UNHCR yazindua mradi masomo kwa mtandao
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) kwa kushirikiana na Worldreadder wamezindua mradi wa masomo kwa njia ya mtandao kwa wanafunzi wa shule za sekondari nne mkoani Katavi ...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLWORLD LUNG FOUNDATION YAZINDUA MRADI WA ELIMU KWA MTANDAO (E-LEARNING)
10 years ago
Dewji Blog08 May
World Lung Foundation yazindua mradi wa elimu kwa mtandao inayosaidia kuokoa maisha ya akina mama na watoto
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Rashid, akizindua mradi wa elimu kwa mtandao unaosaidia kuokoa maisha ya mama na mtoto ambao unaendeshwa na kusimamiwa na Shirika la World Lung Foundation (WLF) la hapa nchini, ambapo vituo vya Afya 13 vinanufaika na mradi huo.
Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii Dk.Seif Rashid (wapili kulia), akipiga makofi mara baada ya kuzindua mradi wa elimu kwa mtandao unaosaidia kuokoa maisha ya mama na mtoto ambao unaendeshwa na kusimamiwa na Shirika la World...
5 years ago
Michuzi12 Mar
MAJALIWA: WANAVYUO CHINA WAENDELEA NA MASOMO KWA NJIA YA MTANDAO

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana Waziri Mkuu Mstaafu na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Mizengo Peter Pinda, wakati akiwasili kwenye mahafali ya 38 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT), katika uwanja wa Ilulu mjini Lindi Machi 12, 2020.

10 years ago
MichuziBayport yazindua huduma ya mikopo kwa njia ya mtandao
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamTAASISI ya Kifedhaya Bayport Financial...
10 years ago
Vijimambo02 Nov
CHADEMA YAZINDUA PROGRAM TATU ZA KUJIENEZA KWA NJIA YA MTANDAO

10 years ago
MichuziWIZARA YA NISHATI NA MADINI YAZINDUA HUDUMA ZA LESENI KWA NJIA YA MTANDAO
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
GPLPROIN PROMOTION YAZINDUA MPANGO WA KUUZA FILAMU ZAKE KWA NJIA YA MTANDAO
10 years ago
MichuziPROIN PROMOTION YAZINDUA MPANGO WA KUUZA VILAMU ZAKE KWA NJIA YA MTANDAO
9 years ago
Dewji Blog02 Dec
Kampuni ya Interswitch yazindua huduma ya malipo kwa njia ya mtandao jijini Dar leo
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Interswitch kwa Afrika Mashariki Bernard Matthewman, akizungumza na wadau mbalimbali Dar es Salaam leo , wakati wa uzinduzi wa kampuni hiyo hapa nchini uliofanyika Hoteli ya Hyatt Regency- Kilimanjaro pamoja na huduma ya malipo kwa njia ya mtandao.
Wadau wakiwa kwenye uzinduzi huo.

Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.

Maofisa wa kampuni hiyo wakiwa kwenye uzinduzi huo.

Mmoja wa maofisa wa kampuni hiyo akiwa katika uzinduzi huo.

Mkutano na...