CHADEMA YAZINDUA PROGRAM TATU ZA KUJIENEZA KWA NJIA YA MTANDAO
Sasa kujiunga, kupata habari, kuchangia ni kwa simuDk. Slaa adai CCM bila vyombo vya dola ni karatasiMbowe asema safari ya kuandika katiba imeanzaKATIKA kujipanga kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimezindua program tatu za kujieneza kwa njia ya mtandao huku wakikibeza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba bila ya kutegemea msaada wa vyombo vya dola, chama hicho ni sawa na karatasi nyeupe.Kauli ya CHADEMA ilitolewa juzi usiku jijini Dar es Salaam katika...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziBayport yazindua huduma ya mikopo kwa njia ya mtandao
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamTAASISI ya Kifedhaya Bayport Financial...
10 years ago
MichuziWIZARA YA NISHATI NA MADINI YAZINDUA HUDUMA ZA LESENI KWA NJIA YA MTANDAO
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
10 years ago
GPLPROIN PROMOTION YAZINDUA MPANGO WA KUUZA FILAMU ZAKE KWA NJIA YA MTANDAO
10 years ago
MichuziPROIN PROMOTION YAZINDUA MPANGO WA KUUZA VILAMU ZAKE KWA NJIA YA MTANDAO
9 years ago
Dewji Blog02 Dec
Kampuni ya Interswitch yazindua huduma ya malipo kwa njia ya mtandao jijini Dar leo
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Interswitch kwa Afrika Mashariki Bernard Matthewman, akizungumza na wadau mbalimbali Dar es Salaam leo , wakati wa uzinduzi wa kampuni hiyo hapa nchini uliofanyika Hoteli ya Hyatt Regency- Kilimanjaro pamoja na huduma ya malipo kwa njia ya mtandao.
Wadau wakiwa kwenye uzinduzi huo.
![](http://1.bp.blogspot.com/-bVuGGmmm9p4/Vl7PaRU_4lI/AAAAAAAAUcc/vRpCaHHvsXQ/s640/3.jpg)
Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.
![](http://2.bp.blogspot.com/-swvF1Q-xtC8/Vl7PeuUwhhI/AAAAAAAAUc0/lk0IhnhaM5w/s640/5.jpg)
Maofisa wa kampuni hiyo wakiwa kwenye uzinduzi huo.
![](http://4.bp.blogspot.com/-Tp7ynrrJ9SE/Vl7PfR2OXnI/AAAAAAAAUc4/jnA5KrTvdMM/s640/6.jpg)
Mmoja wa maofisa wa kampuni hiyo akiwa katika uzinduzi huo.
![](http://2.bp.blogspot.com/-G04UNqJyF1U/Vl7PigfSCrI/AAAAAAAAUdE/dObV4YhFduI/s640/7.jpg)
Mkutano na...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-MJemUTqR2Q0/VDMo5rfC12I/AAAAAAAGoc4/wrGqOk-YSAM/s72-c/unnamed%2B(11).jpg)
UNUNUAJI NA UUZAJI WA BIDHAA UMERAHISISHWA — KAMPUNI YA MASOKO KWA NJIA YA MTANDAO YAZINDUA “APP” YA SIMU ZA MKONONI TANZANIA
![](http://4.bp.blogspot.com/-MJemUTqR2Q0/VDMo5rfC12I/AAAAAAAGoc4/wrGqOk-YSAM/s1600/unnamed%2B(11).jpg)
Mchakato wa uuzaji na ununuaji wa bidhaa umerahisishwa sana kwa kadri waendashaji wa makampuni ya biashara kwa njia ya intaneti wanavyozidi kuwa wabunifu na wagunduzi zaidi. Kaymu Tanzania, kampuni inayoongoza kwa kuuza na kununua vitu kwa njia ya mtandao imejitanua zaidi baada ya kuzindua app (programu ya simu) yake Septemba 2014.Kaymu Tanzania imezindua huduma zake za kwanza za programu ya simu nchini, hivyo kuwawezesha watumiaji wa Android kufanya manunuzi ya bidhaa na kuweka oda moja kwa...
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Changamoto za miamala ya fedha kwa njia ya mtandao- 2
9 years ago
Mwananchi15 Sep
Msomi abuni twisheni kwa njia ya mtandao
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Tiba ya saratani kutolewa kwa njia ya mtandao