Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANITE YAING’ARISHA TANZANIA KATIKA MAONESHO YA VITO BANKOK

 Wanunuzi wa madini wakikagua madini ya vito kutoka kwa mfanyabiashara wa madini wa Tanzania katika banda la Tanzania kwenye maonesho kimataifa ya 56 ya Madini ya vito na usonara yanayofanyika mjini Bankok, Thailand. Ofisa kutoka Wakala wa Ukaguzi wa Madini Nchini (TMAA), Bi. Stella akimpatia maelezo mmoja kati ya wanunuzi wa madini ya vito waliofika katika banda la Tanzania kutaka maelezo ya jinsi ya kuweza kununua madini hayo ya vito yanayopatikana Tanzania. Picha ya pamoja kati ya ujumbe...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Tanzanite yaing’arisha Tanzania kimataifa

Wadau mbalimbali wa madini ya vito waliopata bahati kutembelea Banda la Tanzania katika siku ya kwanza ya Maonesho ya 54 ya Kimataifa ya Vito na Usonara ya Bangkok, wakishangazwa na mng’ao wa Kito cha Tanzanite katika Pete iliyovalishwa kidoleni mwa Mwanafunzi, Raia wa Thailand aliyeomba kujaribisha Pete hiyo. Anayetoa maelezo ni Mfanyabiashara wa Madini ya Vito kutoka Tanzania, Bw. Gregory Kibusi (Mwenye mavazi ya Bhatiki).Mkurugenzi wa Kitengo cha Uthaminishaji wa Madini ya Almasi na Vito...

 

10 years ago

GPL

TANZANITE YAING’ARISHA TANZANIA KIMATAIFA

Wadau mbalimbali wa madini ya vito waliopata bahati kutembelea Banda la Tanzania katika siku ya kwanza ya Maonesho ya 54 ya Kimataifa ya Vito na Usonara ya Bangkok, wakishangazwa na mng’ao wa Kito cha Tanzanite katika Pete iliyovalishwa kidoleni mwa Mwanafunzi, Raia wa Thailand aliyeomba kujaribisha Pete hiyo. Anayetoa maelezo ni Mfanyabiashara wa Madini ya Vito kutoka Tanzania, Bw. Gregory Kibusi (Mwenye mavazi ya...

 

10 years ago

Michuzi

Simbachawene atembelea Banda la Tanzanite One katika maonesho ya nne ya kimataifa ya madini ya vito, jijini Arusha

Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene (kulia) akipata maelezo kwa wakurugenzi wa kampuni ya Tanzanite One, Faisal Juma Shabhai na Hussein Gonga, kuhusiana na uchimbaji wa madini ya Tanzanite, baada ya kutembelea kituo cha kampuni hiyo, katika maonesho ya nne ya kimataifa ya madini ya vito, yanayoendelea Mount Meru hotel.

 

11 years ago

Mwananchi

Mapambano ya rushwa yaing’arisha Tanzania

Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi tatu za juu ulimwenguni katika harakati za kuzuia na kupambana na rushwa pamoja na masuala ya utawala bora.

 

9 years ago

Michuzi

TANZANIA YAENDELEA KUNG’ARA KATIKA MAONESHO YA VITO JIJINI BANGKOK, NCHINI THAILAND

Wafanyabiashara wa madini kutoka Tanzania wakiendelea kuonesha madini ya vito katika Banda la Tanzania jijini Bangkok, Thailand. Nchi ya Thailand hufanya maonesho hayo kila mwaka ambapo huwaingizia fedha nyingi za kigeni zinazotokana na mauzo ya vito pamoja na utalii unaotokana na wageni wanaokuja kushiriki kwenye maonesho hayo kutoka nchi mbalimbali duniani. Baadhi ya Madini ya Vito kutoka Tanzania yakiwa katika banda la Tanzania kwa ajili ya mauzo kwa Wafanyabiashara wa nchi mbalimbali...

 

11 years ago

Michuzi

Tanzania kushiriki maonesho ya 53 ya Kimataifa ya Madini ya Vito na Usonara huko Thailand baadae mwezi huu



Na Asteria Muhozya, Dar es Salaam

Tanzania inatarajiwa kuwa, miongoni mwa nchi 150 zitakazoshiriki maonesho ya 53 ya Kimataifa ya madini ya vito na usonara yatakayofanyika Bangkok Thailand, kuanzia tarehe 25 februari hadi tarehe 1 Machi, 2014.

Kutokana na kuwa na hazina kubwa ya madini ya aina mbalimbali, Tanzania imealikwa kuwa miongoni mwa nchi zitakazo shiriki maonesho hayo yanayojulikana kama ‘Bangkok Gems and Jewelry  Fair’.

Akizungumzia ushiriki wa Tanzania katika maonesho hayo...

 

11 years ago

Mwananchi

UHALIFU: ‘Mchina’ akamatwa na vito vya tanzanite JNIA

>Mtu anayesadikiwa kuwa ni raia wa China, amekamatwa akiwa na madini aina ya tanzanite huku kukiwa na utata wa kushikiliwa kwake.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani