Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


RAIS, DKT. MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA CAG YA 2018/2019, APOKEA TAARIFA YA PCCB IKULU YA CHAMWINO LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Ripoti ya Mwaka 2018-2019 kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Charles Kichere katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 26/03/2020.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akisoma Muhtasari wa Taarifa ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG ya Mwaka 2018-2019 iliyokuwa ikiwasilishwa na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Charles Kichere...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

RAIS, DKT. MAGUFULI APOKEA TAARIFA YA CAG YA 2018/2019, APOKEA TAARIFA YA PCCB IKULU YA CHAMWINO LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akipokea Ripoti ya Mwaka 2018-2019 kutoka kwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Charles Kichere katika hafla fupi iliyofanyika katika Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma leo tarehe 26/03/2020.Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Magufuli akisoma Muhtasari wa Taarifa ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG ya Mwaka 2018-2019 iliyokuwa ikiwasilishwa na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali CAG Charles Kichere...

 

10 years ago

Michuzi

Rais Kikwete apokea Ripoti ya CAG, ikulu jijini Dar leo



Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Profesa Musa Assad akizungumza wakati wa kukabidhi Ripoti yake Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leoMdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali Profesa Musa Assad akimkabidhidhi Ripoti yake Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ikulu jijini Dar es Salaam leo. Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali muda mfupi baada ya kukabidhiwa na Mdhibiti na mkaguzi Mkuu wa...

 

9 years ago

StarTV

Rais Magufuli apokea taarifa rasmi ya Rais Mstaafu Kikwete

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta John Magufuli amepokea taarifa rasmi ya makabidhiano ya Ofisi kutoka kwa Rais Mstaafu Mheshimiwa Jakaya Kikwete.

Makabidhiano hayo yamefanyika leo mchana Ikulu jijini Dar es Salaam yakishuhudiwa na Makamu wa Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Maafisa wa Ofisi Binafsi ya Rais.

Rais Mstaafu Jakaya Kikwete amekabidhi taarifa rasmi yenye kurasa 53 ambayo kwa ujumla inaelezea kazi zilizokwishakufanyika...

 

9 years ago

Michuzi

RAIS MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO ZA MABALOZI WA UMOJA WA JAMHURI YA KOREA, UMOJA WA ULAYA NA PALESTINA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akipokea Hati za Utambulisho za Mhe. Song Geum-young, Balozi wa Jamhuri ya Korea Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 5, 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akizungumza na Mhe. Song Geum-young, Balozi wa Jamhuri ya Korea Ikulu jijini Dar es salaam leo Januari 5, 2016 baada ya kupokea hati zake za utambulisho  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph...

 

5 years ago

Michuzi

Rais Magufuli akutana na Rais Shein, Mzee Mangula na Dkt. Bashiru, Ikulu Chamwino

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 03 Juni, 2020 amekutana na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Mhe. Dkt. Ali Mohamed Shein katika kikao cha ndani kilichofanyika Ikulu, Chamwino Mkoani Dodoma.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mhe. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi...

 

5 years ago

Michuzi

Rais Dkt. Magufuli aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Chamwino

  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Mawaziri Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa pia na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri pamoja na Manaibu Mawaziri leo tarehe 27 Mei 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama kwa dakika moja pamoja na Makamu wa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani