Katomu Solar kuuza bidhaa kwa mtandao
“KAMPUNI yangu kwa sasa inatoa huduma ambazo ni za kisasa na zenye uhakika kwa kuwapelekea bidhaa wateja hadi majumbani mwao bila kujali umbali wa mahali anapoishi kutoka katika maduka yetu...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima18 Mar
Katomu Solar yaneemesha Watanzania
“IKIWA kupitia kampuni yangu mteja atakuwa amechimbiwa kisima, bwawa la kufugia samaki au mradi wowote, tutahakikisha anapata hatimiliki ya mradi anaoumiliki na kupewa elimu ya jinsi ya kuundeleza, kuuboresha, kutafutiwa...
11 years ago
Tanzania Daima11 Feb
Katomu Solar yaingia mkataba na Jumuiya ya Ulaya
KAMPUNI ya umeme wa jua (solar) nchini ya Katomu Investment Ltd, imeingia mkataba na nchi mbalimbali zinazounda Jumuiya ya Ulaya (EU) ili kuachana na masoko ya bidhaa feki yaliyotapakaa mahali...
11 years ago
Uhuru Newspaper16 Jun
UDA kuuza tiketi kwa njia ya mtandao
Na Mwandishi Wetu,
KAMPUNI ya Simon Group Limited inayomiliki Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (UDA) imetangaza kuanza mpango wa kuuza tiketi kwa njia ya mtandao ili kuondoa msongmano na adha kwa watumiaji.
Mbali ya hatua hiyo, imesisitiza dhamira yake ya kuboresha sekta ya usafiri katika Jiji la Dar es Salaam licha ya kampeni zinazoendelea kutoka kwa washindani binafsi ikiwa na lengo la kuvuruga mpango unaoendelea wa uwezekezaji katika Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) ili waweze...
5 years ago
MichuziSerikali Imewataka wanaouza Bidhaa za Kujikinga dhidi ya Covid-19, Kuuza kwa Bei iliyoko Sokoni
======== ======== =======
Serikali kupitia...
5 years ago
CCM BlogSERIKALI IMEWATAKA WANAOUZA BIDHAA ZA KUJIKINGA DHIDI YA CORONA-19, KUUZA KWA BEI ILIYOKO SOKONI
Katika kuhakikisha changamoto hizo zinatatuliwa jana Waziri Innocent Bashungwa ametembelea viwanda vinavyozalisha sabuni na Vitakasa mikono vilivyoko Jijini Dar es Salaam kuangalia bei ya bidhaa hiyo na...
10 years ago
GPLPROIN PROMOTION YAZINDUA MPANGO WA KUUZA FILAMU ZAKE KWA NJIA YA MTANDAO
10 years ago
MichuziPROIN PROMOTION YAZINDUA MPANGO WA KUUZA VILAMU ZAKE KWA NJIA YA MTANDAO
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-BwbbMTIxMRw/VRQtQPIoWaI/AAAAAAAHNe0/CdTgecdprKc/s72-c/DSC_0704.jpg)
KAYMU YAFUNGUA KITUO UUZAJI WA BIDHAA KWA NJIA YA MTANDAO
Kampuni ya Kaymu imefungua tawi lake Kariakoo kwa ajili ya wafanyabiashara na wanunuzi kwa njia ya mtandao pamoja na uhifadhi wa bidhaa kabla hazijasafirishwa kwenda maeneo husika, hali ambayo itasaidia kuwapunguzia usumbufu wauzaji waliokubaliana na kampuni hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo,Meneja wa Kaymu Tanzania, Erfaan Mojgani amesema kufungua huduma kwa njia ya mtandao ni kurahisisha uendeshaji biashara pamoja na kuondoa...
9 years ago
MichuziWASHIRIKI WA SHINDANO LA MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2015 WAJIPATIA KIPATO KWA KUUZA BIDHAA WALIZOTENGENEZA WENYEWE KATIKA KIJIJI CHA KISANGA.