Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Bil 8/- kujenga uwanja Chunya

KAMPUNI ya saruji mkoani hapa maarufu kama Mbeya Cement, imetoa mifuko 1,000 ya saruji sawa na tani 50  kusaidia kuendeleza ujenzi wa uwanja wa kisasa wa michezo wilayani Chunya. Akizungumza...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Aveva kujenga uwanja Bunju kwa Sh2.5 bil

Wakati uwanja wa Yanga ukiwa bado ‘kitendawili’, wenzao wa Simba wameibuka upya na kusema wameingia mkataba na kampuni ya uchoraji ramani ya Envirolink ili kuwapatia michoro ya hosteli na viwanja viwili katika kuendeleza mradi wa Bunju ambao utaigharimu Simba zaidi ya Sh2.5 bilioni hadi kukamilika kwake.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Bil. 3/- kujenga hospitali Kishapu

UJENZI wa hospitali ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, inayotarajia kuanza kazi Oktoba mwaka huu unatarajia kugharimu sh bilioni tatu. Akisoma taarifa ya ujenzi wa hospitali hiyo kwa  Waziri wa...

 

9 years ago

Habarileo

Mgodi watumia bil 1.7/- kujenga sekondari ya kisasa

MGODI wa Dhahabu wa North Mara uliopo wilayani Tarime umetumia kiasi cha Sh bilioni 1.7 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya sekondari JK Nyerere pamoja na nyumba za walimu. Ujenzi wa shule hiyo iliyopo kijiji cha Nyamwaga kinachopakana na mgodi huo umeenda sambamba na ununuzi wa samani za ofisi za walimu, madarasa na maabara.

 

11 years ago

Mwananchi

MAJI: Mkopo wa Sh300 bil kujenga Bwawa la Kidunda

>Mamlaka ya Maji Safi na Taka Dar es Salaam (Dawasa) imetia saini makubaliano ya mkopo wa bei nafuu na kampuni ya China kwa ajili ya mradi wa bwawa la Kidunda.

 

11 years ago

Tanzania Daima

Uboreshaji Uwanja KIA kugharimu bil. 78/-

UJENZI wa uboreshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) unatarajia kugharimu euro milioni 35 (sh bilioni 78). Hayo yalibainika jijini Dar es Salaam juzi katika  hafla ya...

 

11 years ago

GPL

MANCHESTER CITY INA PLAN YA KUJENGA UWANJA MPYA

Muonekano mpya ya Uwanja unaotarajiwa kujengwa na Mabingwa wa Ligi Kuu ya England ‘Primiership’ 2013/2014, Manchester City . Mabingwa wa Ligi Kuu ya England ‘Primiership’ 2013/2014, Manchester City ina plan ya kujenga Uwanja mpya ambao utakuwa na uwezo wa kuchukua mashabiki zaidi ya 60,000.
Uwanja wanaoutumia sasa hivi wa Etihad unauwezo wa kuingiza watazamaji 47,620. Iwapo Uwanja huo utakamilika,...

 

11 years ago

GPL

5 years ago

Michuzi

KINONDONI YAPONGEZWA KWA KUJENGA UWANJA WA MPIRA WA KISASA, TIMU KUBWA ZATAKIWA KUIGA MFANO



Naibu Waziri wa Tamisemi Mhe. Josephat Kandege akikagua muonekano wa uwanja wa mpira wa miguu wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni wakati alipotembelea uwanja huo ,mwenyesuti ya Dakbluu ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo.

……………………………………………………………………………………..

Manispaa ya Kinondoni imepongezwa kwa ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu wenye uwezo wa kuchukua takriban idadi ya mashabiki 3600 kwa mara moja.

Pongezi hizo zimetolewa na Naibu wa Waziri wa Tawala za Mikoa na...

 

5 years ago

CCM Blog

WAZIRI BITEKO:SEKTA YA MADINI YAONGOZA KWA UKUAJI NCHINI. MAKUSANYO YAPAA KUTOKA BIL. 39 HADI BIL.58 APRILI



Nuru Mwasampeta na Tito Mselem,WM- Dodoma

WAZIRI wa Madini, Doto Biteko amesema ukuaji na mchango wa Sekta ya Madini kwenye pato la taifa unakua kwa kasi na kuwa mwaka 2019 mchango huo umeongezeka na kufikia asilimia 17.7 kutoka ukuaji wa asilimia 1.5 kwa mwaka 2018.
Amesema, kwa ukuaji huo sekta ya madini imeongoza sekta zote kwa ukuaji ikifuatiwa na sekta ya ujenzi ikiwa na ukuaji wa asilimia 14.1.
Ameongeza kuwa, wizara yake imekuwa ikikusanya kiasi cha wastani wa shilingi bilioni 39 kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani