Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Tiba ya saratani kutolewa kwa njia ya mtandao

Wagonjwa wa saratani wa mikoani wanatarajiwa kupata matibabu ya kwa njia ya mtandao baada ya Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL) kuzindua huduma ya afya ya mtandao.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

WANAHABARI WAPATIWA ELIMU YA UELEWA WA CHANJO YA SARATANI YA HPV PAMOJA NA CHANJO NYINGINE KWA NJIA YA MTANDAO

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto kupitia Mpango wa Taifa  Chanjo wameendesha semina maalumu kwa njia ya mtandao  kwa Waandishi wa Habari  zaidi ya 50 nchini.
Semina hiyo ya  siku moja ya uelewa wa Chanjo ya kukinga ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi (HPV Vaccine) ambayo hutolewa bila malipo kwa wasichana wa miaka 14 hapa nchini iliendeshwa mubashara kupitia mtandao wa ZOOM.
Awali akiwasilisha mada maalumu ya chanjo hiyo ya HPV, Afisa Mradi, Mpango wa Taifa wa...

 

10 years ago

Mwananchi

Fahamu tiba ya mionzi kwa maradhi ya saratani (4)

Kama nilivyoeleza wiki iliyopita kuwa tiba ya mionzi nje ya mwili hutolewa kwa uangalifu mkubwa ikiwa ni pamoja na kuhakikisha athari za mionzi kwa mgonjwa ziwe za kiwango cha chini iwezekanavyo.

 

10 years ago

Habarileo

Hospitali kuunganishwa mfumo wa tiba kwa mtandao

SERIKALI ina mpango wa kuziunganisha hospitali zote katika mfumo wa matibabu kwa njia ya mtandao ili wananchi waweze kutibiwa kwa wakati na kwa gharama nafuu. Waziri wa Mawasiliano, Sayansi na Teknolojia, Profesa Makame Mbarawa alisema hayo juzi mjini hapa wakati akifungua mkutano wa siku mbili uliohusisha wataalamu wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (Tehama), madaktari na wadau mbalimbali. Profesa Mbarawa alisema, mfumo huo utamwezesha mgonjwa ambaye yupo kijijini au hospitali ya mbali...

 

11 years ago

Uhuru Newspaper

UDA kuuza tiketi kwa njia ya mtandao


Na Mwandishi Wetu,
KAMPUNI ya Simon Group Limited inayomiliki Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (UDA) imetangaza kuanza mpango wa kuuza tiketi kwa njia ya mtandao ili kuondoa msongmano na adha kwa watumiaji.
Mbali ya hatua hiyo, imesisitiza dhamira yake ya kuboresha sekta ya usafiri katika Jiji la Dar es Salaam licha ya kampeni zinazoendelea kutoka kwa washindani binafsi ikiwa na lengo la kuvuruga mpango unaoendelea wa uwezekezaji katika Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) ili waweze...

 

9 years ago

Mwananchi

Msomi abuni twisheni kwa njia ya mtandao

Kuongezeka idadi ya watumiaji wa huduma ya mtandao wa intaneti, kumeleta changamoto kubwa kwa wataalamu wa Tehama wakiwamo wale wa masuala ya elimu.

 

10 years ago

Mwananchi

Changamoto za miamala ya fedha kwa njia ya mtandao- 2

Wiki kadhaa zilizopita niliandika makala kuhusu changamoto zilizopo katika kufanya miamala ya fedha kwa kwa njia ya mtandao.

 

10 years ago

Michuzi

Bayport yazindua huduma ya mikopo kwa njia ya mtandao

Msimamizi wa michezo ya kubahatisha kutoka Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania, Mrisho Milao kulia akipata maelekezo kutoka kwa Mkuu wa Kitengo cha Mauzo ya mtandao (Online) wa Bayport Financial Services, Zainabu Kalufya, katika uzinduzi wa huduma mpya ya mikopo ya haraka kwa njia ya mtandao kwa www.kopabayport.co.tz, uzinduzi uliofanyika leo Makao Makuu ya Bayport, jijini Dar es Salaam. Picha kwa Hisani ya Bayport.
Na Mwandishi Wetu, Dar es SalaamTAASISI ya Kifedhaya Bayport Financial...

 

9 years ago

Michuzi

MAFUNZO YA HUDUMA ZA LESENI KWA NJIA YA MTANDAO MKOANI KATAVI

Hatimaye mafunzo ya matumizi ya mfumo wa huduma ya leseni kwa njia ya mtandao yaani Online Mining Cadastre Transactional Portal (OMCTP) kwa wachimbaji madini mkoani Katavi yamemalizika.  Mafunzo hayo ya siku moja yamefanyikia kwenye ukumbi wa mikutano wa Idara ya Maji, mjini Mpanda na kuhudhuriwa na wachimbaji wadogo wa madini kutoka maeneo mbalimbali ya mkoa huo yakiwa yamelenga kuwapatia uwezo wachimbaji madini wa kuutumia mfumo huo. Akizungumza kwa niaba ya Kamishna Msaidizi wa Madini...

 

10 years ago

Vijimambo

CHADEMA YAZINDUA PROGRAM TATU ZA KUJIENEZA KWA NJIA YA MTANDAO

Sasa kujiunga, kupata habari, kuchangia ni kwa simuDk. Slaa adai CCM bila vyombo vya dola ni karatasiMbowe asema safari ya kuandika katiba imeanzaKishindo CHADEMAKATIKA kujipanga kuelekea uchaguzi mkuu wa 2015, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kimezindua program tatu za kujieneza kwa njia ya mtandao huku wakikibeza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwamba bila ya kutegemea msaada wa vyombo vya dola, chama hicho ni sawa na karatasi nyeupe.Kauli ya CHADEMA ilitolewa juzi usiku jijini Dar es Salaam katika...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani