Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZANITE YAING’ARISHA TANZANIA KIMATAIFA

Wadau mbalimbali wa madini ya vito waliopata bahati kutembelea Banda la Tanzania katika siku ya kwanza ya Maonesho ya 54 ya Kimataifa ya Vito na Usonara ya Bangkok, wakishangazwa na mng’ao wa Kito cha Tanzanite katika Pete iliyovalishwa kidoleni mwa Mwanafunzi, Raia wa Thailand aliyeomba kujaribisha Pete hiyo. Anayetoa maelezo ni Mfanyabiashara wa Madini ya Vito kutoka Tanzania, Bw. Gregory Kibusi (Mwenye mavazi ya...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Tanzanite yaing’arisha Tanzania kimataifa

Wadau mbalimbali wa madini ya vito waliopata bahati kutembelea Banda la Tanzania katika siku ya kwanza ya Maonesho ya 54 ya Kimataifa ya Vito na Usonara ya Bangkok, wakishangazwa na mng’ao wa Kito cha Tanzanite katika Pete iliyovalishwa kidoleni mwa Mwanafunzi, Raia wa Thailand aliyeomba kujaribisha Pete hiyo. Anayetoa maelezo ni Mfanyabiashara wa Madini ya Vito kutoka Tanzania, Bw. Gregory Kibusi (Mwenye mavazi ya Bhatiki).Mkurugenzi wa Kitengo cha Uthaminishaji wa Madini ya Almasi na Vito...

 

9 years ago

Michuzi

TANZANITE YAING’ARISHA TANZANIA KATIKA MAONESHO YA VITO BANKOK

 Wanunuzi wa madini wakikagua madini ya vito kutoka kwa mfanyabiashara wa madini wa Tanzania katika banda la Tanzania kwenye maonesho kimataifa ya 56 ya Madini ya vito na usonara yanayofanyika mjini Bankok, Thailand. Ofisa kutoka Wakala wa Ukaguzi wa Madini Nchini (TMAA), Bi. Stella akimpatia maelezo mmoja kati ya wanunuzi wa madini ya vito waliofika katika banda la Tanzania kutaka maelezo ya jinsi ya kuweza kununua madini hayo ya vito yanayopatikana Tanzania. Picha ya pamoja kati ya ujumbe...

 

11 years ago

Mwananchi

Mapambano ya rushwa yaing’arisha Tanzania

Tanzania imetajwa kuwa miongoni mwa nchi tatu za juu ulimwenguni katika harakati za kuzuia na kupambana na rushwa pamoja na masuala ya utawala bora.

 

10 years ago

Habarileo

CAG aahidi kuing’arisha Tanzania kimataifa

Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa AssadMDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad ambaye pia ni mjumbe wa Bodi ya Ukaguzi ya Umoja wa Mataifa (UNBoA) amesema Tanzania itaendelea kuwa kinara katika shughuli za ukaguzi wa Umoja wa Mataifa ili kuweza kuiletea nchi sifa katika eneo la ukaguzi wa hesabu za umoja huo.

 

11 years ago

Tanzania Daima

DAVIDO: Mnigeria anayemng’arisha Diamond kimataifa

DAVID Adedeji Adeleke ‘Davido’, ni miongoni mwa wasanii kutoka nchini Nigeria anayetikisa dunia kutokana na kazi zake zenye ubora. Kwa hapa Tanzania, amemuwezesha msanii Nassib Abdul ‘Diamond’ kutamba katika vituo...

 

9 years ago

Vijimambo

Tanzanite: The hidden treasure of Tanzania We arrive at Tanzanite One on a cool September morning.


The global tanzanite market is only worth $50m
The drive from the nearest town, Arusha, was not too long, but the last stretch on a gravel road littered with ditches made the hairs on the back of my neck stand up.
Once we got to the mine, we were given an induction and a quick briefing on the safety rules. After that we were off to the actual shaft, where we were allocated overalls, helmets and yellow plastic boots.
When I saw the contraption that would carry us 460 metres (yards) below ground,...

 

10 years ago

Michuzi

Simbachawene atembelea Banda la Tanzanite One katika maonesho ya nne ya kimataifa ya madini ya vito, jijini Arusha

Waziri wa Nishati na Madini, George Simbachawene (kulia) akipata maelezo kwa wakurugenzi wa kampuni ya Tanzanite One, Faisal Juma Shabhai na Hussein Gonga, kuhusiana na uchimbaji wa madini ya Tanzanite, baada ya kutembelea kituo cha kampuni hiyo, katika maonesho ya nne ya kimataifa ya madini ya vito, yanayoendelea Mount Meru hotel.

 

9 years ago

Habarileo

Kikwete aing’arisha Tanzania

TANZANIA imetajwa kuwa kinara katika nchi za Afrika Mashariki kwa kutunza amani na utulivu tangu ipate uhuru, huku Rais Jakaya Kikwete akiibuka kiongozi bora katika ukanda huo kwa kujitolea kuleta amani katika Bara la Afrika na kutunza amani hiyo nchini mwake.

 

10 years ago

Michuzi

Tanzania kuungana na Jumuiya ya Kimataifa kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Hifadhi ya Tabaka la Ozoni

NA EVELYN MKOKOI,DODOMA
Serikali  imefanikisha kwa kiasi kikubwa kuondosha matumizi ya kemikali zinazomong’onyoa Tabaka la Ozoni kwa kupitia mikakati ya kitaifa ambayo ni pamoja na Kujenga uwezo wa Taasisi zinazosimamia utekelezeji wa Mkataba wa Montreal, Kuweka takwimu za kemikali hizo,Kutoa elimu kwa wadau na kwa umma wa Watanzania kuhusu umuhimu wa Tabaka la Ozoni na hatari zinazolikabili.
Hayo yameelezwa leo na Waziri wa nchi ofisi ya makamu wa Raisi Mazingira Mh. Binilith Mahenge...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani