Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uholanzi kujenga wodi ya kisasa ya akinamama

BALOZI wa Uholanzi nchini, Jaap Fredriks amesema utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa wodi ya kisasa ya kutoa huduma kwa akinamama wajawazito itasaidia kupunguza vifo na kuona akinamama wanajifungua salama.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WATAKIWA KUCHANGIA UJENZI WODI YA AKINAMAMA

Mgombea Ubunge kushoto Ridhiwani Kikwete akimkabidhi ilani ya uchaguzi ya CCM mgombea udiwani wa kata ya Kimange wakati wa uzinduzi wa kampeni za udiwani kwenye kata hiyo katika Kijiji cha Pongwekiona 
Na John Gagarini, ChalinzeWAKAZI wa Kijiji cha Pongwe Kiona Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo wametakiwa kushirikiana na serikali ili kukamilisha ujenzi wa wodi ya akinamama.
Hayo yalisemwa na mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ridhiwani Kikwete kwenye Kijiji hicho wakati wa uzinduzi...

 

10 years ago

Michuzi

CBE YATOA MSAADA WA MASHUKA KWA AJILI YA WODI YA AKINAMAMA NA WATOTO KATIKA HOSPITALI KUU YA MNAZI MMOJA ZANZIBAR

Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali Kuu ya Mnazmmoja Dkt. Jamala Adam Taib akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Biashara cha Dar es Salaam Prof. Emanuel Amani Mjema wakati wa hafla ya makabidhiano ya mashuka ya wodi ya akinamama na watoto ikiwa ni maadhimimisho ya miaka 50 tokea kuanzishwa chuo hicho.Mkuu wa Chuo cha CBE Prof. Emanuel Amani Mjema akimkabidhi Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Maalim Abdalla Mwinyi msaada wa mashuka uliotolewa na chuo hicho kwa ajili ya Hospitali Kuu ya Mnazimmoja katika...

 

10 years ago

Vijimambo

HON:MWIGULU NCHEMBA AMETIMIZA MIAKA 40,ATUMIA SIKU YAKE KUCHANGIA DAMU,KUSALIMIA WATOTO YATIMA NA KUJULIA HALI WODI YA AKINAMAMA MWANANYAMALA

Mh:Mwigulu Nchemba hii leo ametimiza miaka 40 ya Kuzaliwa kwake.Mwigulu Nchemba akiwasili Hospitali ya Mwananyamala kwaajili ya Kutembelea na kusalimia Wodi ya wazazi kama sehemu yake ya Kusherekea siku ya Kuzaliwa(Miaka 40).Mwigulu Nchemba akisalimiana na baadhi ya watumishi wa Hospitali ya Mwananyamala hii leo tar.07.01.2015.Mh:Mwigulu Nchemba akimsalimia mtoto aliyepatwa na tatizo la kuungua moto.Mh:Mwigulu akisikiliza kwa makini mahitaji ya wodi ya akinamama kutoka kwa Mganga mkuu...

 

10 years ago

Dewji Blog

Zanzibar kujenga wodi maalumu ya watoto

558

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akimpa pole Mtoto mgonjwa Nasrya Kombo aliyelazwa Hospitali kuu ya Mnazi mmoja baada ya kuungua kiwa moto. Pembeni kwa Balozi Seif ni Muuguzi wa Zamu katika Hopitali kuu ya Mnazi Mmoja wodi ya Watoto Bibi Mary Jadi.

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi alisema kwamba Serikal  ya Mapinduzi ya Zanzibar ina nia ya kutaka kujenga Wodi  maalum kwa ajili ya  kulazwa watoto wadogo wanaopatwa na majanga  mbali mbali ya...

 

11 years ago

Mwananchi

JK aahidi kujenga magereza ya kisasa

Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameahidi kuwa Serikali itajenga magereza ya kisasa na yenye hadhi nchini ili kupunguza msongamano wa wafungwa gerezani na kukiri hali ni mbaya kwani mrundikano wa mahabusu na wafungwa ni mkubwa na kuchangia wafungwa kulala mzungu wa nne.

 

11 years ago

Mwananchi

TBA kujenga hospitali ya kisasa Shinyanga

Wakala wa Majengo Mkoa wa Shinyanga (TBA), imeanza ujenzi wa hospitali ya kisasa ya rufaa katika eneo la Ndala kwa gharama ya Sh900 milioni.

 

11 years ago

Habarileo

Aga Khan kujenga hospitali ya kisasa

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda.TAASISI ya Aga Khan inatarajia kujenga hospitali kubwa ya kisasa nchini.

 

9 years ago

Habarileo

Mgodi watumia bil 1.7/- kujenga sekondari ya kisasa

MGODI wa Dhahabu wa North Mara uliopo wilayani Tarime umetumia kiasi cha Sh bilioni 1.7 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya sekondari JK Nyerere pamoja na nyumba za walimu. Ujenzi wa shule hiyo iliyopo kijiji cha Nyamwaga kinachopakana na mgodi huo umeenda sambamba na ununuzi wa samani za ofisi za walimu, madarasa na maabara.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani