MGODI WA DHAHABU, BULYANHULU WATUMIA NUSU BILIONI KWA MWAKA KUFADHILI VIJANA MAFUNZO YA IMTT
Meneja Ufanisi wa Mgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu, BGML, unaomilikiwa na Kampuni ya Acacia, Elias Kasikila, (kushoto), akiagana na baadhi ya vijana wanaokwenda kuhudhuria mafunzo ya ufundi chini ya mpango wa IMTT unafadhiliwa na mgodi huo, wakati wa hafla ya kuwaaga iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye eneo la mgodi, huko Msalala mmoani Shinyanga. Mgodi huo umetuamia kiasi cha zaidi ya nusu bilioni kila mwaka kufadhili mpango huo
Na K-VIS MEDIAMGODI wa dhahabu wa Bulyanhulu, BGML,...
Michuzi
Habari Zinazoendana
9 years ago
MichuziMGODI WA DHAHABU WA BULYANHULU, BGML, WAKABIDHI MIRADI YA THAMANI YA SHILINGI BILIONI MOJA WILAYA YA MSALALA.
10 years ago
MichuziNaibu Waziri wa Nishati na Madini atembelea mgodi wa dhahabu bulyanhulu
9 years ago
MichuziMGODI WA DHAHABU WA BULYANHULU WAIPIGA JEKI ZAHANATI YA MWINGIRO GEITA
Maafisa wa kitengo cha Mahusiano ya Jamii katikamgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu, William Chungu (kulia) na Zuwena Senkondo (kushoto) wakikabidhi vifaa vinavyotumika wakati wakujifungulia kwa zahanati ya Mwingiro Wilayani Nyang’wale Mkoani Geita .
Zuwena Senkondo wkikabidhi vifaa vya kujifungulia kwa mmoja wa wauguzi katika zahanati ya Mwingiro Wilayani Nyang’wale Mkoani Geita
Kiongozi wa kitengo cha Mahusiano ya Jamii Mgodi wa Dhahabu wa Bulyanhulu Sara Ezra Teri akikabidhi Video...
9 years ago
Dewji Blog03 Oct
Mgodi wa North Mara watumia Bilioni 1.7 kujenga shule wa sekondari JK Nyerere
Mama Salma Kikwete akishirikiana na viongozi wa Mkoa wa Mara na wale wa Wilaya ya Tarime na wahisani waliojenga Shule ya J.K. Nyerere kukata utepe ikiwa ni ishara ya uzinduzi rasmi wa Shule hiyo iliyoko katika Kijiji cha Nyamwaga.
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akimpongeza Ndugu Jimmy Ijumba, Meneja wa ACACIA –North Mara Gold Mine mara baada ya kuzindua rasmi shule hiyo.
Mama Salma Kikwete akifurahia ngoma ya utamaduni na wananchi wa Kijiji cha Nyamwaga kilichoko katika wilaya...
10 years ago
Dewji Blog22 Oct
Rais aagiza kufunguliwa kwa mgodi wa dhahabu wa Mattany Ikungi
Rais wa Shirikisho la wachimba madini Tanzania, John Bina, akizungumza na wachimbaji madini wa machimbo ya dhahabu kijiji cha Mhintiri tarafa ya Ihanja wilaya ya Ikungi .Rais Bina pamoja na mambo mengine, aliagiza kufunguliwa kwa mgodi wa dhahabu unaomilikiwa na Mattany Khalifa uliofungwa baada ya kuvamiwa na wachimbaji wadogo.
Na Nathaniel Limu, Ikungi
RAIS wa shirikisho la wachimba madini Tanzania, John Bina, ameagiza kufunguliwa mara moja kwa mgodi wa dhahabu wa Mattany Ikungi na kuonya...
11 years ago
Tanzania Daima12 Jun
Mbunge: Mgodi Bulyanhulu ushinikizwe kulipa deni
SERIKALI imetakiwa kufanya mazungumzo na mwekezaji wa mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu, ili iweze kuilipa Halmashauri ya Wilaya ya Kahama deni la dola milioni 8. Kauli hiyo ilitolewa bungeni jana...
10 years ago
Mwananchi25 Mar
Maige: Wananchi walifukiwa wakiwa hai mgodi wa Bulyanhulu
10 years ago
Dewji Blog01 May
ACACIA yazawadia wafanyakazi wake 510 wa mgodi wa Bulyanhulu
5 years ago
MichuziMGODI WA BARRICK BULYANHULU WAWAKUMBUKA WATU WENYE ULEMAVU NA WAZEE MSALALA…DC MACHA AWAPONGEZA
Hafla fupi ya kukabidhi vifaa hivyo imefanyika leo Jumatano Juni 24,2020 katika kijiji cha Bunango kata ya Bugarama ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa...