Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Wasichana kupewa chanjo ya saratani ya mlango wa uzazi

Watoto wa kike nchini kote wataanza kupewa chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi ifikapo mwaka 2016.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Habarileo

Wasichana kupatiwa chanjo ya saratani ya uzazi

CHANJO ya kuzuia saratani ya mlango wa uzazi, iko mbioni kutolewa na serikali kwa wasichana walio shuleni.

 

11 years ago

Tanzania Daima

PSI: Wanaume chanzo saratani ya mlango wa uzazi

WANAUME wametajwa kuwa chanzo kikuu cha wanawake kupata ugonjwa wa saratani ya mlango wa uzazi ambayo imekuwa tishio kwa sasa. Mshauri wa Shirika lisilokuwa la kiserikali la PSI-Tanzania, Dk. Mashafi...

 

10 years ago

Michuzi

WADAU WA CHANJO YA KUZUIA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI (HPV) WAKUTANA KILIMANJARO

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akizungumza wakati wa kufungua Mkutano wa Wadau wa Chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi (HPV) katika ukumbi wa Uhuru Hostel mjini Moshi.Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakifuatilia kwa karibu hotuba ya mkuu wa mkoa Gama.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Habarileo

RC ahimiza elimu chanjo ya saratani kwa wasichana

WAKUU wa wilaya, wakurugenzi na wenyeviti wa halmashauri mkoani Kilimanjaro, wametakiwa kuelimisha jamii kuhusu utoaji wa chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi. Chanjo hiyo itafanywa kwa wasichana wenye umri wa kati ya miaka tisa na 13.

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wananchi wakati akizindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora, katika uwanja wa Chipukizi mkoani humo. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya akina mama wa Tabora. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Dkt. Joseph Komwihangiro, Mkurugenzi wa Marie Stopes kwa kuwa mstari wa mbele katika huduma na elimu za mzazi wa mpango Jumamosi Mei 7, 2014 wakati akizindua ...

 

5 years ago

Michuzi

WANAHABARI WAPATIWA ELIMU YA UELEWA WA CHANJO YA SARATANI YA HPV PAMOJA NA CHANJO NYINGINE KWA NJIA YA MTANDAO

WIZARA ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto kupitia Mpango wa Taifa  Chanjo wameendesha semina maalumu kwa njia ya mtandao  kwa Waandishi wa Habari  zaidi ya 50 nchini.
Semina hiyo ya  siku moja ya uelewa wa Chanjo ya kukinga ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi (HPV Vaccine) ambayo hutolewa bila malipo kwa wasichana wa miaka 14 hapa nchini iliendeshwa mubashara kupitia mtandao wa ZOOM.
Awali akiwasilisha mada maalumu ya chanjo hiyo ya HPV, Afisa Mradi, Mpango wa Taifa wa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Saratani mlango wa kizazi inaongoza nchini

TAKWIMU zinaonyesha kuwa kila mwaka kuna wagonjwa wapya 40,000 wa saratani huku saratani ya mlango wa kizazi ikiongoza. Hayo yalibainishwa na Daktari bingwa wa Saratani, ambaye pia ni Daktari bingwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Ondoeni dhana potofu saratani ya mlango wa kizazi-Rai

Wasichana wametakiwa kuondokana na imani potofu kuwa wanawake wenye umri mkubwa ndiyo pekee wapo kwenye hatari zaidi ya ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani