Pinda apokea taarifa ya ujenzi wa wodi ya watoto — Sumbawanga
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Madaktari, wauguzi na viongozi wa Hospitali Teule ya Wilaya ya Sumbawanga ya Doctor Atiman wakati alipokagua ujenzi wa wodi ya watoto katika hospitali hiyo Oktoba 11, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza baadhi ya wagonjwa wakati alipotembelea hospitali Teule ya Wilaya ya Sumbawanga ya Doctor Atiman wakati alipkagua ujenzi wa wodi ya watoto katika hospitali hiyo Oktoba 11, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri...
Dewji Blog
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi13 Nov
NHIF yasaidia ujenzi wa wodi ya watoto ya hospitali teule ya Dr. Artiman,Sumbawanga
10 years ago
MichuziWIZARA YA AFYA ZANZIBAR YATILIANA SAINI MAKUBALIANO YA UJENZI WA WODI YA WATOTO NA WAZAZI
10 years ago
VijimamboWizara ya Afya Zanzibar Yatiliana Saini ya Makubaliano ya Ujenzi Wodi ya Watoto na Wazazi.
10 years ago
Dewji Blog16 Jul
Pinda apokea taarifa ya mkoa wa Katavi
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Dkt. Ibrahim Mzengi wakati aliposoma taarifa fupi ya mkoa huo baada ya Waziri Mkuu kuwasili Mpanda mkoani Katavi kwa mapumziko mafupi Julai 15, 2015. Kushoto ni Katibu Tawala wa mkoa huo, Mhandisi Emmanuel Kalobelo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
5 years ago
MichuziRAIS, DKT. MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA CAG YA 2018/2019, APOKEA TAARIFA YA PCCB IKULU YA CHAMWINO LEO
5 years ago
CCM BlogRAIS, DKT. MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA CAG YA 2018/2019, APOKEA TAARIFA YA PCCB IKULU YA CHAMWINO LEO
10 years ago
MichuziWAZIRI MKUU PINDA APOKEA TAARIFA YA MKOA WA KATAVI
9 years ago
MichuziPANAFRICAN ENERGY YAFADHILI UJENZI WA WODI YA ‘MAMA NGONJEA’ HOSPITALI YA WILAYA KINYONGA KILWA KIVINJE NA KUKARABATI WODI ZA UZAZI NA CHUMBA MAALUM CHA UANGALIZI WA AKINA MAMA
10 years ago
Dewji Blog03 Nov
Pinda azindua harambee ya ujenzi wa Kituo cha watoto na vijana-UDSM
Waziri Mkuu, Mkzengo Pinda akisalimiana na viongozi wa Kanisa la Umoja la Chuo Kikuu cha Dar es salaa baada ya kuwasili chuoni hapo ili kuzinduaa harambee ya kuchangia ujenzi wa Kituo cha Watoto na Vijana cha Kanisa hilo jijini Dar es salaam Novemba 2, 2014(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Bw. Frederick Msagala CD ya kwaya ya Kanisa la Umoja la Chuo Kikuu cha Dar es salaam baada ya kuinunua kwa sh. 700,000 katika uzinduzi wa Harambee ya kuchangia...