Mgodi watumia bil 1.7/- kujenga sekondari ya kisasa
MGODI wa Dhahabu wa North Mara uliopo wilayani Tarime umetumia kiasi cha Sh bilioni 1.7 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya sekondari JK Nyerere pamoja na nyumba za walimu. Ujenzi wa shule hiyo iliyopo kijiji cha Nyamwaga kinachopakana na mgodi huo umeenda sambamba na ununuzi wa samani za ofisi za walimu, madarasa na maabara.
habarileo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Dewji Blog03 Oct
Mgodi wa North Mara watumia Bilioni 1.7 kujenga shule wa sekondari JK Nyerere
Mama Salma Kikwete akishirikiana na viongozi wa Mkoa wa Mara na wale wa Wilaya ya Tarime na wahisani waliojenga Shule ya J.K. Nyerere kukata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa Shule hiyo iliyoko katika Kijiji cha Nyamwaga.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpongeza Ndugu Jimmy Ijumba, Meneja wa ACACIA –North Mara Gold Mine mara baada ya kuzindua rasmi shule hiyo.
Mama Salma Kikwete akifurahia ngoma ya utamaduni na wananchi wa Kijiji cha Nyamwaga kilichoko katika wilaya...
10 years ago
Dewji Blog26 Dec
Singida watumia Bil 1.5/- kutengeneza ya madaraja
Kaimu meneja TANROADS mkoa wa Singida, Eng.Leonard Kapongo, akitoa ufafanuzi juu ya matengenezo ya barabara za ngazi ya mkoa, kwenye kikao cha 37 cha bodi ya barabara kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Social Training Centre mjini Singida.(Picha na Nathaniel Limu).
Na Nathaniel Limu, Singida
WAKALA wa barabara (TANROADS) mkoani Singida, umetumia zaidi ya shilingi 1.5 biloni kugharamia matengenezo makubwa na madogo ya madaraja ya barabara kuu na za mkoa kwa kipindi cha Aprili hadi...
10 years ago
Michuzi
MGODI WA DHAHABU, BULYANHULU WATUMIA NUSU BILIONI KWA MWAKA KUFADHILI VIJANA MAFUNZO YA IMTT

Na K-VIS MEDIAMGODI wa dhahabu wa Bulyanhulu, BGML,...
10 years ago
Habarileo16 Sep
TEA watumia bil 2/- kusaidia shule za walemavu
MAMLAKA ya Elimu Tanzania (TEA) imetumia zaidi ya sh bilioni 1.83 kwa ajili ya kusaidia shule na vyuo vyenye watu wenye ulemavu katika kipindi cha miaka mitatu.
10 years ago
Habarileo14 Feb
Wataka wamiliki mgodi Mwadui kulipa deni bil.7/-
MGODI wa almasi wa Mwadui wilayani Kishapu mkoani Shinyanga unaomilikiwa na Kampuni ya Diamond Williamson unadaiwa Sh bilioni 1.6 tangu mwaka 1995 hadi 2007 kama ushuru wa huduma, hali ambayo imeonesha baadhi ya madiwani kuwa na wasiwasi huku wakihoji ni lini fedha hizo zitalipwa.
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Bil 8/- kujenga uwanja Chunya
KAMPUNI ya saruji mkoani hapa maarufu kama Mbeya Cement, imetoa mifuko 1,000 ya saruji sawa na tani 50 kusaidia kuendeleza ujenzi wa uwanja wa kisasa wa michezo wilayani Chunya. Akizungumza...
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
Bil. 3/- kujenga hospitali Kishapu
UJENZI wa hospitali ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, inayotarajia kuanza kazi Oktoba mwaka huu unatarajia kugharimu sh bilioni tatu. Akisoma taarifa ya ujenzi wa hospitali hiyo kwa Waziri wa...
11 years ago
Mwananchi22 Jul
JK aahidi kujenga magereza ya kisasa
11 years ago
Habarileo09 Feb
Aga Khan kujenga hospitali ya kisasa
TAASISI ya Aga Khan inatarajia kujenga hospitali kubwa ya kisasa nchini.