KAYMU YAFUNGUA KITUO UUZAJI WA BIDHAA KWA NJIA YA MTANDAO
Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii
Kampuni ya Kaymu imefungua tawi lake Kariakoo kwa ajili ya wafanyabiashara na wanunuzi kwa njia ya mtandao pamoja na uhifadhi wa bidhaa kabla hazijasafirishwa kwenda maeneo husika, hali ambayo itasaidia kuwapunguzia usumbufu wauzaji waliokubaliana na kampuni hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,Meneja wa Kaymu Tanzania, Erfaan Mojgani amesema kufungua huduma kwa njia ya mtandao ni kurahisisha uendeshaji biashara pamoja na kuondoa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziUNUNUAJI NA UUZAJI WA BIDHAA UMERAHISISHWA — KAMPUNI YA MASOKO KWA NJIA YA MTANDAO YAZINDUA “APP” YA SIMU ZA MKONONI TANZANIA
Mchakato wa uuzaji na ununuaji wa bidhaa umerahisishwa sana kwa kadri waendashaji wa makampuni ya biashara kwa njia ya intaneti wanavyozidi kuwa wabunifu na wagunduzi zaidi. Kaymu Tanzania, kampuni inayoongoza kwa kuuza na kununua vitu kwa njia ya mtandao imejitanua zaidi baada ya kuzindua app (programu ya simu) yake Septemba 2014.Kaymu Tanzania imezindua huduma zake za kwanza za programu ya simu nchini, hivyo kuwawezesha watumiaji wa Android kufanya manunuzi ya bidhaa na kuweka oda moja kwa...
10 years ago
GPLNHC YAFUNGUA RASMI KITUO CHA HUDUMA KWA WATEJA
11 years ago
Tanzania Daima21 Jan
Katomu Solar kuuza bidhaa kwa mtandao
“KAMPUNI yangu kwa sasa inatoa huduma ambazo ni za kisasa na zenye uhakika kwa kuwapelekea bidhaa wateja hadi majumbani mwao bila kujali umbali wa mahali anapoishi kutoka katika maduka yetu...
5 years ago
MichuziTRA SONGWE YAGAWA BIDHAA ZILIZOINGIZWA KWA NJIA ZA MAGENDO
Mkoa wa Songwe, Mkuu wa Mkoa wa Songwe Brig. Jen. Nicodemus Mwangela (aliyevaa miwani) akikagua orodha ya bidhaa ambazo zimetolewa na Mamlaka ya Mapato (TRA) kutokana na kuwa zimekamatwa kwa njia za njia za magendo na wamiliki hawakujitokeza.
Simenti iliyokamatwa kwa kuingizwa nchini kwa njia za Magendo katika Mpaka wa Tunduma ikitolewa kwa ajili ya kupelekwa katika shule za sekondari za Mkoa wa Songwe.
…………………………………………………………Mamlaka ya Mapato Nchini (TRA) Mkoa wa Songwe imegawa baadhi ya...
9 years ago
Global Publishers24 Dec
Etihad yafungua Kituo cha Afya Hadhi ya Kimataifa kwa Wafanyakazi Wake Abu Dhabi
Ukataji wa Utepe mwekundu (Kutoka kushoto kwenda kulia): Naser Al Mazroei, Mkurugenzi mtendaji kitengo cha huduma kwa wateja katika mamlaka ya vitambulisho Emirates; Ray Gammell, Afisa mkuu wa Utendaji na Watu kutoka Shirika la ndege la Etihad; Dk Nadia Bastaki, Makamu rais huduma za matibabu; Dk Mariam Buti Al Mazrouei, Kaimu afisa mtendaji wa Ambulatory Healthcare Services; and Dk. Mubarak Al Darmaki, Kaimu afisa mkuu wa kliniki kutoka Ambulatory Healthcare Services.
Shirika la ndege la...
9 years ago
MichuziKandanda Day 2015 yafungua mwaka kwa kukabidhi vitabu na mipira katika kituo cha watoto.
11 years ago
Uhuru Newspaper16 Jun
UDA kuuza tiketi kwa njia ya mtandao
Na Mwandishi Wetu,
KAMPUNI ya Simon Group Limited inayomiliki Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (UDA) imetangaza kuanza mpango wa kuuza tiketi kwa njia ya mtandao ili kuondoa msongmano na adha kwa watumiaji.
Mbali ya hatua hiyo, imesisitiza dhamira yake ya kuboresha sekta ya usafiri katika Jiji la Dar es Salaam licha ya kampeni zinazoendelea kutoka kwa washindani binafsi ikiwa na lengo la kuvuruga mpango unaoendelea wa uwezekezaji katika Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) ili waweze...
10 years ago
Mwananchi16 Sep
Changamoto za miamala ya fedha kwa njia ya mtandao- 2
10 years ago
Mwananchi26 Dec
Tiba ya saratani kutolewa kwa njia ya mtandao