Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


WAZIRI KAIRUKI APONGEZA NA KUWATAKA WAWEKEAZAJI WA VIWANDA KUIGA MFANO WA KAMPUNI QWIHAYA

 

Mkurugenzi mtendaji wa kampuni ya uchakataji nguzo za umeme ya Qwihaya General Enterprises Company Ltd Leonard Maheda akimueleza jambo waziri Kairuki alipofanya ziara katika kiwanda hicho kilicho mkoani Iringa wilaya ya Mufindi

Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri mkuu,Uwekezaji Angellah Kairuki akitete jambo naMkurugenzi mtendaji wa kampuni ya uchakataji nguzo za umeme ya Qwihaya General Enterprises Company Ltd Leonard Maheda pamoja na mbunge wa jimbo la Mafinga Mjini Cosato...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Waziri Kairuki apongeza kampuni ya Qwihaya kuwekeza mkoa wa Kigoma

Na Francis Godwin , Iringa WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Waziri mkuu Uwekezaji Angellah Kairuki ameeleza kufurahishwa na kasi ya uwekezaji inayofanywa na kampuni ya uchakataji nguzo za umeme ya Qwihaya General Enterprises Company Ltd kwa kuwekeza viwanda vya nguzo katika mikoa mbali mbali ukiwemo mkoa wa Kigoma na kutaka wadau wengine kuelekeza nguvu zao katika mkoa wa Kigoma badala ya kuwekeza Dar es Salaam ,Dodoma na mikoa mingine ambayo ni rahisi kufikika .
Alisema...

 

10 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA ASAS DAIRIES LTD KWA MWAKA WA TATU MFULULIZO YASHIKILIA TUZO YA UBORA ,YAZIBWAGA KAMPUNI KONGWE TENA WAZIRI KAMANI APONGEZA

Afisa masoko wa kampuni hiyo ya Asas Dairies Ltd Bw Jimmy Kiwelu (kulia)  akiwa na   wafanyakazi  wenzake baada ya  kutwaa tuzo ya ubora ya Kitaifa katika  bidhaa za Asas Dairies Ltd 
Hii  ndio kampuni  iliyoweza  kushinda tuzo ya  uboraMedali  ,vyeti na  tuzo  ya ushindi  ambayo kampuni ya Asas Dairies Ltd imeshinda  tena  mwaka huu katika maonyesho ya maziwa mkoani Mara.Kwa habari kamili BOFYA HAPA

 

10 years ago

BBCSwahili

Boko Haram kuiga mfano wa Islamic State

Kiongozi wa kundi la wapiganaji wa Boko Haram nchini Nigeria ametoa taarifa akiahidi kuliheshimu kundi la wapiganaji wa IS

 

5 years ago

Michuzi

PROF OLE GABRIEL AZITAKA HALMASHAURI NCHINI KUIGA MFANO WA UBORA WA MACHINJIO YA ILALA


KATIBU Mkuu wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi,  Prof Elisante Ole Gabriel amezishauri Halmashauri zote nchini ambazo zinafanya shughuli za ufugaji  kuiga mfano wa Machinjio ya kisasa ya Ilala ili nao waone haja ya kuwa na  machinjio ya kisasa yatakayosaidia kuboresha biashara ya machinjio na kuongeza pato la halmashauri zao.

Prof Ole Gabriel ametoa rai hiyo leo ofisini kwake jijini Dodoma alipokutana na Timu ya Wataalamu kutoka Manispaa ya Ilala waliokuja kutembelea Machinjio ya Dodoma ili...

 

5 years ago

Michuzi

KINONDONI YAPONGEZWA KWA KUJENGA UWANJA WA MPIRA WA KISASA, TIMU KUBWA ZATAKIWA KUIGA MFANO



Naibu Waziri wa Tamisemi Mhe. Josephat Kandege akikagua muonekano wa uwanja wa mpira wa miguu wa Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni wakati alipotembelea uwanja huo ,mwenyesuti ya Dakbluu ni Mkuu wa Wilaya ya Kinondoni Mhe. Daniel Chongolo.

……………………………………………………………………………………..

Manispaa ya Kinondoni imepongezwa kwa ujenzi wa uwanja wa kisasa wa mpira wa miguu wenye uwezo wa kuchukua takriban idadi ya mashabiki 3600 kwa mara moja.

Pongezi hizo zimetolewa na Naibu wa Waziri wa Tawala za Mikoa na...

 

10 years ago

Bongo5

‘Tanzania ni mfano wa kuiga’ asema mrembo wa Burundi kutokana na umoja tulionesha kwa Idris na Happiness Watimanya

Diamond Platnumz na Idris Sultan wameiweka Tanzania kwenye ramani ya dunia baada ya ushindi wao wa tuzo ya Channel O na Big Brother Afrika. Lakini hayo yote yasingewezekana bila ushirikiano uliooneshwa na Watanzania katika kuwapigia kura. Mwamko huo umeendelea kuonekana pia katika kumpigia kampeni Miss Tanzania, Happiness Watimanywa. Umoja huo umemkuna mrembo wa Burundi anayeishi […]

 

5 years ago

Michuzi

DC MUFINDI AISHUKURU KAMPUNI YA QWIHAYA


Mkurugenzi wa Qwihaya General Enterprises Ltd, Ndugu Leonard Mahenda alikabidhi kuunga mkono mapambano dhidi ya virusi vya corona Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Jamuhuri Willium mbele ya mkurugenzi wa Mji wa Mafinga.

Mkurugenzi wa Qwihaya General Enterprises Ltd, Ndugu Leonard Mahenda alikabidhi kuunga mkono mapambano dhidi ya virusi vya corona Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Jamuhuri Willium .

Mkurugenzi wa Qwihaya General Enterprises Ltd, Ndugu Leonard Mahenda na Mkuu wa Wilaya ya Mufindi,...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA QWIHAYA YASAIDIA VIFAA VYA ZAIDI YA MILIONI 10, DC MUFINDI AISHUKURU

 Mkurugenzi wa Qwihaya General Enterprises Ltd, Ndugu Leonard Mahenda alikabidhi kuunga mkono mapambano dhidi ya virusi vya corona Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Jamuhuri Willium mbele ya mkurugenzi wa Mji wa Mafinga. Mkurugenzi wa Qwihaya General Enterprises Ltd, Ndugu Leonard Mahenda alikabidhi kuunga mkono mapambano dhidi ya virusi vya corona Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Jamuhuri Willium 
Mkurugenzi wa Qwihaya General Enterprises Ltd, Ndugu Leonard Mahenda na  Mkuu wa Wilaya ya Mufindi, Jamuhuri...

 

5 years ago

Michuzi

KAMPUNI YA QWIHAYA YATOA ZAIDI YA MILIONI 21 KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO PAWAGA







Mkuu wa wilaya ya Iringa Richard Kasesela akiwa anaongea na waandishi wa habari mara baada ya kupokea msaada kutoka katika Kampuni ya QWIHAYA ya wilaya Mufindi kwa ajili ya wahanga wa mafuriko yaliyotokea katika kitongoji cha Mbingama mkoani Iringa.
Huu ndio msaada wa Mirunda ambayo itaenda kusaidia katika ujenzi wa makazi mapya kwa wananchi wa kitongoji cha Mbingama



NA FREDY MGUNDA,IRINGA.

KAMPUNI ya QWIHAYA GENERAL CO LTD ya mkoani Iringa imetoa msaada wa zaidi ya shilingi milioni 21 kwa...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani