Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi

SARATANI ya shingo ya kizazi ambayo kitaalamu huitwa Cervix, ni saratani inayoongoza kwa wingi nchini Tanzania na inawaathiri wanawake wenye umri kati ya miaka 25 na 50. Inachangia asilimia 60...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

MAMA SALMA AZINDUA RASMI UCHUNGUZI WA SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI HUKO BAHI - MKOANI DODOMA.

 Rais Mama Salma Kikwete akiwahutubia mamia ya wananchi wa wilaya ya Bahi muda mfupi kabla ya kuzindua rasmi kampeni ya upimaji wa saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake katika wilaya ya Bahi mkoani Dodoma  Mwenyekiti wa WAMA, Mama Salma Kikwete akikata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa kampeni ya kutokomeza saratani ya shingo ya kizazi kwa wanawake wa Wilaya ya Bah  Mama Salma Kikwete akionyesha vifaa mbalimbali vinavyotumika na madaktari wakati wa kuwapima wanawake ili kufahamu kama...

 

11 years ago

Michuzi

Rais Kikwete azindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwahutubia wananchi wakati akizindua huduma za uchunguzi wa saratani ya mlango wa kizazi na saratani ya matiti Mkoani Tabora, katika uwanja wa Chipukizi mkoani humo. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na baadhi ya akina mama wa Tabora. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akimpongeza Dkt. Joseph Komwihangiro, Mkurugenzi wa Marie Stopes kwa kuwa mstari wa mbele katika huduma na elimu za mzazi wa mpango Jumamosi Mei 7, 2014 wakati akizindua ...

 

10 years ago

Vijimambo

SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI ( CERVICAL CANCER )


Saratani ya shingo ya kizazi ni saratani ambayo hutokana na mabadiliko ya mfumo wa chembechembe au cells zilizoko  katika shingo ya kizazi.Mabadiliko haya hupelekea chembe chembe hizo kushamiri na kuzaliana kwa kasi kinyume na mpangilio wa maumbile.

Saratani ya Shingo ya kizazi yasemekana kuwa ni saratani ya nne inayoongoza kwa kusababisha vifo vya  wanawake katika nchi zinazoendelea. Repoti ya 2012 ya shirika la afya duniani 'WHO' imesema kuwa,kati ya matukio 75,000 ya waathirika wa...

 

11 years ago

Habarileo

Chanjo ya saratani ya shingo ya kizazi Mei

Mganga Mkuu wa Serikali, Dk Donan MmbandoCHANJO ya kuzuia saratani ya shingo ya kizazi kwa wasichana wenye umri wa miaka tisa hadi 13 itaanza kutolewa na serikali mwezi ujao.

 

11 years ago

Habarileo

Bahi kuchunguza saratani ya shingo ya kizazi

HALMASHAURI ya wilaya ya Bahi kwa kushirikiana na hospitali ya Dodoma Medical Christian Medical Clinic(DCMC ) na Shirika la Maendeleo la Uswisi, wanatarajiwa kufanya kampeni kubwa ya uchunguzi wa saratani ya shingo ya kizazi wilayani Bahi.

 

9 years ago

GPL

SARATANI YA SHINGO YA KIZAZI (SERVICAL CANCER)

Hii ni saratani inayojitokeza katika shingo ya kizazi na kusambaa ndani na nje ya kizazi. Hii ni kutokana na ukuaji usio wa kawaida wa chembe hai sehemu hiyo, seli au chembe hai hizi zina tabia ya kusambaa kwa kasi na kushambulia maeneo mengine ya mwili. Tatizo linapotokea huwa hakuna dalili kubwa za awali zaidi ya kutokwa na damu ukeni, maumivu ya nyonga na maumivu wakati wa tendo la ndoa, wakati mwingine damu inatoka baada ya...

 

11 years ago

Habarileo

Mradi kudhibiti saratani ya shingo ya kizazi wazinduliwa

ONGEZEKO la ugonjwa wa saratani ya shingo ya kizazi limeelezwa kufukuzia kasi ya maambukizi ya virusi vya Ukimwi (VVU) mkoani Iringa. Katika kukabiliana na ongezeko hilo, Shirika la T-Marc Tanzania limekuja na mradi wa miezi 18 wa kuzuia na kudhibiti saratani ya shingo ya kizazi mkoani Iringa.

 

9 years ago

Mwananchi

‘Umasikini unachangia vifo saratani shingo za kizazi’

Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza, Dk Faisal Issa amesema umaskini unachangia kwa kiwango kikubwa wanawake kupoteza maisha, kutokana na ugonjwa wa saratani ya mlango wa kizazi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani