Rais Dkt. Magufuli aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Chamwino

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Mawaziri Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa pia na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri pamoja na Manaibu Mawaziri leo tarehe 27 Mei 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama kwa dakika moja pamoja na Makamu wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM Blog
RAIS DK. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI, IKULU YA CHAMWINO JIJINI DODOMA, LEO


5 years ago
Michuzi
RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR


9 years ago
MichuziRAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU, DAR ES SALAAM
5 years ago
CCM Blog
RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI, CHAMWINO, DODOMA





5 years ago
Michuzi
RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI LEO CHAMWINO – DODOMA



5 years ago
Michuzi
RAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Machi 09, 2020. Picha na Ikulu
5 years ago
CCM Blog
RAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU DAR ES SALAAM

5 years ago
CCM Blog
RAIS DK. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO


10 years ago
Vijimambo.jpg)
RAIS KIWETE AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI LEO IKULU
.jpg)
PICHA NA IKULU