati na Madini , Mhandisi Hamis Komba akiongea jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara ya Thailand Mhe. Srirat Rastapana mara baada ya kufungua maonesho ya 53 ya “Bangkok Gems & Jewelry Fair” mapema leo. Nyuma ya Kamishna ni Bw. Edward Rweymamu ni Mthamini wa Madini ya Almas Wizara ya Nishati na Madini. Kushoto Mhe. Dora Mushi mfanyabiashara wa madini kutoka Arusha. Rais wa Shirikisho la madini ya vito na usonara la Thailand Bw. Somchai...

 

10 years ago

Michuzi

Maonesho ya Nne ya Vito ya Arusha yaanza rasmi

Na Veronica Simba

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Jowika Kasunga ametembelea Maonesho ya Nne ya Vito ya Arusha na kuwataka wafanyabiashara wa madini ya vito nchini kuongeza bidii na ubunifu katika kazi yao ili waweze kunufaika na biashara hiyo kwa kukuza kipato chao na uchumi wa nchi kwa ujumla.

Mheshimiwa Kasunga aliyasema hayo katika siku ya kwanza ya maonesho hayo yanayofanyika jijini Arusha katika Hoteli ya Mount Meru na kushirikisha wafanyabiashara wa madini ya vito wa hapa nchini na nje...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania kushiriki maonesho ya 53 ya Kimataifa ya Madini ya Vito na Usonara huko Thailand baadae mwezi huu



Na Asteria Muhozya, Dar es Salaam

Tanzania inatarajiwa kuwa, miongoni mwa nchi 150 zitakazoshiriki maonesho ya 53 ya Kimataifa ya madini ya vito na usonara yatakayofanyika Bangkok Thailand, kuanzia tarehe 25 februari hadi tarehe 1 Machi, 2014.

Kutokana na kuwa na hazina kubwa ya madini ya aina mbalimbali, Tanzania imealikwa kuwa miongoni mwa nchi zitakazo shiriki maonesho hayo yanayojulikana kama ‘Bangkok Gems and Jewelry  Fair’.

Akizungumzia ushiriki wa Tanzania katika maonesho hayo...

 

10 years ago

Vijimambo

TAMASHA LA CHAUKIDU TAREHE 23 APRILI 2015 WASHINGTON DC

Njoo upate chakula cha uhakika (African Buffet Style), vinywaji, burudani murua ya muziki kutoka kwa gwijiMaster DJ Luke na maonyesho kadhaa ya wasanii, akiwemo msanii kutoka Kenya Anna Mwalagho, katika Tamasha la kipekee April 23, 2015 kwa Dola 25 tu! Mgeni Rasmi wa Heshima na Taadhima ya Kipekee kutoka Tanzania atakuwepo kubariki Tamasha hili.
Mwana DMV, nunua tiketi yako mapema kwa kutembelea Tovuti ya CHAUKIDU <www.chaukidu.org>, au piga simu namba 301-433-3411 (Tumaini), 301-793-2833...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani