MAJALIWA: WANAVYUO CHINA WAENDELEA NA MASOMO KWA NJIA YA MTANDAO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana Waziri Mkuu Mstaafu na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Mizengo Peter Pinda, wakati akiwasili kwenye mahafali ya 38 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT), katika uwanja wa Ilulu mjini Lindi Machi 12, 2020.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifurahia jambo na Waziri Mkuu Mstaafu na Mkuu wa Chuo...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogMAJALIWA:TUTAENDELEA KUCHUKUA HATUA KWA WATAKAOKATISHA MASOMO KWA WATOTO WA KIKE
11 years ago
Tanzania Daima25 Feb
UNHCR yazindua mradi masomo kwa mtandao
SHIRIKA la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Wakimbizi (UNHCR) kwa kushirikiana na Worldreadder wamezindua mradi wa masomo kwa njia ya mtandao kwa wanafunzi wa shule za sekondari nne mkoani Katavi ...
9 years ago
MichuziWANAFUNZI 65 KUONDOKA KWA MASOMO NCHINI CHINA
Hayo ameyasema leo Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Global Link Education (GEL),Abdumaalik Mollel wakati akitoa mafunzo kwa wanafunzi 65 wanaokwenda nchini China kwa masomo ya elimu ya juu.
Mollel amesema vyuo vya nje ambavyo vinashirikiana na GEL vina ubora wa elimu pamoja na kuwa na vitendea kazi vinavyoweza kufanya mwanafunzi afanye...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-8fMqaxjTzvU/Xmeeh8dLqwI/AAAAAAALic0/Z8RFcC-Jjvc8qBMYZdUMrXdY0_xHhq57ACLcBGAsYHQ/s72-c/1A-1-768x512.jpg)
Majaliwa Kufungua Mkutano wa Mawaziri SADC kwa Njia ya Video
![](https://1.bp.blogspot.com/-8fMqaxjTzvU/Xmeeh8dLqwI/AAAAAAALic0/Z8RFcC-Jjvc8qBMYZdUMrXdY0_xHhq57ACLcBGAsYHQ/s640/1A-1-768x512.jpg)
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Kanali Wilbert Ibuge akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya Mabadiliko ya mkutano wa Baraza la Mawaziri wa SADC utakao fanyika kwa njia ya Mfumo wa Video kufuatia mripuko wa ugonjwa wa Corona (COVID-19) ambao kwa sasa umeikumba nchi ya Afrika ya Kusini ambayo pia ni Nchi mwananchama wa Jumuiya ya SADC.
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/03/2-27-1024x768.jpg)
Naibu Katibu Mtendaji wa Maswala ya Ushirikiano wa Kikanda (SADC) Thembinkosi Mhlongo...
5 years ago
CCM BlogMAJALIWA AFUNGUA MKUTANO WA BARAZA LA MAWAZIRI WA SADC KWA NJIA YA VIDEO
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Tiba ya saratani kutolewa kwa njia ya mtandao
9 years ago
Mwananchi15 Sep
Msomi abuni twisheni kwa njia ya mtandao
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Changamoto za miamala ya fedha kwa njia ya mtandao- 2
11 years ago
Uhuru Newspaper16 Jun
UDA kuuza tiketi kwa njia ya mtandao
Na Mwandishi Wetu,
KAMPUNI ya Simon Group Limited inayomiliki Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (UDA) imetangaza kuanza mpango wa kuuza tiketi kwa njia ya mtandao ili kuondoa msongmano na adha kwa watumiaji.
Mbali ya hatua hiyo, imesisitiza dhamira yake ya kuboresha sekta ya usafiri katika Jiji la Dar es Salaam licha ya kampeni zinazoendelea kutoka kwa washindani binafsi ikiwa na lengo la kuvuruga mpango unaoendelea wa uwezekezaji katika Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) ili waweze...