Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


PSI: Wanaume chanzo saratani ya mlango wa uzazi

WANAUME wametajwa kuwa chanzo kikuu cha wanawake kupata ugonjwa wa saratani ya mlango wa uzazi ambayo imekuwa tishio kwa sasa. Mshauri wa Shirika lisilokuwa la kiserikali la PSI-Tanzania, Dk. Mashafi...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Wasichana kupewa chanjo ya saratani ya mlango wa uzazi

Watoto wa kike nchini kote wataanza kupewa chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi ifikapo mwaka 2016.

 

11 years ago

Michuzi

Elimu duni chanzo cha wanawake wengi kupoteza maisha kutokana na ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi

Na Anna Nkinda - Washington
Imeelezwa kwamba kutokuwa na uelewa wa kutosha kuhusu ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi, upungufu wa upatikanaji wa huduma za afya, na vitendea kazi, utungaji wa sera zisizo rafiki, pamoja na ukosefu wa takwimu za magonjwa ni moja ya sababu zinazosababisha wanawake wengi kupoteza maisha kutokana na ugonjwa huo.
Hayo yamesemwa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akitoa neno la shukrani kwa niaba ya wake wa marais wa Afrika waliohudhuria  hafla fupi ya...

 

10 years ago

Habarileo

‘Wanaume wasiotahiriwa chanzo cha saratani ya shingo ya kizazi’

IMEELEZWA kuwa wanawake wanaopata ugonjwa wa saratani ya shingo ya kizazi kwa kiasi kikubwa inatokana na kufanya mapenzi na wanaume ambao hawajatahiriwa.

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wananchi wakati akizindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora, katika uwanja wa Chipukizi mkoani humo. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya akina mama wa Tabora. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Dkt. Joseph Komwihangiro, Mkurugenzi wa Marie Stopes kwa kuwa mstari wa mbele katika huduma na elimu za mzazi wa mpango Jumamosi Mei 7, 2014 wakati akizindua ...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Saratani mlango wa kizazi inaongoza nchini

TAKWIMU zinaonyesha kuwa kila mwaka kuna wagonjwa wapya 40,000 wa saratani huku saratani ya mlango wa kizazi ikiongoza. Hayo yalibainishwa na Daktari bingwa wa Saratani, ambaye pia ni Daktari bingwa...

 

11 years ago

Mwananchi

Ondoeni dhana potofu saratani ya mlango wa kizazi-Rai

Wasichana wametakiwa kuondokana na imani potofu kuwa wanawake wenye umri mkubwa ndiyo pekee wapo kwenye hatari zaidi ya ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi.

 

10 years ago

Michuzi

WADAU WA CHANJO YA KUZUIA SARATANI YA MLANGO WA KIZAZI (HPV) WAKUTANA KILIMANJARO

Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro ,Leonidas Gama akizungumza wakati wa kufungua Mkutano wa Wadau wa Chanjo ya kuzuia saratani ya mlango wa kizazi (HPV) katika ukumbi wa Uhuru Hostel mjini Moshi.Baadhi ya washiriki wa mkutano huo wakifuatilia kwa karibu hotuba ya mkuu wa mkoa Gama.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani