Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KINONDONI YAPONGEZWA KWA KUJENGA UWANJA WA MPIRA WA KISASA, TIMU KUBWA ZATAKIWA KUIGA MFANO



Naibu Waziri wa Tamisemi Mhe. Josephat Kandege akikagua muonekano wa uwanja wa mpira wa miguu wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni wakati alipotembelea uwanja huo ,mwenyesuti ya Dakbluu ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo.

……………………………………………………………………………………..

Manispaa ya Kinondoni imepongezwa kwa ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu wenye uwezo wa kuchukua takriban idadi ya mashabiki 3600 kwa mara moja.

Pongezi hizo zimetolewa na Naibu wa Waziri wa Tawala za Mikoa na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

‘Tanzania ni mfano wa kuiga’ asema mrembo wa Burundi kutokana na umoja tulionesha kwa Idris na Happiness Watimanya

Diamond Platnumz na Idris Sultan wameiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia baada ya ushindi wao wa tuzo ya Channel O na Big Brother Afrika. Lakini hayo yote yasingewezekana bila ushirikiano uliooneshwa na Watanzania katika kuwapigia kura. Mwamko huo umeendelea kuonekana pia katika kumpigia kampeni Miss Tanzania, Happiness Watimanywa. Umoja huo umemkuna mrembo wa Burundi anayeishi […]

 

11 years ago

Habarileo

Bakwata yapongezwa kwa kujenga shule, chuo

BARAZA la Waislamu Tanzania (Bakwata), limepongezwa kwa ujenzi wa shule na chuo cha ualimu kwenye Makao Makau ya baraza hilo, Kinondoni jijini Dar es Salaam.

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haram kuiga mfano wa Islamic State

Kiongozi wa kundi la wapiganaji wa Boko Haram nchini Nigeria ametoa taarifa akiahidi kuliheshimu kundi la wapiganaji wa IS

 

5 years ago

Michuzi

WAZIRI KAIRUKI APONGEZA NA KUWATAKA WAWEKEAZAJI WA VIWANDA KUIGA MFANO WA KAMPUNI QWIHAYA

 

Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya uchakataji nguzo za umeme ya Qwihaya General Enterprises Company Ltd Leonard Maheda akimueleza jambo waziri Kairuki alipofanya ziara katika kiwanda hicho kilicho mkoani Iringa wilaya ya Mufindi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri mkuu,Uwekezaji Angellah Kairuki akitete jambo naMkurugenzi mtendaji wa kampuni ya uchakataji nguzo za umeme ya Qwihaya General Enterprises Company Ltd Leonard Maheda pamoja na mbunge wa jimbo la Mafinga Mjini Cosato...

 

5 years ago

Michuzi

PROF OLE GABRIEL AZITAKA HALMASHAURI NCHINI KUIGA MFANO WA UBORA WA MACHINJIO YA ILALA


KATIBU Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi,  Prof Elisante Ole Gabriel amezishauri Halmashauri zote nchini ambazo zinafanya shughuli za ufugaji  kuiga mfano wa Machinjio ya kisasa ya Ilala ili nao waone haja ya kuwa na  machinjio ya kisasa yatakayosaidia kuboresha biashara ya machinjio na kuongeza pato la halmashauri zao.

Prof Ole Gabriel ametoa rai hiyo leo ofisini kwake jijini Dodoma alipokutana na Timu ya Wataalamu kutoka Manispaa ya Ilala waliokuja kutembelea Machinjio ya Dodoma ili...

 

10 years ago

Vijimambo

MKUU WA WILAYA YA KINONDONI, PAUL MAKONDA AZINDUA MASHINDANO KINONDONI CUP JIJINI DAR ES SALAAM , AKABIDHI VIFAA VYA MICHEZO KWA TIMU 138

 Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wadau wa michezo, wakati wa uzinduzi wa Kinondoni CUP uliofanyika Viwanja vya Leaders Dar es Salaam jana ambapo pia aligawa vifaa vya michezo kwa timu  138 vikiwa ni seti mbili za jezi na mipira miwili kwa kila timu. Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni, Paul Makonda akizungumza na wadau wa michezo katika uzinduzi huo.
 DC Makonda akisisitiza jambo katika uzinduzi huo. Kutoka kulia ni Mganga Mkuu wa Manispaa ya Kinondoni, Dk.Aziz Msuya, Diwani...

 

11 years ago

Michuzi

TBL YAPONGEZWA KWA KUJENGA KISIMA CHA MAJI KITUO CHA AFYA TUNDUMA.

Mganga wa Kituo hicho Dk. Gbson Mbaza alienyoosha mkono  alisema Tbl imetoa msaada mkubwa na muhimu katika sekta ya afya kwa sababu huduma hiyo inahitaji huduma ya maji kwa wingi kutokana na mahitaji ya usafi kwa wagonjwa na mazingira kuhitaji maji mengi.  Afisa Uhusiano wa Kampuni ya Bia ya TBL, Doris Malulu, Alisema ili miradi iwe endelevu na imnufaishe mwananchi aliyekusudiwa ni vema suala la uangalizi likawa shirikishi kwa kila mtu ambapo itakuwa misaada kwa vizazi vijavyo...

 

10 years ago

Vijimambo

UTT-PID NA SUMA JKT KUJENGA NYUMBA ZA KISASA KWA AJILI YA KUUZA

Mtendaji Mkuu wa UTT-PID, Dr. Gration Kamugisha (kushoto) akipeana mikono na Mkurugenzi Mkuu Lt-Colonel, Felix Samillan baada ya kutiliana saini ya mkataba wa kujenga nyumba za kisasa za kuuza kwa askari na maofisa wa jeshi na umma mradi unaotarajiwa kujengwa Chalinze
Na Mwandishi Wetu
Taasisi ya Miradi na Maendeleo ya Miundombinu iliyochini ya Wizara ya Fedha (UTT-PID) kwa kushirikiana na Taasisi ya SUMA JKT imesainiana mkataba wa makubaliano wa ujenzi wa nyumba za kisasa za kuuza kwa askari...

 

11 years ago

Michuzi

RAIS KIKWETE AZINDUA UJENZI WA HOSPITALI KUBWA NA YA KISASA YA CHUO KIKUU CHA AFYA NA SAYANSI SHIRIKISHI MUHIMBILI KISASA KIJIJINI MLOGANZILA

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Korea nchini Mhe. Chung IL wakikata utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Hospitali kubwa na ya kisasa ya Chuo Kikuuu cha Afya na Sayansi Shirikishi cha Muhimbili kijijini Mloganzila maeneo ya Kwembe, Kilometa 24 kutoka jijini Dar es salaam, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa hospitali hiyo itakayokuwa kubwa kuliko zote nchini leo April 24, 2014. Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Balozi wa Korea nchini Mhe. Chungh...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani