Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WADAU WA CHANJO YA KUZUIA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI (HPV) WAKUTANA KILIMANJARO

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akizungumza wakati wa kufungua Mkutano wa Wadau wa Chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi (HPV) katika ukumbi wa Uhuru Hostel mjini Moshi.Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakifuatilia kwa karibu hotuba ya mkuu wa mkoa Gama.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

TBCF na mkakati wa mapambano ya kuzuia saratani ya matiti na mlango wa kizazi nchini

GOPR0025

Hospitali ya Saratani ya Ocean Road.

Na Beatrice Lyimo, Maelezo.

Takribani watu 40,000 nchini wakiwemo wanawake na wanaume wanapata ugonjwa wa saratani kila mwaka, ambapo asilimia 12 kati yao wana saratani ya matiti huku wengine wakiwa na saratani ya mlango wa kizazi.

Takwimu toka Hospitali ya Saratani ya Ocean Road zinaonyesha kuwa kati ya wagonjwa hao, idadi ya wanawake wanaopata ugonjwa huo kila mwaka ni zaidi ya 3,000 ambapo idadi hiyo ni sawa na asilimia 10 ya wanaofika kwa ajili ya...

 

11 years ago

Habarileo

Majaribio ya chanjo ya saratani ya kizazi kufanyika Kilimanjaro

Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Donan MmbandoSERIKALI imeuteua Mkoa wa Kilimanjaro kwa ajili ya majaribio ya chanjo ya kuzuia saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake.

 

5 years ago

Michuzi

WANAHABARI WAPATIWA ELIMU YA UELEWA WA CHANJO YA SARATANI YA HPV PAMOJA NA CHANJO NYINGINE KWA NJIA YA MTANDAO

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto kupitia Mpango wa Taifa  Chanjo wameendesha semina maalumu kwa njia ya mtandao  kwa Waandishi wa Habari  zaidi ya 50 nchini.
Semina hiyo ya  siku moja ya uelewa wa Chanjo ya kukinga ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi (HPV Vaccine) ambayo hutolewa bila malipo kwa wasichana wa miaka 14 hapa nchini iliendeshwa mubashara kupitia mtandao wa ZOOM.
Awali akiwasilisha mada maalumu ya chanjo hiyo ya HPV, Afisa Mradi, Mpango wa Taifa wa...

 

11 years ago

Michuzi

WADAU WA AFYA WAKUTANA MOSHI KUJADILI SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI

Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro Leonidas gama akizungumza wakati wa ufunguzi wa mkutano wa wadau wa Afya kujadili juu ya saratani ya mlango wa kizazi. Mwakilishi wa mkazi wa shirika la Afya Duniani (WHO) Dk Rufaro Chatora akizungungumza kwa niaba ya wadau wa Maendeleo. Mkurugenzi huduma za Afya toka wizara ya Afya,Dk Neema Rusibamayile akizungumza kwa niaba ya mganga mkuu wa serikali katika mkutano huo unaofanyika Uhuru Hotel.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wananchi wakati akizindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora, katika uwanja wa Chipukizi mkoani humo. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya akina mama wa Tabora. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Dkt. Joseph Komwihangiro, Mkurugenzi wa Marie Stopes kwa kuwa mstari wa mbele katika huduma na elimu za mzazi wa mpango Jumamosi Mei 7, 2014 wakati akizindua ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Saratani mlango wa kizazi inaongoza nchini

TAKWIMU zinaonyesha kuwa kila mwaka kuna wagonjwa wapya 40,000 wa saratani huku saratani ya mlango wa kizazi ikiongoza. Hayo yalibainishwa na Daktari bingwa wa Saratani, ambaye pia ni Daktari bingwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Wasichana kupewa chanjo ya saratani ya mlango wa uzazi

Watoto wa kike nchini kote wataanza kupewa chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi ifikapo mwaka 2016.

 

11 years ago

Mwananchi

Ondoeni dhana potofu saratani ya mlango wa kizazi-Rai

Wasichana wametakiwa kuondokana na imani potofu kuwa wanawake wenye umri mkubwa ndiyo pekee wapo kwenye hatari zaidi ya ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani