‘Wanaume wasiotahiriwa chanzo cha saratani ya shingo ya kizazi’
IMEELEZWA kuwa wanawake wanaopata ugonjwa wa saratani ya shingo ya kizazi kwa kiasi kikubwa inatokana na kufanya mapenzi na wanaume ambao hawajatahiriwa.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog28 Feb
Mama Salma Kikwete awataka wanaume kuwaunga mkono wake zao kupima saratani za matiti na shingo ya kizazi
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa WAMA Mama Salma Kikwete akikabidhi mashine ya kupimia saratani ya matiti kwa akina mama kwa uongozi kwa Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi Luteni Jenerali Samuel Ndomba (kulia). Hafla ya makabidhiano hayo ilifanyika kwenye Hospitani Kuu ya Jeshi Lugalo kwenye Kitengo cha Uzazi na Mtoto kilichoko Mwenge tarehe 27.2.2015. Aliyesimama pembeni kwa Mama Salma ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii Dkt. Donan Mmbando na aliyesimama kulia kwa...
11 years ago
Tanzania Daima24 Apr
Uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi
SARATANI ya shingo ya kizazi ambayo kitaalamu huitwa Cervix, ni saratani inayoongoza kwa wingi nchini Tanzania na inawaathiri wanawake wenye umri kati ya miaka 25 na 50. Inachangia asilimia 60...
11 years ago
Michuzi
Elimu duni chanzo cha wanawake wengi kupoteza maisha kutokana na ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi

Imeelezwa kwamba kutokuwa na uelewa wa kutosha kuhusu ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi, upungufu wa upatikanaji wa huduma za afya, na vitendea kazi, utungaji wa sera zisizo rafiki, pamoja na ukosefu wa takwimu za magonjwa ni moja ya sababu zinazosababisha wanawake wengi kupoteza maisha kutokana na ugonjwa huo.
Hayo yamesemwa jana na Mke wa Rais Mama Salma Kikwete wakati akitoa neno la shukrani kwa niaba ya wake wa marais wa Afrika waliohudhuria hafla fupi ya...
11 years ago
Habarileo07 Apr
Chanjo ya saratani ya shingo ya kizazi Mei
CHANJO ya kuzuia saratani ya shingo ya kizazi kwa wasichana wenye umri wa miaka tisa hadi 13 itaanza kutolewa na serikali mwezi ujao.
10 years ago
Vijimambo11 Jan
SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI ( CERVICAL CANCER )
Saratani ya shingo ya kizazi ni saratani ambayo hutokana na mabadiliko ya mfumo wa chembechembe au cells zilizoko katika shingo ya kizazi.Mabadiliko haya hupelekea chembe chembe hizo kushamiri na kuzaliana kwa kasi kinyume na mpangilio wa maumbile.
Saratani ya Shingo ya kizazi yasemekana kuwa ni saratani ya nne inayoongoza kwa kusababisha vifo vya wanawake katika nchi zinazoendelea. Repoti ya 2012 ya shirika la afya duniani 'WHO' imesema kuwa,kati ya matukio 75,000 ya waathirika wa...
10 years ago
GPL
SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI (SERVICAL CANCER)
11 years ago
Habarileo10 Apr
Bahi kuchunguza saratani ya shingo ya kizazi
HALMASHAURI ya wilaya ya Bahi kwa kushirikiana na hospitali ya Dodoma Medical Christian Medical Clinic(DCMC ) na Shirika la Maendeleo la Uswisi, wanatarajiwa kufanya kampeni kubwa ya uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi wilayani Bahi.
10 years ago
Habarileo13 Sep
Ngono salama kuepusha saratani ya shingo ya kizazi
WATANZANIA hususan w a n a w a k e wametakiwa kufanya ngono salama kuepuka maambukizi ya saratani ya shingo ya kizazi, yanayoelezwa kusababishwa na kirusi cha binadamu (Human Papilloma), kinachosambazwa kwa njia hiyo.
11 years ago
Habarileo26 Mar
Mradi kudhibiti saratani ya shingo ya kizazi wazinduliwa
ONGEZEKO la ugonjwa wa saratani ya shingo ya kizazi limeelezwa kufukuzia kasi ya maambukizi ya virusi vya Ukimwi (VVU) mkoani Iringa. Katika kukabiliana na ongezeko hilo, Shirika la T-Marc Tanzania limekuja na mradi wa miezi 18 wa kuzuia na kudhibiti saratani ya shingo ya kizazi mkoani Iringa.