Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Zanzibar kujenga wodi maalumu ya watoto

558

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimpa pole Mtoto mgonjwa Nasrya Kombo aliyelazwa Hospitali kuu ya Mnazi mmoja baada ya kuungua kiwa moto. Pembeni kwa Balozi Seif ni Muuguzi wa Zamu katika Hopitali kuu ya Mnazi Mmoja wodi ya Watoto Bibi Mary Jadi.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba Serikal  ya Mapinduzi ya Zanzibar ina nia ya kutaka kujenga Wodi  maalum kwa ajili ya  kulazwa watoto wadogo wanaopatwa na majanga  mbali mbali ya...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

Wizara ya Afya Zanzibar Yatiliana Saini ya Makubaliano ya Ujenzi Wodi ya Watoto na Wazazi.

Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Mr. Jaap Frederiks akizungumza na baadhi ya watendaji wakuu wa Wizara ya Afya kabla ya utiaji saini makubaliano ya uboreshwaji wa wodi ya wazazi na watoto Unguja na Pemba, hafla hiyo imefanyika Wizara ya Afya Zanzibar.Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Saleh M. Jidawi (wa kulia waliokaa) na Meneja wa Kampuni ya Simed International Services ya Uholanzi Nd. Michor Pleijzer wakitia saini mkataba wa uboreshwaji wa wodi ya wazazi na watoto Unguja na Pemba...

 

10 years ago

Michuzi

WIZARA YA AFYA ZANZIBAR YATILIANA SAINI MAKUBALIANO YA UJENZI WA WODI YA WATOTO NA WAZAZI

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Saleh M. Jidawi (wa kulia waliokaa) na Meneja wa Kampuni ya Simed International Services ya Uholanzi Nd. Michor Pleijzer wakitia saini mkataba wa uboreshwaji wa wodi ya wazazi na watoto Unguja na Pemba huku wakishuhudiwa na Waziri wa Afya Rashid Seif Suleiman na Balozi wa Uholanzi Nchini Tanzania Mr. Jaap Frederiks katika hafla iliyofanyika Wizara ya Afya Mjini Zanzibar. Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt. Saleh M. Jidawi (kulia)na Meneja wa...

 

11 years ago

Michuzi

NORWAY NA ZANZIBAR ZATILIANA SAINI UJENGWAJI WA WODI MPYA YA WATOTO HOSPITAL YA MNAZI MMOJA

Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Mohammed Jidawi na Afisa Mtendaji Mkuu wa Chuo Kikuu cha Helse Bergen kiliopo Haukelang Norway Dkt. Stener Kvinnsland wakitia saini makubaliano ya ujenzi wa Wodi mpya ya watoto eneo la Mnazi mmoja wakishuhudiwa na Balozi wa Norway Nchini Tanzania Bi. Ingunn Klepsvik alieva miwani. Balozi wa Norway Nchini Tanzania Bi. Ingunn Klepsvik akizungumza na viongozi wa Wizara ya Afya waliongozwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Dk. Mohammed Jidawi mara baada ya utiaji...

 

10 years ago

Michuzi

CBE YATOA MSAADA WA MASHUKA KWA AJILI YA WODI YA AKINAMAMA NA WATOTO KATIKA HOSPITALI KUU YA MNAZI MMOJA ZANZIBAR

Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali Kuu ya Mnazmmoja Dkt. Jamala Adam Taib akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Biashara cha Dar es Salaam Prof. Emanuel Amani Mjema wakati wa hafla ya makabidhiano ya mashuka ya wodi ya akinamama na watoto ikiwa ni maadhimimisho ya miaka 50 tokea kuanzishwa chuo hicho.Mkuu wa Chuo cha CBE Prof. Emanuel Amani Mjema akimkabidhi Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Maalim Abdalla Mwinyi msaada wa mashuka uliotolewa na chuo hicho kwa ajili ya Hospitali Kuu ya Mnazimmoja katika...

 

10 years ago

Habarileo

Uholanzi kujenga wodi ya kisasa ya akinamama

BALOZI wa Uholanzi nchini, Jaap Fredriks amesema utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa wodi ya kisasa ya kutoa huduma kwa akinamama wajawazito itasaidia kupunguza vifo na kuona akinamama wanajifungua salama.

 

9 years ago

Mwananchi

Samia aombwa wodi ya watoto njiti

Wakazi wa wilaya ya Kwimba wamemuomba mgombea mwenza wa urais kupitia CCM, Samia Suluhu Hassani awajengee wodi ya watoto waliozaliwa kabla ya wakati (njiti) ili kuwanusuru uhai wao endapo chama chake kitashinda nafasi ya urais.

 

11 years ago

Habarileo

WAMA kujenga hospitali maalumu ya wazazi

TAASISI ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) imekusudia kujenga hospitali maalumu ya wazazi, lengo likiwa ni kuhakikisha wanasaidia juhudi za kupunguza vifo vya uzazi nchini. WAMA pia imepanga kujenga shule ya sekondari sawa na ile ya WAMA Nakayama iliyoko Rufiji mkoani Pwani ikisomesha watoto yatima na wanaotoka katika familia zenye uwezo mdogo kifedha.

 

9 years ago

Dewji Blog

Pinda apokea taarifa ya ujenzi wa wodi ya watoto — Sumbawanga

IMGS6550

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Madaktari, wauguzi na viongozi wa Hospitali Teule ya Wilaya ya Sumbawanga ya Doctor  Atiman  wakati alipokagua ujenzi wa wodi ya watoto katika hospitali hiyo Oktoba 11, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS6552

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza baadhi ya wagonjwa wakati alipotembelea hospitali Teule ya Wilaya ya Sumbawanga ya Doctor Atiman wakati alipkagua ujenzi wa wodi ya watoto katika hospitali hiyo Oktoba 11, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri...

 

11 years ago

Michuzi

MAMA ALIYEZAA WATOTO WANNE APELEKWA KATIKA KITUO MAALUMU NA WATOTO WAKE WAWILI WALIOBAKI KWA AJILI YA UANGALIZI.

UONGOZI wa Hospitali ya Rufaa ya Mbeya kupitia kitengo cha Ustawi wa jamii umemtafutia kituo cha kulelea watoto wa mitaani cha Nuru Ophans Centre Mama aliyejifungua mapacha wanne na kubakia wawili baada ya kuugua Nimonia kwa ajili ya uangalizi wa karibu.  Hatua hiyo imekuja baada ya uongozi wa Hospitali hiyo kumfuata mama mwenye watoto hao Aida Nakawala(25) pamoja na mapacha wake waliobaki kutoka kijijini kwao Chiwanda Wilaya ya Momba mkoani hapa na kuwalaza hospitalini hapo kwa uangalizi...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani