Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simbachawene atembelea Banda la Tanzanite One katika maonesho ya nne ya kimataifa ya madini ya vito, jijini Arusha

Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene (kulia) akipata maelezo kwa wakurugenzi wa kampuni ya Tanzanite One, Faisal Juma Shabhai na Hussein Gonga, kuhusiana na uchimbaji wa madini ya Tanzanite, baada ya kutembelea kituo cha kampuni hiyo, katika maonesho ya nne ya kimataifa ya madini ya vito, yanayoendelea Mount Meru hotel.

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

JK ATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA KATIKA MAONESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA, LEO JIJINI DAR ES SALAAM

 Kamishna wa Fedha na Utawala wa Jeshi la Magereza, Gaston Sanga akimkaribisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete alipotembelea Banda la Jeshi la Magereza lililopo katika Uwanja wa Mwalimu Nyerere katika Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa, leo Julai 5, 2014 Jijini Dar es Salaam(wa kwanza kulia) ni Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza, Sania Kigwe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia Mbogamboga aina...

 

11 years ago

Michuzi

WAZIRI WA KILIMO, CHAKULA NA USHIRIKA ATEMBELEA BANDA LA JESHI LA MAGEREZA MAONESHO YA 38 YA BIASHARA YA KIMATAIFA JIJINI DAR

Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhe. Christopher Chiza(Shati jeupe) akiangalia zao la Mahindi yaliyolimwa katika Bustani Maalum ya Shamba Darasa katika Banda la Jeshi la Magereza alipotembelea Banda hilo kujionea Kilimo cha Kisasa na Biashara Maonesho ya 38 ya Biashara ya Kimataifa, Jijini Dar es Salaam(wa kwanza kulia) ni Mtaalam wa Kilimo wa Jeshi la Magereza, Mrakibu wa Magereza, Uswege Mwakahesya. Waziri wa Kilimo, Chakula na Ushirika, Mhe. Christopher Chiza akiangalia zao la...

 

11 years ago

Michuzi

MAONESHO YA 53 YA KIMATAIFA YA MADINI YA VITO NA USONARA YAFUNGULIWALIWA RASMI

Kamishna Msaidizi wa Madini ,Wizara ya Nishati na Madini , Mhandisi Hamis Komba akiongea jambo na Katibu Mkuu wa Wizara ya Biashara ya Thailand Mhe. Srirat Rastapana mara baada ya kufungua maonesho ya 53 ya “Bangkok Gems & Jewelry Fair” mapema leo. Nyuma ya Kamishna ni Bw. Edward Rweymamu ni Mthamini wa Madini ya Almas Wizara ya Nishati na Madini. Kushoto Mhe. Dora Mushi mfanyabiashara wa madini kutoka Arusha. Rais wa Shirikisho la madini ya vito na usonara la Thailand Bw. Somchai...

 

10 years ago

Michuzi

Maonesho ya Nne ya Vito ya Arusha yaanza rasmi

Na Veronica Simba

Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Jowika Kasunga ametembelea Maonesho ya Nne ya Vito ya Arusha na kuwataka wafanyabiashara wa madini ya vito nchini kuongeza bidii na ubunifu katika kazi yao ili waweze kunufaika na biashara hiyo kwa kukuza kipato chao na uchumi wa nchi kwa ujumla.

Mheshimiwa Kasunga aliyasema hayo katika siku ya kwanza ya maonesho hayo yanayofanyika jijini Arusha katika Hoteli ya Mount Meru na kushirikisha wafanyabiashara wa madini ya vito wa hapa nchini na nje...

 

9 years ago

Michuzi

TANZANITE YAING’ARISHA TANZANIA KATIKA MAONESHO YA VITO BANKOK

 Wanunuzi wa madini wakikagua madini ya vito kutoka kwa mfanyabiashara wa madini wa Tanzania katika banda la Tanzania kwenye maonesho kimataifa ya 56 ya Madini ya vito na usonara yanayofanyika mjini Bankok, Thailand. Ofisa kutoka Wakala wa Ukaguzi wa Madini Nchini (TMAA), Bi. Stella akimpatia maelezo mmoja kati ya wanunuzi wa madini ya vito waliofika katika banda la Tanzania kutaka maelezo ya jinsi ya kuweza kununua madini hayo ya vito yanayopatikana Tanzania. Picha ya pamoja kati ya ujumbe...

 

10 years ago

Michuzi

MAONESHO YA KIMATAIFA YA VITO YA ARUSHA TAREHE 21-23 APRILI, 2015

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIAWIZARA YA NISHATI NA MADINI
MAONESHO YA KIMATAIFA YA VITO YA ARUSHATAREHE 21-23 APRILI, 2015
Wizara ya Nishati na Madini (MEM) kwa kushirikiana na Chama cha Wafanyabiashara wa Madini Tanzania (TAMIDA), wanawaalika wadau wote wa Sekta ya Madini na wamiliki wa leseni za biashara ya madini, Masonara na wachimbaji wa madini ya vito kushiriki kwenye Maonesho ya Nne ya Kimataifa ya Vito ya Arusha (Arusha Gem Fair-AGF 2015). Maonesho haya yatafanyika katika hoteli ya...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania kushiriki maonesho ya 53 ya Kimataifa ya Madini ya Vito na Usonara huko Thailand baadae mwezi huu



Na Asteria Muhozya, Dar es Salaam

Tanzania inatarajiwa kuwa, miongoni mwa nchi 150 zitakazoshiriki maonesho ya 53 ya Kimataifa ya madini ya vito na usonara yatakayofanyika Bangkok Thailand, kuanzia tarehe 25 februari hadi tarehe 1 Machi, 2014.

Kutokana na kuwa na hazina kubwa ya madini ya aina mbalimbali, Tanzania imealikwa kuwa miongoni mwa nchi zitakazo shiriki maonesho hayo yanayojulikana kama ‘Bangkok Gems and Jewelry  Fair’.

Akizungumzia ushiriki wa Tanzania katika maonesho hayo...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani