Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WATAKIWA KUCHANGIA UJENZI WODI YA AKINAMAMA

Mgombea Ubunge kushoto Ridhiwani Kikwete akimkabidhi ilani ya uchaguzi ya CCM mgombea udiwani wa kata ya Kimange wakati wa uzinduzi wa kampeni za udiwani kwenye kata hiyo katika Kijiji cha Pongwekiona 
Na John Gagarini, ChalinzeWAKAZI wa Kijiji cha Pongwe Kiona Jimbo la Chalinze wilayani Bagamoyo wametakiwa kushirikiana na serikali ili kukamilisha ujenzi wa wodi ya akinamama.
Hayo yalisemwa na mgombea Ubunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ridhiwani Kikwete kwenye Kijiji hicho wakati wa uzinduzi...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

HON:MWIGULU NCHEMBA AMETIMIZA MIAKA 40,ATUMIA SIKU YAKE KUCHANGIA DAMU,KUSALIMIA WATOTO YATIMA NA KUJULIA HALI WODI YA AKINAMAMA MWANANYAMALA

Mh:Mwigulu Nchemba hii leo ametimiza miaka 40 ya Kuzaliwa kwake.Mwigulu Nchemba akiwasili Hospitali ya Mwananyamala kwaajili ya Kutembelea na kusalimia Wodi ya wazazi kama sehemu yake ya Kusherekea siku ya Kuzaliwa(Miaka 40).Mwigulu Nchemba akisalimiana na baadhi ya watumishi wa Hospitali ya Mwananyamala hii leo tar.07.01.2015.Mh:Mwigulu Nchemba akimsalimia mtoto aliyepatwa na tatizo la kuungua moto.Mh:Mwigulu akisikiliza kwa makini mahitaji ya wodi ya akinamama kutoka kwa Mganga mkuu...

 

10 years ago

Habarileo

Uholanzi kujenga wodi ya kisasa ya akinamama

BALOZI wa Uholanzi nchini, Jaap Fredriks amesema utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa wodi ya kisasa ya kutoa huduma kwa akinamama wajawazito itasaidia kupunguza vifo na kuona akinamama wanajifungua salama.

 

10 years ago

Michuzi

CBE YATOA MSAADA WA MASHUKA KWA AJILI YA WODI YA AKINAMAMA NA WATOTO KATIKA HOSPITALI KUU YA MNAZI MMOJA ZANZIBAR

Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali Kuu ya Mnazmmoja Dkt. Jamala Adam Taib akizungumza na Mkuu wa Chuo cha Biashara cha Dar es Salaam Prof. Emanuel Amani Mjema wakati wa hafla ya makabidhiano ya mashuka ya wodi ya akinamama na watoto ikiwa ni maadhimimisho ya miaka 50 tokea kuanzishwa chuo hicho.Mkuu wa Chuo cha CBE Prof. Emanuel Amani Mjema akimkabidhi Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi Maalim Abdalla Mwinyi msaada wa mashuka uliotolewa na chuo hicho kwa ajili ya Hospitali Kuu ya Mnazimmoja katika...

 

9 years ago

Michuzi

PANAFRICAN ENERGY YAFADHILI UJENZI WA WODI YA ‘MAMA NGONJEA’ HOSPITALI YA WILAYA KINYONGA KILWA KIVINJE NA KUKARABATI WODI ZA UZAZI NA CHUMBA MAALUM CHA UANGALIZI WA AKINA MAMA

Meneja Uwajibikaji kwa jamii kutoka Kampuni ya PanAfrican Energy Andrew  Kangashaki  (kushoto ) na Mkurugenzi wa Wilaya ya Kilwa Twalib Mbasha wakikabidhiana mkataba wa miradi  ya ujenzi wa nyumba ya mama ngojea  katika hospital ya Kinyonga  na ukarabati wa wodi  ya uzazi  mara baada ya kumaliza kusaini mikataba hiyo katika hafla fupi iliyofanyika jana Kilwa Kivinje.Meneja Uwajibikaji kwa jamii kutoka Kampuni ya PanAfrican Energy Andrew  Kangashaki(wa tatu kushoto) pamoja na Mkurugenzi...

 

10 years ago

CloudsFM

SHOO YA BIRTHDAY YA MH.TEMBA, ASILIMIA 80 YA MAPATO KUCHANGIA WODI YA WATOTO HOSPITALI YA TEMEKE

Leo ni kumbukumbu ya kuzaliwa ya msanii Amani Temba a.k.a Mheshimiwa Temba kutoka kundi ya TMK Wanaume Family.Usiku wa leo ameandaa shoo maalum ndani ya ukumbi wa Ikweta Grill, Temeke kiasi cha mapato kitaenda kuchangia wodi ya watoto katika hospitali ya Temeke, kama ilivyokuwa kwa bendi ya Yamoto Band mwishoni mwa mwezi wa tisa walipoambatana na timu nzima ya TMK Wanaume Temba kuchangia hospitalini hapo.

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AONGOZA HARAMBEE KUCHANGIA WODI YA DHARURA YA WATOTO NA VIFAA VYAKE HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete usiku wa jana, Jumamosi, Februari 22, 2014, aliongoza harambee ya kupatikana kwa zaidi ya sh milioni 600 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa vya kisasa vya matibabu kwa ajili ya Wodi ya Watoto katika Hospitali ya Taifa, Muhimbili, Dar Es Salaam.  Katika halfa hiyo iliyofanyika kwenye Hoteli ya Golden Tulip, Dar Es Salaam, Rais Kikwete pia ameahidi kuendeleza kuongoza jitihada za kupatikana kwa kiasi cha sh milioni 328...

 

9 years ago

Dewji Blog

Pinda apokea taarifa ya ujenzi wa wodi ya watoto — Sumbawanga

IMGS6550

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Madaktari, wauguzi na viongozi wa Hospitali Teule ya Wilaya ya Sumbawanga ya Doctor  Atiman  wakati alipokagua ujenzi wa wodi ya watoto katika hospitali hiyo Oktoba 11, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

IMGS6552

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza baadhi ya wagonjwa wakati alipotembelea hospitali Teule ya Wilaya ya Sumbawanga ya Doctor Atiman wakati alipkagua ujenzi wa wodi ya watoto katika hospitali hiyo Oktoba 11, 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri...

 

10 years ago

Michuzi

RIDHIWANI ATOA MSAADA WA FEDHA NA SARUJI UJENZI WA WODI

Mwenyekiti wa Kijiji cha Pongwekiona Rajab Mgaya kushoto akipokea fedha kiasi cha shilingi milioni moja na mifuko 70 ya Saruji toka kwa katibu wa Mbunge wa Chalinze Iddy Swala ambaye alimwakilisha Mbunge wa Jimbo hilo Ridhiwani Kikwete, fedha hizo ni kwa ajili ya ujenzi wa wodi mbili kwenye zahanati ya Kijiji hicho. Diwani wa kata ya Kimange Hussein Hadingoka kushoto akipokea fedha kiasi cha shilingi milioni moja toka kwa katibu wa Mbunge wa Chalinze Iddy Swala kwa niaba ya Mbunge kwa ajili...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani