Aveva kujenga uwanja Bunju kwa Sh2.5 bil
Wakati uwanja wa Yanga ukiwa bado ‘kitendawili’, wenzao wa Simba wameibuka upya na kusema wameingia mkataba na kampuni ya uchoraji ramani ya Envirolink ili kuwapatia michoro ya hosteli na viwanja viwili katika kuendeleza mradi wa Bunju ambao utaigharimu Simba zaidi ya Sh2.5 bilioni hadi kukamilika kwake.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Tanzania Daima02 Aug
Bil 8/- kujenga uwanja Chunya
KAMPUNI ya saruji mkoani hapa maarufu kama Mbeya Cement, imetoa mifuko 1,000 ya saruji sawa na tani 50 kusaidia kuendeleza ujenzi wa uwanja wa kisasa wa michezo wilayani Chunya. Akizungumza...
10 years ago
Mwananchi23 Aug
Polisi wanasa Sh2 bil bandia
10 years ago
Mwananchi07 Jan
TFF kulamba Sh2.2 bil za Fifa
11 years ago
Mwananchi04 Jan
Wataka Sh2.3 bil zilizozuiwa benki zianzishe Vicoba
5 years ago
MichuziKINONDONI YAPONGEZWA KWA KUJENGA UWANJA WA MPIRA WA KISASA, TIMU KUBWA ZATAKIWA KUIGA MFANO
Naibu Waziri wa Tamisemi Mhe. Josephat Kandege akikagua muonekano wa uwanja wa mpira wa miguu wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni wakati alipotembelea uwanja huo ,mwenyesuti ya Dakbluu ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo.
……………………………………………………………………………………..
Manispaa ya Kinondoni imepongezwa kwa ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu wenye uwezo wa kuchukua takriban idadi ya mashabiki 3600 kwa mara moja.
Pongezi hizo zimetolewa na Naibu wa Waziri wa Tawala za Mikoa na...
11 years ago
Tanzania Daima08 Jun
Bil. 3/- kujenga hospitali Kishapu
UJENZI wa hospitali ya Wilaya ya Kishapu mkoani Shinyanga, inayotarajia kuanza kazi Oktoba mwaka huu unatarajia kugharimu sh bilioni tatu. Akisoma taarifa ya ujenzi wa hospitali hiyo kwa Waziri wa...
9 years ago
Habarileo04 Oct
Mgodi watumia bil 1.7/- kujenga sekondari ya kisasa
MGODI wa Dhahabu wa North Mara uliopo wilayani Tarime umetumia kiasi cha Sh bilioni 1.7 kwa ajili ya ujenzi wa shule ya sekondari JK Nyerere pamoja na nyumba za walimu. Ujenzi wa shule hiyo iliyopo kijiji cha Nyamwaga kinachopakana na mgodi huo umeenda sambamba na ununuzi wa samani za ofisi za walimu, madarasa na maabara.
11 years ago
Mwananchi25 Jun
MAJI: Mkopo wa Sh300 bil kujenga Bwawa la Kidunda
11 years ago
Tanzania Daima21 Feb
Uboreshaji Uwanja KIA kugharimu bil. 78/-
UJENZI wa uboreshaji wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) unatarajia kugharimu euro milioni 35 (sh bilioni 78). Hayo yalibainika jijini Dar es Salaam juzi katika hafla ya...