MGODI WA BARRICK BULYANHULU WAWAKUMBUKA WATU WENYE ULEMAVU NA WAZEE MSALALA…DC MACHA AWAPONGEZA
Mgodi wa Barrick Bulyanhulu unaomilikiwa na Kampuni ya Uchimbaji Madini nchini ya Twiga Minerals Corporation umetoa msaada wa vifaa wezeshi kwa watu wenye ulemavu na kadi 450 za msamaha wa matibabu kwa wazee katika kata ya Bugarama na Bulyanhulu halmashauri ya wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga vyote vikiwa na thamani ya shilingi milioni 8.
Hafla fupi ya kukabidhi vifaa hivyo imefanyika leo Jumatano Juni 24,2020 katika kijiji cha Bunango kata ya Bugarama ambapo mgeni rasmi alikuwa Mkuu wa...
Michuzi
Habari Zinazoendana
5 years ago
Michuzi
SHIRIKISHO LA VYAMA VYA WATU WENYE ULEMAVU TANZANIA WAIOMBA SERIKALI KUSAIDIA WATU WENYE UZIWI KUPATA TAARIFA SAHIHI KUHUSU CORONA
Na Said Mwishehe,Michuzi Globu ya jamii
UONGOZI wa Shirikisho la Vyama vya Watu wenye Ulemavu Tanzania (SHIVYAWATA )lumesema kwamba uwepo wa tishio la virusi vya Corona (COVID-19) nchini umesababisha hofu kubwa kwa watu wenye uziwi kwani imekuwa ngumu kwao kupata maelekezo na miongozo ya Serikali pamoja na Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jisinsia, Wazee na Watoto.
Umesema kuwa matangazo mengi ambayo yametolewa na Wizara ya Afya yanashindwa kuwafikia watu wenye uziwi kwani hakuna watalaam wa...
10 years ago
Mwananchi23 Sep
Ndoto za watu wenye ulemavu zinapotimia
10 years ago
Tanzania Daima07 Nov
Tamwa kuzindua jarida la watu wenye ulemavu
SHIRIKISHO la Vyama vya Watu Wenye Ulemavu Tanzania (Shivyawata), leo linatarajiwa kuzindua jarida linalojulikana kama ‘Sauti ya Siti’. Jarida hilo maalumu kwa watu wenye ulemavu, limeandaliwa na Chama cha Wanahabari...
11 years ago
Tanzania Daima02 Jan
Ni mwaka wa mabadiliko kwa watu wenye ulemavu
BAADA ya kumalizika mwaka 2013, baadhi ya watu wenye ulemavu wameupokea mwaka 2014 kwa matarajio makubwa, hususan katika kupigania haki zao. Wanaamini kuwa kama kuna eneo linalopaswa kusimamia haki zao,...
9 years ago
Habarileo05 Dec
Jamii yashauriwa kujali watu wenye ulemavu
JAMII nchini imehimizwa kuongeza ushirikiano kwa makundi ya watu walio na mahitaji maalumu hususan wenye ulemavu kwa kuwa kufanya hivyo kutawezesha uwepo wa jamii iliyo na ustawi na yenye kujali maslahi ya kila mmoja.
10 years ago
Michuzi
Watu wenye Ulemavu wanakabiliwa na changamoto nyingi - SVF
Shirika lisilo la Kiserikali linalojishughulisha na kusaidia watu wenye mahitaji maalum (SVF) limesema watu wenye ulemavu wako milioni 4.5 lakini wanakabiliwa na changamoto kutokana na mazingira wanayoishi.
Akizungumza leo na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam,Katibu Mkuu wa shirika hilo,Leontine Rwechungura amesema kutokana na kutambua mahitaji ya kundi la watu wenye ulemavu,wataanza kujenga miundombinu rafiki kwa wanafunzi katika shuke ya Sekondari,...
11 years ago
Michuzi03 Oct
PIGA KURA UBORESHE MAISHA YA WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI

Shiriki kwa kupiga kura ili UTSS washinde Tuzo hii na kulinda...
10 years ago
Michuzi
WATU WENYE ULEMAVU WA NGOZI (ALBINO) WATOAFAUTIANA KUHUSU MAANDAMANO.

Kamati ya kuratibu mapambano ya kukomesha mauaji ya watu wenye ulemavu wa ngozi (Albino)umepingana na kauli iliyotolewa na Mwenyekiti wa Chama Cha Watu...
10 years ago
Tanzania Daima06 Nov
Watu wenye ulemavu msibaki nyuma uchaguzi serikali za mitaa
DESEMBA 14 mwaka huu itakuwa siku ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa nchini. Ratiba ya uchaguzi huo imekwishatolewa, na kuonyesha kwamba Novemba 23 ndio uandikishaji wa majina unaanza katika maeneo...