JK aahidi kujenga magereza ya kisasa
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameahidi kuwa Serikali itajenga magereza ya kisasa na yenye hadhi nchini ili kupunguza msongamano wa wafungwa gerezani na kukiri hali ni mbaya kwani mrundikano wa mahabusu na wafungwa ni mkubwa na kuchangia wafungwa kulala mzungu wa nne.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi05 Sep
Lowassa aahidi bandari ya kisasa Kigoma
9 years ago
Habarileo14 Sep
Aahidi kujenga kiwanda cha korosho
MGOMBEA Mwenza wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Samia Suluhu Hassan amesema iwapo mgombea urais wa chama hicho, Dk John Magufuli atapata ridhaa ya kuunda serikali ya awamu ya tano, atajenga kiwanda cha kisasa cha kubangua na kufungasha korosho katika wilaya ya Mkuranga.
11 years ago
Mwananchi04 May
TBA kujenga hospitali ya kisasa Shinyanga
10 years ago
Habarileo05 Mar
Uholanzi kujenga wodi ya kisasa ya akinamama
BALOZI wa Uholanzi nchini, Jaap Fredriks amesema utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa wodi ya kisasa ya kutoa huduma kwa akinamama wajawazito itasaidia kupunguza vifo na kuona akinamama wanajifungua salama.
11 years ago
Habarileo09 Feb
Aga Khan kujenga hospitali ya kisasa
TAASISI ya Aga Khan inatarajia kujenga hospitali kubwa ya kisasa nchini.
9 years ago
Habarileo04 Oct
Mgodi watumia bil 1.7/- kujenga sekondari ya kisasa
MGODI wa Dhahabu wa North Mara uliopo wilayani Tarime umetumia kiasi cha Sh bilioni 1.7 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya sekondari JK Nyerere pamoja na nyumba za walimu. Ujenzi wa shule hiyo iliyopo kijiji cha Nyamwaga kinachopakana na mgodi huo umeenda sambamba na ununuzi wa samani za ofisi za walimu, madarasa na maabara.
10 years ago
Habarileo06 Sep
JK aahidi kuisukuma NHC kujenga nyumba Chemba lakini…
RAIS Jakaya Kikwete ameiagiza Halmashauri ya Chemba kutoa ardhi kwa Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) ili liweze kujenga nyumba kwa ajili ya watumishi wa halmashauri hiyo.
9 years ago
Habarileo09 Oct
Samia aahidi kujenga chuo cha mafunzo Kwimba
MGOMBEA mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan amewaahidi wananchi wa Jimbo la Kwimba mkoani Mwanza kuwa Serikali ya awamu ya tano ya CCM itawajengea Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta) ili kuwapatia fursa vijana wa jimbo hilo kupata mafunzo ya ufundi.
10 years ago
Mwananchi02 Nov
NHC sasa kujenga miji ya kisasa Dar es salaam