Bakwata yapongezwa kwa kujenga shule, chuo
BARAZA la Waislamu Tanzania (Bakwata), limepongezwa kwa ujenzi wa shule na chuo cha ualimu kwenye Makao Makau ya baraza hilo, Kinondoni jijini Dar es Salaam.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo02 Mar
Bakwata yapongezwa kwa ujenzi wa ofisi zake
BARAZA la Habari la Kiislamu Tanzania (BAHAKITA) limepongeza uendelezwaji wa Baraza Kuu la Waislamu Tanzania(Bakwata) Makao Makuu.
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-UK6Ma81aPfM/XvSRa5Q07wI/AAAAAAALvX4/UCipZyDLPkA2bt5LzIm-xW_QnV5zf4h3wCLcBGAsYHQ/s72-c/DSC_8610AAA-768x512.jpg)
KINONDONI YAPONGEZWA KWA KUJENGA UWANJA WA MPIRA WA KISASA, TIMU KUBWA ZATAKIWA KUIGA MFANO
![](https://1.bp.blogspot.com/-UK6Ma81aPfM/XvSRa5Q07wI/AAAAAAALvX4/UCipZyDLPkA2bt5LzIm-xW_QnV5zf4h3wCLcBGAsYHQ/s640/DSC_8610AAA-768x512.jpg)
![](https://fullshangweblog.co.tz/wp-content/uploads/2020/06/DSC_8616AAA-1024x683.jpg)
Naibu Waziri wa Tamisemi Mhe. Josephat Kandege akikagua muonekano wa uwanja wa mpira wa miguu wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni wakati alipotembelea uwanja huo ,mwenyesuti ya Dakbluu ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo.
……………………………………………………………………………………..
Manispaa ya Kinondoni imepongezwa kwa ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu wenye uwezo wa kuchukua takriban idadi ya mashabiki 3600 kwa mara moja.
Pongezi hizo zimetolewa na Naibu wa Waziri wa Tawala za Mikoa na...
11 years ago
MichuziTBL YAPONGEZWA KWA KUJENGA KISIMA CHA MAJI KITUO CHA AFYA TUNDUMA.
10 years ago
Habarileo28 May
SMZ yapongezwa kunusuru walioacha shule
WAJUMBE wa Baraza la Wawakilishi wameipongeza Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa kufanikiwa kupambana na tatizo la ajira mbaya kwa watoto, ikiwemo kuwanusuru waliokuwa wameacha shule kwa zaidi ya miaka mitano.
10 years ago
Dewji Blog14 Nov
Tigo kusaidia mpango wa kujenga na kutoa vifaa kwa maabara ya shule za sekondari wilayani Mtwara
Meneja wa Tigo kanda ya kusini, Bw.Daniel Mainoya (katikati) akizungumza na waandishi wa habari kuhusu harambee inayojulikana kama Tigo Mtwara Benefit Gala kwa ajili ya ujenzi wa maabara katika wilaya ya Mtwara, kushoto kwake ni mkuu wa wilaya hiyo,Bw. Wilman Ndile na kulia ni Meneja maendeleo ya bishara kampuni ya 361 Degrees,Hamis Omary.
Tigo Tanzania leo imetangaza kwamba itasaidia kujenga na kuchangia vifaa katika maabara ya shule za sekondari ambazo zimekwisha jengwa wilayani Mtwara....
11 years ago
Uhuru Newspaper08 Jul
Ridhiwani kujenga chuo cha walemavu
NA MWANDISHI WETU
MBUNGE wa jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, ametoa eneo la ekari 20 kwa ajili ya ujenzi wa chuo maalumu cha watu wenye ulemavu kitakachojengwa Chalinze, wilayani Bagamoyo, mkoani Pwani.
Chuo hicho kitajengwa na mjini Chalinze kwa ufadhili wa rafiki wa mbunge huyo aliyeko nchini Uingereza, James James, ambaye ni ana ulemavu wa ngozi.
Akizungumzia msaada huo, Ridhiwani alisema alikutana na James na kumwomba awasaidie walemavu wa ngozi katika jimbo lake ili wapate vifaa...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Pinda ashauri mikoa kujenga chuo kikuu
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda, ameitaka mikoa ya Ukanda wa Ziwa Tanganyika kushirikiana kujenga chuo kikuu angalau kimoja katika mikoa hiyo. Pinda alitoa kauli hiyo juzi alipohutubia wananchi wa Mkoa wa...
9 years ago
Habarileo09 Oct
Samia aahidi kujenga chuo cha mafunzo Kwimba
MGOMBEA mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM, Samia Suluhu Hassan amewaahidi wananchi wa Jimbo la Kwimba mkoani Mwanza kuwa Serikali ya awamu ya tano ya CCM itawajengea Chuo cha Mafunzo ya Ufundi Stadi (Veta) ili kuwapatia fursa vijana wa jimbo hilo kupata mafunzo ya ufundi.
9 years ago
Mwananchi17 Dec
Chuo cha Aga Khan kujenga hospitali Kampala