Msomi abuni twisheni kwa njia ya mtandao
Kuongezeka idadi ya watumiaji wa huduma ya mtandao wa intaneti, kumeleta changamoto kubwa kwa wataalamu wa Tehama wakiwamo wale wa masuala ya elimu.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Changamoto za miamala ya fedha kwa njia ya mtandao- 2
Wiki kadhaa zilizopita niliandika makala kuhusu changamoto zilizopo katika kufanya miamala ya fedha kwa kwa njia ya mtandao.
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Tiba ya saratani kutolewa kwa njia ya mtandao
Wagonjwa wa saratani wa mikoani wanatarajiwa kupata matibabu ya kwa njia ya mtandao baada ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kuzindua huduma ya afya ya mtandao.
11 years ago
Uhuru Newspaper16 Jun
UDA kuuza tiketi kwa njia ya mtandao
Na Mwandishi Wetu,
KAMPUNI ya Simon Group Limited inayomiliki Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (UDA) imetangaza kuanza mpango wa kuuza tiketi kwa njia ya mtandao ili kuondoa msongmano na adha kwa watumiaji.
Mbali ya hatua hiyo, imesisitiza dhamira yake ya kuboresha sekta ya usafiri katika Jiji la Dar es Salaam licha ya kampeni zinazoendelea kutoka kwa washindani binafsi ikiwa na lengo la kuvuruga mpango unaoendelea wa uwezekezaji katika Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) ili waweze...
10 years ago
MichuziBayport yazindua huduma ya mikopo kwa njia ya mtandao
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamTAASISI ya Kifedhaya Bayport Financial...
10 years ago
GPLNMB, AIRTEL WAZINDUA HUDUMA YA KIFEDHA KWA NJIA YA MTANDAO
Mgeni rasmi katika hafla hiyo Mh.Naibu Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba akizungumza jambo kwenye hafla hiyo. Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Airtel, Beatrice Singano akieleza jambo katika hafla hiyo.…
9 years ago
MichuziMAFUNZO YA HUDUMA ZA LESENI KWA NJIA YA MTANDAO MKOANI KIGOMA
Hatimaye mafunzo ya huduma ya leseni kwa njia ya mtandao kwa wachimbaji madini mkoani Kigoma yamemalizika. Mafunzo hayo yamehudhuriwa na wachimbaji madini zaidi ya mia moja.
Akizungumza wakati wa kufungua mafunzo hayo, Afisa Madini Mkazi- Kigoma, Adam Juma aliwataka wachimbaji madini mkoani humo kuhakikisha wanafika Ofisi za Madini-Kigoma kwa ajili ya kusajiliwa kwenye mfumo huo.
Alisema ni vyema wachimbaji hao wakafanya hivyo mapema ili waanze kutumia mfumo huo ili kwenda sambamba na kasi ya...
Akizungumza wakati wa kufungua mafunzo hayo, Afisa Madini Mkazi- Kigoma, Adam Juma aliwataka wachimbaji madini mkoani humo kuhakikisha wanafika Ofisi za Madini-Kigoma kwa ajili ya kusajiliwa kwenye mfumo huo.
Alisema ni vyema wachimbaji hao wakafanya hivyo mapema ili waanze kutumia mfumo huo ili kwenda sambamba na kasi ya...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-5hcfuvzs83s/Vdjn1Hy_SqI/AAAAAAAHzMI/zwNf-2gyMgs/s72-c/unnamed%2B%252815%2529.jpg)
MAFUNZO YA HUDUMA ZA LESENI KWA NJIA YA MTANDAO MKOANI KATAVI
Hatimaye mafunzo ya matumizi ya mfumo wa huduma ya leseni kwa njia ya mtandao yaani Online Mining Cadastre Transactional Portal (OMCTP) kwa wachimbaji madini mkoani Katavi yamemalizika. Mafunzo hayo ya siku moja yamefanyikia kwenye ukumbi wa mikutano wa Idara ya Maji, mjini Mpanda na kuhudhuriwa na wachimbaji wadogo wa madini kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa huo yakiwa yamelenga kuwapatia uwezo wachimbaji madini wa kuutumia mfumo huo. Akizungumza kwa niaba ya Kamishna Msaidizi wa Madini...
10 years ago
Vijimambo02 Nov
CHADEMA YAZINDUA PROGRAM TATU ZA KUJIENEZA KWA NJIA YA MTANDAO
Sasa kujiunga, kupata habari, kuchangia ni kwa simuDk. Slaa adai CCM bila vyombo vya dola ni karatasiMbowe asema safari ya kuandika katiba imeanza
KATIKA kujipanga kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimezindua program tatu za kujieneza kwa njia ya mtandao huku wakikibeza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba bila ya kutegemea msaada wa vyombo vya dola, chama hicho ni sawa na karatasi nyeupe.Kauli ya CHADEMA ilitolewa juzi usiku jijini Dar es Salaam katika...
![Kishindo CHADEMA](http://freemedia.co.tz/daima/wp-content/uploads/2014/11/chadema.jpg)
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania