Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Changamoto za miamala ya fedha kwa njia ya mtandao- 2

Wiki kadhaa zilizopita niliandika makala kuhusu changamoto zilizopo katika kufanya miamala ya fedha kwa kwa njia ya mtandao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

HOTUBA YA MHESHIMIWA PROF. MAKAME M. MBARAWA (MB), WAZIRI WA MAWASILIANO, SAYANSI NA TEKNOLOJIA KWA WAANDISHI WA HABARI YA KUTANGAZA RASMI KUANZA KUTUMIKA KWA SHERIA YA MAKOSA YA MTANDAO NA YA MIAMALA YA KIELEKTRONIKI ZA MWAKA 2015 KWENYE UKUMBI WA MIKUTA

 Ndugu Wandishi wa Habari, 
Mabibi na Mabwana,

Napenda nichukue fursa hii kuwashukuru nyote hasa waandishi wa habari kwa kutenga muda wenu na kujumuika nasi kwa lengo la kutangaza rasmi kuanza kutumika kwa Sheria ya Makosa ya Mtandao, 2015 ambayo ilitangazwa kwenye gazeti la Serikali  la tarehe 14/08/2015 na kupewa Na. 328. Pia Sheria ya Miamala ya Kielektroniki, 2015 ambayo  ilitangazwa kwenye Gazeti la Serikali la tarehe hiyo hiyo na kupewa Na.329.


Ndugu Wananchi,

Teknolojia ya Habari na...

 

10 years ago

Mwananchi

Wizi wa mtandaoni: Uhalifu mpya unaotishia miamala ya fedha

Miaka mitano iliyopita uhalifu wa mtandaoni haukuwapo. Hakuna aliyefahamu madhara yake moja kwa moja, kwa kuwa matukio mengi yalikuwa yanatokea nchi za Ulaya na Marekani na kidogo Kenya.

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

UDA kuuza tiketi kwa njia ya mtandao


Na Mwandishi Wetu,
KAMPUNI ya Simon Group Limited inayomiliki Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (UDA) imetangaza kuanza mpango wa kuuza tiketi kwa njia ya mtandao ili kuondoa msongmano na adha kwa watumiaji.
Mbali ya hatua hiyo, imesisitiza dhamira yake ya kuboresha sekta ya usafiri katika Jiji la Dar es Salaam licha ya kampeni zinazoendelea kutoka kwa washindani binafsi ikiwa na lengo la kuvuruga mpango unaoendelea wa uwezekezaji katika Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) ili waweze...

 

10 years ago

Mwananchi

Tiba ya saratani kutolewa kwa njia ya mtandao

Wagonjwa wa saratani wa mikoani wanatarajiwa kupata matibabu ya kwa njia ya mtandao baada ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kuzindua huduma ya afya ya mtandao.

 

9 years ago

Mwananchi

Msomi abuni twisheni kwa njia ya mtandao

Kuongezeka idadi ya watumiaji wa huduma ya mtandao wa intaneti, kumeleta changamoto kubwa kwa wataalamu wa Tehama wakiwamo wale wa masuala ya elimu.

 

10 years ago

Michuzi

Bayport yazindua huduma ya mikopo kwa njia ya mtandao

Msimamizi wa michezo ya kubahatisha kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Mrisho Milao kulia akipata maelekezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mauzo ya mtandao (Online) wa Bayport Financial Services, Zainabu Kalufya, katika uzinduzi wa huduma mpya ya mikopo ya haraka kwa njia ya mtandao kwa www.kopabayport.co.tz, uzinduzi uliofanyika leo Makao Makuu ya Bayport, jijini Dar es Salaam. Picha kwa Hisani ya Bayport.
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamTAASISI ya Kifedhaya Bayport Financial...

 

5 years ago

Michuzi

MAJALIWA: WANAVYUO CHINA WAENDELEA NA MASOMO KWA NJIA YA MTANDAO



Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akisalimiana Waziri Mkuu Mstaafu na Mkuu wa Chuo Kikuu Huria cha Tanzania, Mizengo Peter Pinda, wakati akiwasili kwenye mahafali ya 38 ya Chuo Kikuu Huria cha Tanzania (CKHT), katika uwanja wa Ilulu mjini Lindi Machi 12, 2020.Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akifurahia jambo na Waziri Mkuu Mstaafu na Mkuu wa Chuo...

 

9 years ago

Michuzi

MAFUNZO YA HUDUMA ZA LESENI KWA NJIA YA MTANDAO MKOANI KATAVI

Hatimaye mafunzo ya matumizi ya mfumo wa huduma ya leseni kwa njia ya mtandao yaani Online Mining Cadastre Transactional Portal (OMCTP) kwa wachimbaji madini mkoani Katavi yamemalizika.  Mafunzo hayo ya siku moja yamefanyikia kwenye ukumbi wa mikutano wa Idara ya Maji, mjini Mpanda na kuhudhuriwa na wachimbaji wadogo wa madini kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa huo yakiwa yamelenga kuwapatia uwezo wachimbaji madini wa kuutumia mfumo huo. Akizungumza kwa niaba ya Kamishna Msaidizi wa Madini...

 

10 years ago

Michuzi

KAYMU YAFUNGUA KITUO UUZAJI WA BIDHAA KWA NJIA YA MTANDAO

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
Kampuni ya Kaymu imefungua tawi lake Kariakoo kwa ajili ya wafanyabiashara na wanunuzi kwa njia ya mtandao pamoja na uhifadhi wa bidhaa kabla hazijasafirishwa kwenda maeneo husika, hali ambayo itasaidia kuwapunguzia usumbufu wauzaji waliokubaliana na kampuni hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,Meneja wa Kaymu Tanzania, Erfaan Mojgani amesema kufungua huduma kwa njia ya mtandao ni kurahisisha uendeshaji biashara pamoja na kuondoa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani