Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAMA kujenga hospitali maalumu ya wazazi

TAASISI ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) imekusudia kujenga hospitali maalumu ya wazazi, lengo likiwa ni kuhakikisha wanasaidia juhudi za kupunguza vifo vya uzazi nchini. WAMA pia imepanga kujenga shule ya sekondari sawa na ile ya WAMA Nakayama iliyoko Rufiji mkoani Pwani ikisomesha watoto yatima na wanaotoka katika familia zenye uwezo mdogo kifedha.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Zanzibar kujenga wodi maalumu ya watoto

558

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimpa pole Mtoto mgonjwa Nasrya Kombo aliyelazwa Hospitali kuu ya Mnazi mmoja baada ya kuungua kiwa moto. Pembeni kwa Balozi Seif ni Muuguzi wa Zamu katika Hopitali kuu ya Mnazi Mmoja wodi ya Watoto Bibi Mary Jadi.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba Serikal  ya Mapinduzi ya Zanzibar ina nia ya kutaka kujenga Wodi  maalum kwa ajili ya  kulazwa watoto wadogo wanaopatwa na majanga  mbali mbali ya...

 

10 years ago

Habarileo

Tanzanite One kujenga hospitali

KAMPUNI ya Tanzanite- One Limited ambayo hivi karibuni ilichukuliwa na wawekezaji wa ndani iko katika mchakato wa kujenga hospitali mpya kwa ajili ya wakazi wa mji wa Mirerani.

 

11 years ago

Mwananchi

Magese kujenga hospitali

Mwanamitindo wa kimataifa na Miss Tanzania 2001, Happiness ‘Millen’ Magese, amesema anajipanga kujenga hospitali ya wanawake nchini.

 

10 years ago

Michuzi

WAMA KWA KUSHIRIKIANA NA UNICEF WAANDAA MAFUNZO YA KUWAJENGEA UWEZO WALIMU WA SEKONDARI WAMA-NAKAYAMA

Mkuu wa Kitengo cha Uragibishi na Mawasiliano kutoka Taasisi ya Wanawake na Maendeleo, WAMA, Ndugu Philomena Marijani akiwakaribisha walimu na wageni waalikwa wakati wa sherehe ya ufunguzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo walimu wa Shule ya Sekondari WAMA-Nakayama iliyoko katika Kijiji cha Nyamisati huko Wilayani Rufiji yaliyofanyika shuleni hapo tarehe 15.9,2014. Baadhi ya walimu wa Shule ya Sekondari WAMA-Nakayama wakifuatilia kwa makini hotuba ya ufungunzi wa mafunzo ya kuwajengea uwezo...

 

9 years ago

Dewji Blog

9 years ago

Michuzi

NAFASI ZA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA- SHULE ZA SEKONDARI WAMA NAKAYAMA RUFIJI NA WAMA SHARAF LINDI

 Shule ya Sekondari ya WAMA- Sharaf, Mitwero Lindi

Shule ya Sekondari ya WAMA- Nakayama, Nyamisati -Rufiji



Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA) inatangaza nafasi za kidato cha kwanza kwa wasichana katika Shule zake mbili za Sekondari:


(1)   Shule ya Sekondari WAMA -  Nakayama  iliyopo Kijiji cha Nyamisati Wilaya ya Rufiji , Mkoa wa Pwani:

(2)   Shule ya Sekondari ya WAMA- Sharaf iliyopo Mitwero katika  Manispaa ya Lindi


WAMA ni Taasisi isiyo ya kiserikali iliyoanzishwa na Mhe. Mama Salma...

 

9 years ago

Habarileo

Wahadharishwa kujenga eneo la hospitali

WANANCHI wanaoishi karibu na eneo lililotengwa kwa ajili ya ujenzi wa Hospitali ya Rufaa katika kijiji cha Binguni, Wilaya ya Kati Unguja wametakiwa kutolitumia eneo hilo kwa shughuli yoyote ya ujenzi kujiepusha na hasara inayoweza kuwapata.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bil. 3/- kujenga hospitali Kishapu

UJENZI wa hospitali ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, inayotarajia kuanza kazi Oktoba mwaka huu unatarajia kugharimu sh bilioni tatu. Akisoma taarifa ya ujenzi wa hospitali hiyo kwa  Waziri wa...

 

11 years ago

Tanzania Daima

KAM kujenga hospitali ya mafunzo

CHUO cha Tiba na Afya cha KAM cha jijini Dar es Salaam kimepanga kujenga hospitali kubwa ya mafunzo kwa wataalam wa afya ikiwa ni jitihada za kuongeza wataalam wa fani...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani