WANAHABARI WAPATIWA ELIMU YA UELEWA WA CHANJO YA SARATANI YA HPV PAMOJA NA CHANJO NYINGINE KWA NJIA YA MTANDAO
![](https://1.bp.blogspot.com/-2qZMU9Xcdfk/XsFQK4Y0sDI/AAAAAAALqlY/c02FLUAQhFIc9M1u9HtZ9-6vkqpNVK2aACLcBGAsYHQ/s72-c/2hpv2708.jpg)
WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto kupitia Mpango wa Taifa Chanjo wameendesha semina maalumu kwa njia ya mtandao kwa Waandishi wa Habari zaidi ya 50 nchini.
Semina hiyo ya siku moja ya uelewa wa Chanjo ya kukinga ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi (HPV Vaccine) ambayo hutolewa bila malipo kwa wasichana wa miaka 14 hapa nchini iliendeshwa mubashara kupitia mtandao wa ZOOM.
Awali akiwasilisha mada maalumu ya chanjo hiyo ya HPV, Afisa Mradi, Mpango wa Taifa wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziWADAU WA CHANJO YA KUZUIA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI (HPV) WAKUTANA KILIMANJARO
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
11 years ago
Habarileo06 Mar
RC ahimiza elimu chanjo ya saratani kwa wasichana
WAKUU wa wilaya, wakurugenzi na wenyeviti wa halmashauri mkoani Kilimanjaro, wametakiwa kuelimisha jamii kuhusu utoaji wa chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi. Chanjo hiyo itafanywa kwa wasichana wenye umri wa kati ya miaka tisa na 13.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-ZzD7-kwIPgg/XsPLZtWGCiI/AAAAAAALqw0/vjBiZMmJWdYjQBkt5Jsa9OxtJmNN6dQVACLcBGAsYHQ/s72-c/9fcab2c6-8c9d-40fe-b2bd-70fec1ca132d.jpg)
LICHA YA JANGA LA CORONA, HUDUMA ZA CHANJO NA UFUATILIAJI WA MAGONJWA YANAYOZUILIKA KWA CHANJO ZAENDELEA KWA UANGALIFU MKUBWA TANGA
![](https://1.bp.blogspot.com/-ZzD7-kwIPgg/XsPLZtWGCiI/AAAAAAALqw0/vjBiZMmJWdYjQBkt5Jsa9OxtJmNN6dQVACLcBGAsYHQ/s640/9fcab2c6-8c9d-40fe-b2bd-70fec1ca132d.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/05/c755576d-f501-423f-9aed-c746dc135fad.jpg)
Ofisa Mradi wa Ofisi ya Mpango wa Taifa wa Chanjo, Richard Magodi akipitia data za chanjo kwenye mfumo maalumu wa kieletroniki wakati wa ziara maalum ya muongozo wa kujikinga na COVID19 kwa watoa huduma za chanjo...
11 years ago
Dewji Blog25 Apr
Watoto 4000 kupatiwa chanjo katika Wiki ya Chanjo — Parseko Kone, Singida
Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akizindua utoaji wa chanjo kimkoa katika hospitali ya St.Calorus iliyopo kijiji cha Mtinko. Jumla ya watoto 3,999 wanatarajiwa kupatiwa chanjo mbalimbali.
Mkuu wa mkoa wa Singida, Dk.Parseko Kone, akizungumza na wakazi wa tarafa ya Mtinko wilaya ya Singida, muda mfupi baada ya kuzindua zoezi la chanjo kimkoa lililoanza jana na linatarajiwa kumalizika Aprili 30 mwaka huu.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu
JUMLA ya watoto 3,999 mkoani...
11 years ago
Habarileo13 Feb
Wasichana kupatiwa chanjo ya saratani ya uzazi
CHANJO ya kuzuia saratani ya mlango wa uzazi, iko mbioni kutolewa na serikali kwa wasichana walio shuleni.
11 years ago
Habarileo07 Apr
Chanjo ya saratani ya shingo ya kizazi Mei
CHANJO ya kuzuia saratani ya shingo ya kizazi kwa wasichana wenye umri wa miaka tisa hadi 13 itaanza kutolewa na serikali mwezi ujao.
11 years ago
Tanzania Daima11 May
Prolife wataka uhakika chanjo ya saratani
SHIRIKA la Kutetea Uhai wa Binadamu (Prolife) limesema chanjo ya saratani ya shingo ya kizazi iitwayo Gardasil imegubikwa na hofu kutokana na baadhi ya wataalamu kueleza kuwa nguvu ya dawa...
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Tiba ya saratani kutolewa kwa njia ya mtandao
11 years ago
Habarileo10 Mar
Majaribio ya chanjo ya saratani ya kizazi kufanyika Kilimanjaro
SERIKALI imeuteua Mkoa wa Kilimanjaro kwa ajili ya majaribio ya chanjo ya kuzuia saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake.