RAIS DKT MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU, DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam jana Alhamisi Desemba 17, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa. Kikao hicho ni cha kwanza kufanyika tangu Rais Magufuli atangaze Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Tano wiki iliyopita. PICHA NA IKULU
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
CCM BlogRAIS MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Februari 18, 2020.Picha na Ikulu
5 years ago
MichuziRAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU JIJINI DAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Februari 18, 2020. Picha na Ikulu
5 years ago
CCM BlogRAIS DK. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI, IKULU JIJINI DAR ES SALAAM, LEO
Rais Dk. John Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es Salaam, leo Machi 09, 2020
5 years ago
MichuziRais Dkt. Magufuli aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Chamwino
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Mawaziri Ikulu ya Chamwino mkoani Dodoma. Kikao hicho kimehudhuriwa pia na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri pamoja na Manaibu Mawaziri leo tarehe 27 Mei 2020. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa amesimama kwa dakika moja pamoja na Makamu wa...
5 years ago
MichuziRAIS DKT. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam. Machi 09, 2020. Picha na Ikulu
5 years ago
CCM BlogRAIS DK. MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI, IKULU YA CHAMWINO JIJINI DODOMA, LEO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akipima joto la mwili kabla ya kuingia katika ukumbi wa Baraza la Mawaziri kuongoza kikao cha Baraza hilo. Kikao hicho kimehudhuriwa na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Mawaziri wote, Manaibu Mawaziri pamoja na Viongozi wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama. Chamwino Dodoma. Machi 24, 2020.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza...
9 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA TISA CHA BARAZA LA TAIFA LA BIASHARA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO
Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2015 Mwenyekiti wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiendesha kikao cha tisa cha baraza hilo katika ukumbi wa mikutano Ikulu jijini Dar es salaam leo Oktoba 2, 2015.
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela), Bw. Frank Kanyusi akitoa maelezo kuhusu...
Ofisa Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (Brela), Bw. Frank Kanyusi akitoa maelezo kuhusu...
10 years ago
VijimamboRAIS KIKWETE AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI CHA KWANZA KWA MWAKA HUU WA 2015
Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri chakwanza kwa mwaka huu wa 2015 Ikulu jijini Dar es salaam leo January 16, 2015.Kulia kwake ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali na kushotokwake ni Waziri Mkuu Mhe Mizengo Pinda
PICHA NA IKULU
PICHA NA IKULU
10 years ago
VijimamboRAIS KIWETE AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI LEO IKULU
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiongoza Kikao cha kawaida cha Baraza la Mawaziri leo Jumapili Machi 15, 2015 Ikulu jijini Dar es Salaam. Kulia kwake ni Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue
PICHA NA IKULU
PICHA NA IKULU
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania